Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Unamaanisha nini ?!!!Wabunge wamepanga foleni ya Kitubio na Kubusu mkono wa Baba Mtakatifu Papa Francisco huko Vatican!
Ukubwa wa akili yako tuupime kwa kupinga kwako DP WORLD ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sikuwahi kujua kama una akili ndogo hivi.
Siku nyingine koment ya maana kama hii iwe kwa herufi kubwa.saivi tumeanza na kuomba wazanzibar waachane na bandar zetu .wakilazimisha .tutaanza na suala la kuvunja muungano kwa nguvu 2 times hiiUsiamishe magoli, mjadala hatutaki mkataba wa DP fullstop.
2+2=4Aliyemuelewa huyu bibi mtata anieleweshe na mimi.
Wasomewe mwaka mzima....Leo ni siku nyingine ya kusomewa WALAKA huko makanisani!
Tusubiri viongozi na wananchi wausikilize kwa week ya pili sasa labda watatoka na kitu
Babu yako ndiye aliyekusimulia ujinga huu nawe unataka tuwe wajinga ?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]Mwarabu anakaa jangwani hata ukimpangisha nyumba yenye miti anakata yote anasema miti inaleta majini,iweje ndio atake kupewa kusimamia Mali asili zetu wakati ajui hata miti inapandwaje.
Je usalama wa wanyama wetu utakuaje, usalama wa madini yetu mbugani utakuaje.
Rejea kauli "wanyama hawali madini kwann wasipewe watu wachimbe madini kwenye hifadhi zetu" hii kauli inaendana na mambo Tete yanayoendelea mara sijui sheria za maliasili kubadilishwa,mara sijui nini
....wewe wasema....Mawazo ya kiujima
Lini walikaa wenye akili wakafanya "generalization" kuwa asili ya atokako mtu huweza kumdogosha IQ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]Huyu bibi mswahili hakijui hata kile anachokijadili hapa, ndio maana sasa tunamuangalia tu anavyohangaika humu.
Bagamoyo yenyewe inapakana na bahari, alafu ujenge bandari Unguja utapishe mzigo Bagamoyo baada ya kuingia gharama ya kujenga pango la chini kwa chini. Unaanza kwa kusema kwamba ushauri wa nia njema na marumbano ya vijigati vinne. Je, mwenzetu unatoka Zanzibar na unafurahishwa na hichi kinachoendelea? Hivi kuna mashindano kati ya bara na visiwani?Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.
Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuwnzamkuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longo longo.
Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.
Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.
Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.
Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.
Faida zake:
1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mixigo nw wbiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.
2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.
3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.
4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.
5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"
6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).
Always the simplest of ideas ndizo bora.
Delusion...Kinacho wasumbuwa ni kwamba, fungu walilo katiwa wameisha gawana viongozi wetu na tunavyo endelea kupinga wanachanganyikiwa na hii imewakaa kooni. Utasitishaje wakati vya watu umekula?[emoji40]
Wewe mwenyewe hujui unachokiandika.....jitetee kama unajua.....Hajui anachoandika, anakurupuka tu.
Jifunze kuandika kwa ufasaha...."lidhaa" [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]SHIDA KUBWA WALISHATOA KABLA YA KUOMBA LIDHAA KWA WANANCHI WANAKATAAJE SASA.?
Hata wewe ni "IQ" ndogo namna hii ?!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]Faiza anataka Watanganyika tukafuate mzigo katika nchi jirani ya Zanzibar wakati na sisi tuna bahari.
Anataka kuifanya nchi yetu ya Tanganyika landlocked country wakati tuna bahari. Hakuna Mtanganyika mwenye akili anaweza kukubaliana na kitu kama hiki.
Hii itaongeza gharama za mzigo kwetu na kufanya bidhaa zetu ziwe ghali.
Halafu kwa kuwa Wazaznzibar waliziondoa bandari zao kwenye mambo ya muungano kimyakimya maana yake ni kuwa hela za bandari zitanufaisha nchi jirani ya Zanzibar huku Tanganyika ikiambulia vijisenti.
....huna kiongozi huko ndotoni uutako ?!!!Kabla ya yote tutafute kiongozi wa taifa, Manake kwa sasa hatuna.
Madrassa ni shule kwa kiarabu...MTU amesoma madrsa unategemea atakuwaje,kama sio kuandika pumba
Dunia ya soko huria inaangalia maslahi....iwe kutoka Italy ,Misri ama Arabuni.....Mlivyobinafsisha hadi sasa inatosha jamani
Acheni awamu nyingine nayo ipate muda wa kutafakari.
Kwanini mnataka kubinafsisha kila kitu hii awamu?
Tena mnabinafsisha kwa jamii moja tu ya Kiarabu?
Hebu fanyeni mambo mengine baada ya kurekebisha huo Mkataba wa DPW au kuachana nao.
Huku nje wapo wenye akili na busara wengi tu wapeni nafasi nao.
Kwa awamu hii inatosha kwa hayo mliyo yauza.
Ni Dubai Dubai kila kukicha. Huko Dubai kuna nini cha kipekee?
Mshaulini hivyo Mwenyekiti.
Mpaka unakufa HAITOPATIKANA...Ningekuelewa kama ungeshauri tuwe na Tanganyika huru na Zanzibar huru, tudumishe ujirani mwema
[emoji2956][emoji7][emoji7][emoji7]Naunga mkono hoja, hongera na ubarikiwe sana
P
[emoji2956][emoji2956]Haijalishi.
Huu ushauri wangu haujalishi iwe ya Muungano au isiwe ya Muungano. Ni win win situation.
Ushauri wangu umelenga uchumi wa siku za usoni zaidi.