thatfunnyboy23
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 850
- 1,134
😂😂😂Hili nalo linanifikirisha tukalitazame KWA mara ya pili😂😂😂mbona hatuoni waalimu wakiwa na investment zao pemben
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Hili nalo linanifikirisha tukalitazame KWA mara ya pili😂😂😂mbona hatuoni waalimu wakiwa na investment zao pemben
Hata huyo mama ake atafuatiliwa, unadhani hii case inahusu Gold digger?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kweli ila huenda jina la kiwanja na mjengo kafanya kama Hakimi.
Hakuna kitachoharibikaDoh mshamharibia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan afu bila wasi wasi, si anajua kule pesa zipoNdio maana kuna mfanyabiashara juzi alisema mbele ya Majaliwa kuwa atapambana hadi mwanae aingie Tiaraei
Bora umemuuliza wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mia inajenga nyumba 4 kwenda juu....?
Dear hapanaaa, hapa nakupingaaa watu wailoko huko kwa system wanatunyonya sisi wa chinii.Kuna watu wana roho za kimaskini jamani duuh hivi mtu unakuwaje na roho mbaya? mbona mimi siwezi kuumizwa na maendeleo ya mtu!
Kweli binadamu tunatofautiana!
Tafuta hela Mkuu ujenge na wewe lako.
Mil mia kwa mshahara upi? Kumbuka pia saccos haiwezi kukukopesha kwa miaka 10Wana saccos yao wanakopeshana hadi 100mil
Umeelewa kilicholalamikiwa?Kuna watu wana roho za kimaskini jamani duuh hivi mtu unakuwaje na roho mbaya? mbona mimi siwezi kuumizwa na maendeleo ya mtu!
Kweli binadamu tunatofautiana!
Tafuta hela Mkuu ujenge na wewe lako.
Bwana Mdogo anasagiwa kunguni hyo inaitwa usianzishe ugomvi wa mawe Kama unaishi kwenye nyumba yenye vioo.
Mzaramo anakwambia hukuja kwenye arobain ya mwanangu namie siji kwenye msiba wa baba yako.
Weka ugoko niweke chuma tuone Nan ataumia.
Kwahio tra hakuna mfanyakazi wa kukopesheka 100milMil mia kwa mshahara upi? Kumbuka pia saccos haiwezi kukukopesha kwa miaka 10
Mimi naassume ana biashara anafanya, hivyo kujenga ghorofa nne inawezekana
Atakuwa na maduka Kariakoo🤣🤣 ndugu zake wanauza..Mil mia kwa mshahara upi? Kumbuka pia saccos haiwezi kukukopesha kwa miaka 10
Mimi naassume ana biashara anafanya, hivyo kujenga ghorofa nne inawezekana
Wapo sana. Ila zinatosha kilichopostiwa hapa?Kwahio tra hakuna mfanyakazi wa kukopesheka 100mil
Nazungumzia mkopo sio jengoWapo sana. Ila zinatosha kilichopostiwa hapa?
Kwanza TAKUKURU/Sekretariati ya Maadili waanze na huyu wamfanyie Lifestyle audit. Kulinganisha kipato chake na uwekezaji anaoufanya.View attachment 2630959View attachment 2630960
Afisa wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Boniventure Pascal Madia (pichani), maarufu kama Boni amezua taharuki kubwa kwa wakazi wa Mbezi Juu kwa kujenga jengo la ghorofa 4 bila kibali cha Manispaa na bila kufuata viwango vya kitaalamu vya ujenzi na kutishia maisha ya wakazi hao kwa hofu ya jengo hilo kuanguka siku zijazo.
Wakazi wa Mbezi Juu/Goba bado wana kumbukumbu ya kuanguka kwa gorofa eneo la Goba kwa Awadhi mwaka 2021 na kuuwa watu wanne na sasa wanahofia maafa mengine kwenye Mtaa wa Nia Njema eneo la Mbezi Juu kwa Sanya.
Hofu ya wakazi wa eneo hilo ni kuwa afisa huyo wa TRA anajenga magorofa hayo chini ya viwango kwa kutumia nondo zenye milimita ndogo na mafundi wa mtaani bila kibali cha ujenzi cha manispaa.
Wakazi wa Mbezi Juu wanasema Boni alinunua nyumba ya chini iliyojengwa kwa msingi hafifu halafu akaigeuza kuwa jengo la gorofa 4 kwa kupandisha gorofa juu, huku akitumia mafundi wa mtaani, bila kibali cha ujenzi na bila kujenga msingi madhubuti unaoweza kujenga jengo la gorofa 4.
Hofu kubwa ya wakazi hao ni kuwa jengo hilo la gorofa linaloendelea kujengwa chini ya viwango huenda litadondoka siku zijazo na kuuwa watu kwenye eneo hilo.
Kila siku, wakazi hao wanapigwa na butwaa kuona afisa huyo wa TRA akiongeza gorofa kupanda juu kwenye jengo hilo, huku wakijua kuwa limejengwa kwenye msingi hafifu wa nyumba ya chini.
Viongozi wa serikali ya mtaa wa Mbezi Juu Kwa Sanya na Mtaa wa Nia Njema wameshindwa kuchukua hatua yoyote kuepusha maafa hayo na wanaachia gorofa hilo liendelee kujengwa bila kibali na chini ya viwango na kuhatarisha maisha ya wananchi.
Anapata wapi hela nyingi hivi?View attachment 2630959View attachment 2630960

Kwa Dar huu ni mtihani WA kwanza WA Mheshimiwa Mkuu WA Mkoa Chalamilla, hao polisi WA usalama waliongezwa mara kumi na Makonda, sasa ni Muda muafaka kuwapunguza Kwa kupangiwa Majukumu mengine, ila Rushwa ya Hawa Ndugu inatishaUlishawahi kuona mtoto wa bilionea anaajiriwa hovyo hovyo ?.
Ukiuliza huyo Bon anafanya biashara gani na analipa kodi iasi gani utabaki kushangaa na kusikitika.
Leo hii hakuna trafic asiyekuwa na usafiri wa uhakika,nyumba nzuri kwasababu ya rushwa za barabarani,jiulize kwanini askari anyelinda bank hana hata baskeli !.
Nchi yetu inahitaji viongozi watakao kuwa tayari kupambana na mifumo ya rushwa.