Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Wewe ulishiriki kuziunda hizo adhabu za kaburi? Na kama zipo kweli una hakika gani wanahukumiwa mpaka useme wapunguziwe adhabu?Membe yupo mikononi mwa Magufuli sasa hivi. Mungu awapunzie adhab za kabri hawa watu
Wakati wa JPM mlilijua hilo au ndo mmelijua sasaMimi siweki neno, maana siku yangu nami itakuja
Sio vizuri kushangilia kifo cha kiumbe yeyote
Kumbukeni unaefurahia kufa kwake pia ana wapendwa wake hata kama ni mbaya
Yani watu wamesahau waliyoyafanya sasa hivi wanalialia wanataka tulie nao 😊Kwanini tukemee Leo na siyo kipindi cha hayati Magufuli?
Tuweke kumbukumbu vizuri kuna watu walipiga picha zake anaagwa pale Taifa, na kukejeli kama aliyekufa ni mnyama.
Kwanza muombe familia ya Magufuli msamaha na kauli ya yule mzee asiyejielewa ifutwe kwamba wazuri awafi
Tumbo ni kiungo kinacho fedhehesha sana kama muhusika hayupo makini mkuu...😪Njaa
Akikujibu unitag Mkuu.N
Naomba uniletee uzi wako unaoonyesha kuwa ,uliandika Kama hivi wakati wa msiba wa JPM.
Niliuzunika sana mkuuYani watu wamesahau waliyoyafanya sasa hivi wanalialia wanataka tulie nao 😊
Ulikemea waliposhangilia kifo cha JPM? Watu wanashangilia kifo cha Amiri Jeshi Mkuu wazi wazi halafu viongozi waliokuwa wasaidizi wake wanakaa kimya. Mlitegemea nini? Waliset precedence mbaya sana.Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na hata viongozi wa kimila Nchi nzima!
Niliwahi kuandika kuwa kama Chama changu CCM hakitakuwa tayari kukabili Siasa hizi za chuki ndani ya Chama,hakika tunaweza tukawa tunajichimbia shimo kubwa kwa Siasa za baadae!Gharama za kutubu makosa ni ndogo sana kuliko gharama za kuja kupambana na chuki hizi za wazi ambazo zinaendelea kuota mizizi wazi wazi!
Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu personality kuwa above Institution matokeo yake ndio haya!Nadhani ili liwe somo kwa Siasa zetu.
Napenda kuwa bold kabisa na kuwataka vijana wa kitanzania kuachana na siasa za chuki ndani ya Chama chetu!Mpasuko ambao tunautengeneza leo unahatarisha sana safari yetu ya kushika dola!
Wote kwa Mungu tutarejea!Tuwaombee waliotangulia bila kudhihaki wala kuwanenea mabaya!
Kwaheri Mzee wangu Bernard Kamilus Membe,Kachero bora wa enzi zote katika Ulinzi na Diplomasia ya Taifa!
Kwake,wote tutarejea!
+255746726484.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mkuu,Watanzania wenzangu kifo Cha magufuli kiliniuma mnooooooo,nawachukia mno waliokuwa wanakejeli kifo kile,niliamua kupotezea lakini shangwe zinazotawala humu jf juu ya kifo Cha membe zimenitisha mnooooooo ,watanzania wenzangu kumbe mioyoni mwetu tumetunza chuki Kali namna hiiii!!!!!!!!! Naomba turudi kwenye mstari utanzania wetu unaporomoka kwa Kasi mnoooooooooooooooo,hii ni hatariiiiiiiiiiiiii nasema kwa kinywa wazi ni hatariiiiiiii
Kwanza kwa kumbukumbu tu mimi sio wa huko wala sijui mbio za maisha yenu na huyo mzee mda wake ulifika ingawa tulikuwa umri sawa.Wakati wa JPM mlilijua hilo au ndo mmelijua sasa
Hao wengi waliofurahia ni wepi? Acha kujizima data wewe, wale wote waliopaza kilio nyakati zile na mpka Leo mtaani analiliwa walikuwa mawe?Dunia hii kila anapokufa mtu kuna watu watafurahi na kuna watakaohuzunika. Kama aliyefariki alikuwa mtu mbaya wengi watafurahi. Na kama alikuwa mtu mzuri wengi watasikitika. Magufuli aliua watu kwa makusudi ndiyo maana wengi walifurahia kifo chake.
Walifkr watu tulifurahia kifo cha mwamba chenye utata , watu tuna chuki kali moyoni bas tuu, walivyo mafala wakawa wanashangilia na maneno ya dharau live live , ma_mae nataman hlo genge lote Mungu ashushe hata gharika life loteee yakaoze hukoo , maiti zao zipewe ndege wale... Bado wale watatu sidhan kama watatoboa 2025Kwanini tukemee Leo na siyo kipindi cha hayati Magufuli?
Tuweke kumbukumbu vizuri kuna watu walipiga picha zake anaagwa pale Taifa, na kukejeli kama aliyekufa ni mnyama.
Kwanza muombe familia ya Magufuli msamaha na kauli ya yule mzee asiyejielewa ifutwe kwamba wazuri awafi
Kushangilia au kutoshangilia kifo cha mtu hakubadili chochote katika wewe kufa.to be honest Mimi ni mmojawao. na ni maombi yangu wale wote waliomsumbua na kufurahia kifo Cha magufuli wakakufe wote hata saa hii.
Tatizo kubwa ni rais Dkt Samia. Yeye badala ya kuelekeza vyombo vyake vya ulinzi na usalama kukemea kebehi zidi ya hayati Dkt Magufuli aliachia hizo kebehi na dhihaka mpaka kwenye mkutano wa CCM na kwenye baadhi ya mikutano ya CCM.Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na hata viongozi wa kimila Nchi nzima!
Niliwahi kuandika kuwa kama Chama changu CCM hakitakuwa tayari kukabili Siasa hizi za chuki ndani ya Chama,hakika tunaweza tukawa tunajichimbia shimo kubwa kwa Siasa za baadae!Gharama za kutubu makosa ni ndogo sana kuliko gharama za kuja kupambana na chuki hizi za wazi ambazo zinaendelea kuota mizizi wazi wazi!
Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu personality kuwa above Institution matokeo yake ndio haya!Nadhani ili liwe somo kwa Siasa zetu.
Napenda kuwa bold kabisa na kuwataka vijana wa kitanzania kuachana na siasa za chuki ndani ya Chama chetu!Mpasuko ambao tunautengeneza leo unahatarisha sana safari yetu ya kushika dola!
Wote kwa Mungu tutarejea!Tuwaombee waliotangulia bila kudhihaki wala kuwanenea mabaya!
Kwaheri Mzee wangu Bernard Kamilus Membe,Kachero bora wa enzi zote katika Ulinzi na Diplomasia ya Taifa!
Kwake,wote tutarejea!
+255746726484.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Labda anamaanisha yale majizi, wavivu na wapiga diliHao wengi waliofurahia ni wepi? Acha kujizima data wewe, wale wote waliopaza kilio nyakati zile na mpka Leo mtaani analiliwa walikuwa mawe?
Najua nitakufa pia Ila namsubiria kwa hamu huyo Babuu 🤣🤣🤣Mie na namSubiri tu yule aliyesema WATU WAZURI HAWAFI...
Hata mie nimeshangaa sana hii hali. Aisee nimegundua Taifa limegawanyika sana. Kauli za mzaha mzaha kama zile watu wazuri hawafi Leo zinatumika kijinga kufurahia mauti ya Mzee MembeKama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na hata viongozi wa kimila Nchi nzima!
Niliwahi kuandika kuwa kama Chama changu CCM hakitakuwa tayari kukabili Siasa hizi za chuki ndani ya Chama,hakika tunaweza tukawa tunajichimbia shimo kubwa kwa Siasa za baadae!Gharama za kutubu makosa ni ndogo sana kuliko gharama za kuja kupambana na chuki hizi za wazi ambazo zinaendelea kuota mizizi wazi wazi!
Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu personality kuwa above Institution matokeo yake ndio haya!Nadhani ili liwe somo kwa Siasa zetu.
Napenda kuwa bold kabisa na kuwataka vijana wa kitanzania kuachana na siasa za chuki ndani ya Chama chetu!Mpasuko ambao tunautengeneza leo unahatarisha sana safari yetu ya kushika dola!
Wote kwa Mungu tutarejea!Tuwaombee waliotangulia bila kudhihaki wala kuwanenea mabaya!
Kwaheri Mzee wangu Bernard Kamilus Membe,Kachero bora wa enzi zote katika Ulinzi na Diplomasia ya Taifa!
Kwake,wote tutarejea!
+255746726484.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Usiseme watanzania sema wanaCCM hao ndiyo wenye roho za kichawi,mpaka wamewafundisha Waisilamu wa zanzibar uchawi,Mlipanga kumuuwa Tundi lisu na kusema maiti yake isipelekwe bungeni,mnaona sasa?Watanzania wenzangu kifo Cha magufuli kiliniuma mnooooooo,nawachukia mno waliokuwa wanakejeli kifo kile,niliamua kupotezea lakini shangwe zinazotawala humu jf juu ya kifo Cha membe zimenitisha mnooooooo ,watanzania wenzangu kumbe mioyoni mwetu tumetunza chuki Kali namna hiiii!!!!!!!!! Naomba turudi kwenye mstari utanzania wetu unaporomoka kwa Kasi mnoooooooooooooooo,hii ni hatariiiiiiiiiiiiii nasema kwa kinywa wazi ni hatariiiiiiii