Taifa letu limekosa upinzani halisi. WanaCCM wawe wapinzani wa kweli na kumkosoa rais Samia anapokosea

By the way Nchi za Afrika hata kama kungekuwa na upinzani wa vyama vya siasa mahili kabisa bado maendeleo hayawezi kuwepo.

Tukitaka kuendelea ni kuungana kuwa Nchi 1 na kuwaangusha EUROPE,CHINA na USA wanaoleta umasiki katika Nchi za kiafrika.
 
Upinzani utatoka wapi wakati lile jinga lilibana watu wasifanye siasa ili libaki lenyewe milele lakini Mungu kalikomesha.
 
Hii mada inahusiana vipi na uchaguzi? Wewe kushindwa uchaguzi wa 2020 ndio iwe kelele kila siku? Hapa tunahitaji wapinzani wataokosoa makosa kama kioo cha jamii

Wapinzani wakiwa kwenye platform gani wakati dhalimu aliwapora ushindi wao? Hata hivyo nani kakuzuia ww kuanzisha chama chako cha upinzani kisha ufanye kazi ya kukosoa?
 

Machafuko pekee ndio yataleta katiba ya kweli ya wananchi. Tuendelee kuomba hivi hivi jeshi letu liendelee kuwa walendo kwa CCM, ila siku likiamua kuwa na uzalendo kwa nchi ndio utakuwa mwisho wa CCM.
Nashauri tujikite kwenye mada iliyopo mezani.
P

Vumilia tu wakati tunakuweka sawa bro.
 
Machafuko pekee ndio yataleta katiba ya kweli ya wananchi. Tuendelee kuomba hivi hivi jeshi letu liendelee kuwa walendo kwa CCM, ila siku likiamua kuwa na uzalendo kwa nchi ndio utakuwa mwisho wa CCM.
Kati ya vitu ambavyo serikali yetu imefanikiwa sana ni kuajiri Wazalendo jeshini. Mtu ukiwa ni mzalendo, you will always be mzalendo!.
Tena nikumegee na siri nyingine!, ajira za umma ni kwa wale tuu waliopita JKT!, ila hili halisemwi!, mnashangaa tuu mtu mmemaliza nae Shule, wewe umepasua ukajiunga chuo kikuu direct bila kupoteza muda JKT, mwenzako ni kilaza wa shule ya kuunga unga, ajira zinatoka anachumuliwa yeye!.
Vumilia tu wakati tunakuweka sawa bro.
Kwa ngozi ngumu tuu, hapa umefika, mamba atasubiri, labda Kobe!.
P
 
Siamini namna Mbowe alivyotugeuka kwa sarakasi moja matata..binafsi simlaumu ameteseka Sana kwakweli tumuache ajifute machozi..muache apate kifuta machozi..
 
Tanzania haingozwi na siasa za vyama bali dola!!!
 

Magereza sio kutamu
 
Magufuli aliona mapema hakuna wapinzani wenye nia na maslahi ya wananchi wote ni wachumia tumbo ndio akaanza kuwashughulikia
Alifanya utafiti wapi?.ila pia alipewa mamlaka na nani yakushughulikia wapinzani,maana hiyo sio kazi aliiyoiomba kwa wananchi na akaapa kwa katiba.Magufuli alikua dhaifu ndo maana aliogopa changamoto za wapinzani wake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wasaka fursa, teuzi na bahasha za kaki!
Wanazidi kuwachanganya wananchi waliochanganyikiwa!
 
Kwani wapinzani sasahivi kipi cha maana mnafanya kutetea maslahi ya wananchi? zaidi ya kulamba asali na kumsema sema marehemu Magufuli kwenye mikutano yenu
 
Aisee we ni asset ya Taifa!
Kwa nguvu ya ccm leo, uchu wa madaraka, na hofu ya kuwajibishwa, nakiri kwa kinywa kuwa CCM haitiachii serkali leo wala karibuni mpaka hapo itakapopasuka kutokea ndani!
Mabadiliko pekee tunaweza kupata ni uundwaji serkali ya umoja wa kitaifa ya kuzugia kama Zanzibar.
 
Unaijuaaa v8 weeeeweee

Unapigwa kiyoyozi kuanzia kwenye unyayo mpaka utosini

Ova
 
Wewe ni kuunga mkono tu maoni ya wenzako. Unaonaje ukiungana nao kuunda upinzani thabiti mnaoutamani kwa vitendo.
Ye mwenyewe anatafuta line Alambe asali

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…