Taifa letu limekosa upinzani halisi. WanaCCM wawe wapinzani wa kweli na kumkosoa rais Samia anapokosea

Taifa letu limekosa upinzani halisi. WanaCCM wawe wapinzani wa kweli na kumkosoa rais Samia anapokosea

By the way Nchi za Afrika hata kama kungekuwa na upinzani wa vyama vya siasa mahili kabisa bado maendeleo hayawezi kuwepo.

Tukitaka kuendelea ni kuungana kuwa Nchi 1 na kuwaangusha EUROPE,CHINA na USA wanaoleta umasiki katika Nchi za kiafrika.
 
Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.

Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.

Ona wakilamba asali

View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Upinzani utatoka wapi wakati lile jinga lilibana watu wasifanye siasa ili libaki lenyewe milele lakini Mungu kalikomesha.
 
Hii mada inahusiana vipi na uchaguzi? Wewe kushindwa uchaguzi wa 2020 ndio iwe kelele kila siku? Hapa tunahitaji wapinzani wataokosoa makosa kama kioo cha jamii

Wapinzani wakiwa kwenye platform gani wakati dhalimu aliwapora ushindi wao? Hata hivyo nani kakuzuia ww kuanzisha chama chako cha upinzani kisha ufanye kazi ya kukosoa?
 
Links ni rejea tuu ya tulisema nini na nini kikatokea ili tusiseme tena na tena kwa nini CCM inaendelea kutawala milele!.

Wewe umeita Maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi, mimi ninetumia jina la igizo la uchaguzi Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Sio lazima kutokea machafuko, Mama anabadili katiba, sheria na kuleta Tume huru ya uchaguzi , hivyo uchaguzi 2025 utakuwa uchaguzi huru na wa haki.

Jeshi letu ni Jeshi la Wananchi Wazalendo sio jeshi la mamluki.

Nakubaliana na wewe CCM itatawala milele.
P

Machafuko pekee ndio yataleta katiba ya kweli ya wananchi. Tuendelee kuomba hivi hivi jeshi letu liendelee kuwa walendo kwa CCM, ila siku likiamua kuwa na uzalendo kwa nchi ndio utakuwa mwisho wa CCM.
Nashauri tujikite kwenye mada iliyopo mezani.
P

Vumilia tu wakati tunakuweka sawa bro.
 
Machafuko pekee ndio yataleta katiba ya kweli ya wananchi. Tuendelee kuomba hivi hivi jeshi letu liendelee kuwa walendo kwa CCM, ila siku likiamua kuwa na uzalendo kwa nchi ndio utakuwa mwisho wa CCM.
Kati ya vitu ambavyo serikali yetu imefanikiwa sana ni kuajiri Wazalendo jeshini. Mtu ukiwa ni mzalendo, you will always be mzalendo!.
Tena nikumegee na siri nyingine!, ajira za umma ni kwa wale tuu waliopita JKT!, ila hili halisemwi!, mnashangaa tuu mtu mmemaliza nae Shule, wewe umepasua ukajiunga chuo kikuu direct bila kupoteza muda JKT, mwenzako ni kilaza wa shule ya kuunga unga, ajira zinatoka anachumuliwa yeye!.
Vumilia tu wakati tunakuweka sawa bro.
Kwa ngozi ngumu tuu, hapa umefika, mamba atasubiri, labda Kobe!.
P
 
Siamini namna Mbowe alivyotugeuka kwa sarakasi moja matata..binafsi simlaumu ameteseka Sana kwakweli tumuache ajifute machozi..muache apate kifuta machozi..
 
Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.

Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.

Ona wakilamba asali

View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Tanzania haingozwi na siasa za vyama bali dola!!!
 
Magereza sio kutamu
 
Magufuli aliona mapema hakuna wapinzani wenye nia na maslahi ya wananchi wote ni wachumia tumbo ndio akaanza kuwashughulikia
Alifanya utafiti wapi?.ila pia alipewa mamlaka na nani yakushughulikia wapinzani,maana hiyo sio kazi aliiyoiomba kwa wananchi na akaapa kwa katiba.Magufuli alikua dhaifu ndo maana aliogopa changamoto za wapinzani wake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yaani umenena vyema kabisa. Tatizo ni hawa wananchi wanafiki, ndumilakuwili na wavizia fursa za madaraka hata kama ni kwa kumpamba shetani.

Wakati haki zinakanyagwa kwa kiwango cha kutisha, ndio wakati ambao akina Pascal Mayala na akina Idugunde walikuwa wanasema hakuna hata haja ya kufanya uchaguzi, Magufuli aendelee. Ni kipindi kilichokuwa kimejaa uharamia wa hali ya juu. Wakati akina Makonda wanateka, kutesa na kuua watu, Pascal Mayala alikuwa anasema eti siku Magufuli akiondoka madarakani, Makonda ndiyo awe Rais! Ebu fimikiria watu wa namna hiyo. Yaani Makonda apewe zawadi ya Urais kwa sababu ya kuongoza vizuri kikundi cha kuteka, kutesa na kuua watu.

Kwa watu wa namna hii, uhai wa wale waliokuwa wakiuawa na kupotezwa hauna thamani, wanataka muuaji aongezewa madaraka zaidi ili aue wengi zaidi.

Halafu leo utawasikia nao eti wanaongelea haki au siasa za upinzani, huo uhalali wanaupata wapi?
Wasaka fursa, teuzi na bahasha za kaki!
Wanazidi kuwachanganya wananchi waliochanganyikiwa!
 
Alifanya utafiti wapi?.ila pia alipewa mamlaka na nani yakushughulikia wapinzani,maana hiyo sio kazi aliiyoiomba kwa wananchi na akaapa kwa katiba.Magufuli alikua dhaifu ndo maana aliogopa changamoto za wapinzani wake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwani wapinzani sasahivi kipi cha maana mnafanya kutetea maslahi ya wananchi? zaidi ya kulamba asali na kumsema sema marehemu Magufuli kwenye mikutano yenu
 
Mkuu Idugunde , kwanza naunga mkono hoja, na pili kwa idhini yako, naomba kulitumia bandiko lako kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.

Hii hali ya Tanzania kukosa upinzani imara wa kuweza kuiondoa CCM ndio sababu ya CCM kujirekebisha Kia uchao na kuendelea kutawala probably milele!.

P
Aisee we ni asset ya Taifa!
Kwa nguvu ya ccm leo, uchu wa madaraka, na hofu ya kuwajibishwa, nakiri kwa kinywa kuwa CCM haitiachii serkali leo wala karibuni mpaka hapo itakapopasuka kutokea ndani!
Mabadiliko pekee tunaweza kupata ni uundwaji serkali ya umoja wa kitaifa ya kuzugia kama Zanzibar.
 
Mkuu Idugunde , kwanza naunga mkono hoja, na pili kwa idhini yako, naomba kulitumia bandiko lako kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.

Hii hali ya Tanzania kukosa upinzani imara wa kuweza kuiondoa CCM ndio sababu ya CCM kujirekebisha Kia uchao na kuendelea kutawala probably milele!.

P
Unaijuaaa v8 weeeeweee

Unapigwa kiyoyozi kuanzia kwenye unyayo mpaka utosini

Ova
 
Back
Top Bottom