Tafakuri ya FaizaFoxy 9: Ushauri kwa Rais Samia, Dr. Hussein Mwinyi na Watanzania wote kuhusu Uchumi wa Bandari wenye tija

Tafakuri ya FaizaFoxy 9: Ushauri kwa Rais Samia, Dr. Hussein Mwinyi na Watanzania wote kuhusu Uchumi wa Bandari wenye tija

Wabunge wamepanga foleni ya Kitubio na Kubusu mkono wa Baba Mtakatifu Papa Francisco huko Vatican!
Unamaanisha nini ?!!!

Umewiwa na "conspiracy theories"?!!!

Tanzania si taifa la kidini....sisi ni wajamaa...ujamaa wa kiafrika...

Hivi haitoshi mkabaki na hizo imani za dini zenu makanisani na misikitini kwenu ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Bwashee nawe unayumba ?!!! [emoji1787]
 
Usiamishe magoli, mjadala hatutaki mkataba wa DP fullstop.
Siku nyingine koment ya maana kama hii iwe kwa herufi kubwa.saivi tumeanza na kuomba wazanzibar waachane na bandar zetu .wakilazimisha .tutaanza na suala la kuvunja muungano kwa nguvu 2 times hii
 
Leo ni siku nyingine ya kusomewa WALAKA huko makanisani!

Tusubiri viongozi na wananchi wausikilize kwa week ya pili sasa labda watatoka na kitu
Wasomewe mwaka mzima....

Mizizi ya taifa hili si ukatoliki wala uislamu....

Mababu zetu walimwaga damu zao kupigana Vita vya majimaji......hivi hawa watu wanaojifanya kuwa na hatimiliki ya nchi hii ni "mashooougeer"?!!!

Ni "wangeeeseeer"?!!!

Ni wagonjwa wa akili ?!!!

Wana grandeur delusion ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#Nchi Kwanza [emoji120]
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mwarabu anakaa jangwani hata ukimpangisha nyumba yenye miti anakata yote anasema miti inaleta majini,iweje ndio atake kupewa kusimamia Mali asili zetu wakati ajui hata miti inapandwaje.
Je usalama wa wanyama wetu utakuaje, usalama wa madini yetu mbugani utakuaje.
Rejea kauli "wanyama hawali madini kwann wasipewe watu wachimbe madini kwenye hifadhi zetu" hii kauli inaendana na mambo Tete yanayoendelea mara sijui sheria za maliasili kubadilishwa,mara sijui nini
Babu yako ndiye aliyekusimulia ujinga huu nawe unataka tuwe wajinga ?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo majangwa ya afrika kule Namibia ni waarabu waliokata miti ?!!!

Hivi shuleni mnakwenda kujifunza "kupakwa mafuta" ili mwende kaburini mkiwa "ngw'enyu" ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu bibi mswahili hakijui hata kile anachokijadili hapa, ndio maana sasa tunamuangalia tu anavyohangaika humu.
Lini walikaa wenye akili wakafanya "generalization" kuwa asili ya atokako mtu huweza kumdogosha IQ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.

Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuwnzamkuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longo longo.

Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.

Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.

Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.

Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.

Faida zake:

1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mixigo nw wbiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.

2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.

3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.

4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.

5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"

6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).

Always the simplest of ideas ndizo bora.
Bagamoyo yenyewe inapakana na bahari, alafu ujenge bandari Unguja utapishe mzigo Bagamoyo baada ya kuingia gharama ya kujenga pango la chini kwa chini. Unaanza kwa kusema kwamba ushauri wa nia njema na marumbano ya vijigati vinne. Je, mwenzetu unatoka Zanzibar na unafurahishwa na hichi kinachoendelea? Hivi kuna mashindano kati ya bara na visiwani?
 
Kinacho wasumbuwa ni kwamba, fungu walilo katiwa wameisha gawana viongozi wetu na tunavyo endelea kupinga wanachanganyikiwa na hii imewakaa kooni. Utasitishaje wakati vya watu umekula?[emoji40]
Delusion...
 
Faiza anataka Watanganyika tukafuate mzigo katika nchi jirani ya Zanzibar wakati na sisi tuna bahari.

Anataka kuifanya nchi yetu ya Tanganyika landlocked country wakati tuna bahari. Hakuna Mtanganyika mwenye akili anaweza kukubaliana na kitu kama hiki.

Hii itaongeza gharama za mzigo kwetu na kufanya bidhaa zetu ziwe ghali.

Halafu kwa kuwa Wazaznzibar waliziondoa bandari zao kwenye mambo ya muungano kimyakimya maana yake ni kuwa hela za bandari zitanufaisha nchi jirani ya Zanzibar huku Tanganyika ikiambulia vijisenti.
Hata wewe ni "IQ" ndogo namna hii ?!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Tanganyika dola haipo...ilishazikwa kwa mustakabali mpana wa taifa hili.....ni mustakabali mpana haswa ambao akili yako haiwezi "grasping" hayo.....m

Eti Zanzibar ni nchi "jirani" [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Huheshimu ukweli na KATIBA pia unaiweka "msambweni" kiasi hiki ?!!!

Kweli mazwazwa hawaishi mitandoni.....

NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY BECAUSE IT IS UNJUST TO THE KNOWLEDGEABLE [emoji1787][emoji1787]
 
Kabla ya yote tutafute kiongozi wa taifa, Manake kwa sasa hatuna.
....huna kiongozi huko ndotoni uutako ?!!!

Wenzako tumeshaamka wewe unalimwaga "denda" tu hapo mkekani....[emoji1787][emoji1787]
 
MTU amesoma madrsa unategemea atakuwaje,kama sio kuandika pumba
Madrassa ni shule kwa kiarabu...

Umeatamia upumbavu kushindwa kujua kuwa hata neno "shule" ulitukuzalo si la kilatini ,kiingereza wala kiswahili bali "kijerumani"....

Hivi mlikwenda kukaa madawatini kujifunza "ushoouuugeeer"?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mlivyobinafsisha hadi sasa inatosha jamani
Acheni awamu nyingine nayo ipate muda wa kutafakari.

Kwanini mnataka kubinafsisha kila kitu hii awamu?
Tena mnabinafsisha kwa jamii moja tu ya Kiarabu?

Hebu fanyeni mambo mengine baada ya kurekebisha huo Mkataba wa DPW au kuachana nao.

Huku nje wapo wenye akili na busara wengi tu wapeni nafasi nao.

Kwa awamu hii inatosha kwa hayo mliyo yauza.
Ni Dubai Dubai kila kukicha. Huko Dubai kuna nini cha kipekee?

Mshaulini hivyo Mwenyekiti.
Dunia ya soko huria inaangalia maslahi....iwe kutoka Italy ,Misri ama Arabuni.....

Hivi hujiulizi ni kwanini BRICS imeongezekewa WANACHAMA WAPYA 6?!!!!

Na wengine zaidi ya 40 kuomba kujiunga humo ?!!!!

Hivi mlikwenda kukalia "madawati" ili tu mjue matumizi ya "vilaaaaaaainiiiishii" halafu wakati wa kufariki muwe na "matuuunduuurrr" makubwa kila eneo la miili yenu ?!!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ningekuelewa kama ungeshauri tuwe na Tanganyika huru na Zanzibar huru, tudumishe ujirani mwema
Mpaka unakufa HAITOPATIKANA...

Usiwe mjinga....wakati babu zetu wakipambana na mjerumani Vita vya majimaji na kumwaga damu zao....si mababu wote wa nchi hii walituunga mkono....kwa hiyo TANGANYIKA haikuwa moja....haikuwahi kuwa moja hivyo utakavyo........

Hayati baba wa taifa alikuwa sahihi "kuifuta"....

Resty easy El Commandante JKN ,amen[emoji120]
 
Back
Top Bottom