Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Saivi imekuwa muonekano wako tena ndiyo Cv yako tosha?Baba ,kama kweli unajiamini tafuta location unione,kama unadhani Mimi ni kibungo kama wanawake zako , muonekano wangu ni CV tosha ,bado sijakuonesha nilikopita,
Una shingapi😂Ndiyo, wewe taja tu bei yako na location
Hata mimi naitaka pia, nishamwambia ataje bei yake ila naona anazunguka zunguka tuHao uliowataja hawajajitangaza popote, ila wewe naona matangazo yako ya kimkakati humu kila siku, ndo maana nauliza unauzia wapi?
Niko serious naitaka hiyo U.T.I
Nipo nyumbani nimelala naperuzi,Saa Saba naenda kusuka,naomba huo muda tukutane nakufuata popote ulipo
Bro. Hebu tafuta muda ukaione CV 😂😂😂😂 na akuoneshe alipopita.
Hahaha na ana exposure, maana amehitaji nimtafute anionyeshe aliko pita.Kwanza anaishi Dsm. Kinyerez nadhan.
Hapo tayar ana form Six.😂😂😂😂.
Mengne ataendelea mwenyewe.
Umetoa maneno ya kijasiri sana.Nipo nyumbani nimelala naperuzi,Saa Saba naenda kusuka,naomba huo muda tukutane nakufuata popote ulipo
Mkuu sijakuzoea hivi ujueNakubaliana na wewe elimu ya kuongelea uzinzi/uzinifu tu umenizidi mbali sana mdogo wangu.
Siyo maneno ya kishujaa kama yupo dar aseme yupo wapi nitamfuataUmetoa maneno ya kijasiri sana.
Marcostilone . Zingatia neno "nitakufuata popote". 😂😂😂
Binti mbona kama unaongea kwa uhakika ukiamini mimi nipo Tanzania na nina ishi Dar es salaam?Nipo nyumbani nimelala naperuzi,Saa Saba naenda kusuka,naomba huo muda tukutane nakufuata popote ulipo
Bro , habar za asubuh.Mkuu sijakuzoea hivi ujue
Nipo nashangaa😅
Haha take it simple kama jokes tu mkuu.Mkuu sijakuzoea hivi ujue
Nipo nashangaa😅
Safi bro niaje mwananguBro , habar za asubuh.
Si jukumu langu kujua ulipo,hitaji langu tuonane,kama uko ughaibuni,mkoani na popote sitaki kujua ,usinikwepe kijanjaBinti mbona kama unaongea kwa uhakika ukiamini mimi nipo Tanzania na nina ishi Dar wa salaam?
Unanifahamu kabla?
Najua sema kuna image yangu nilikua nayo kicwani😅😅Haha take it simple kama jokes tu mkuu.
Umuhimu wa kutaka kuonana na mimi ni kwa sababu unataka kunionyesha the way ulivyo, Cv yako na uliko pita?Si jukumu langu kujua ulipo,hitaji langu tuonane,kama uko ughaibuni,mkoani na popote sitaki kujua ,usinikwepe kijanja
Atakuonesha na ziada 😅Umuhimu wa kutaka kuonana na mimi ni kwa sababu unataka kunionyesha the way ulivyo, Cv yako na uliko pita?
m gud kabisa. Umeona manzi hiyo inataka kumfuata mwana imuonyeshe CV alaf mwamba kama anakaza hivi. Niaje niaje huyu jombaa. mamtu kashawaka alaf poti ana dera dera.Safi bro niaje mwanangu
Hahaha ni kawaida kabisa mkuu kuwa na imagination uliyokuwa, hasa kwa kusoma kitu ambacho kimetoka kwa mtu ambaye haujamzoea kusema kitu cha namna hiyo.Najua sema kuna image yangu nilikua nayo kicwani😅😅
Yes ili uwe mfanoUmuhimu wa kutaka kuonana na mimi ni kwa sababu unataka kunionyesha the way ulivyo, Cv yako na uliko pita?