Tahadhari: Tatizo la Lissu ana "MUKU" ya MIUNGU Ukimdhulumu lazima ufe.

Zito kwa LIsU ,akae chini ausiyo
Wengine huwa ni nguvu za giza lakini wengine huwa ni natural wamepewa protections na Mungu au from nature or from the Universe call it what you like 👍
Unaweza pia ukawaita The Chosen ones !
Usichezee moto kwa kuwaonea hao watu !
Ni Hatari sana ! Sio Ulozi ni protection from the Universe 🙏🙏🙏 !
 
Mshindani wake hakuwahi kuwaza kuja kushindana naye, ilipotokea hili la kushindana naye, na kwa kuwa kwa kuwa kuna hilo zinaendelea, mshindani anaombea bora yaishe tu.
 
Naye ana MUKU. Ngoma drooo
Huoni anavyoweweseka ?
Mwenye MUKU huwa hana tabia ya kuwafanyia ubaya wengine bali huwa ana tabia ya kuwasaidia wengine !

Akiona watu wana shida anaumia sana moyoni !
Mwenye MUKU hamuonei mtu kwa namna yeyote ile !
Mwenye MUKU hana tamaa ya Ukwasi uliopitiliza !
Mwenye MUKU husamehe lakini hawezi kusahau !
Na mengi mengine ya namna hiyo 🙏🙏
 
Inashangaza sana watu humu ndani wanavyosifia mtu kuingia mkataba wa kulindwa na majini.

Maana MUKU ni kulindwa na majini, watu wanazidi kumuweka mbali Mungu, na hawana haja Naye.

Na narudia hakuna MUKU yoyote maana ingekuwa ni MUKU hakuna Risasi ingemuingia.

Hizo ni Kinga za kawaida basi.
 
When amedai ushoga sio shida? Mbona si yake katika sera ambazo amekuwa akitangaza?
 
Unatakiwa kupata somo kujua tofauti kati jini na malaika maana hawa viumbe wote hufanana kitabia hawaonekani na hufanya kazi zao back camera na wote wako very sensitive, sasa unaweza dhani unamuita jini kumbe ni malaika kuna mambo yapo kiroho sana kuyaelewa na hayo majina yasikuchanganye maana hawa hutofautishwa kwa matendo yao na sio majina yao
 
Mkuu wewe ndio unatakiwa upewe somo, hata Muku anayoizungumzia mleta mada kakosea, MUKU haiko hivyo.

Mtu anayeongozwa na Malaika Neno MUNGU Huwa halikauki kinywani mwake.

Na ukiniambia Magufuli alikuwa anaongozwa na Malaika naweza kukubali ila sio Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…