Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Bams , karibu mitaa hii uangalie kundi langu Elections 2015 - Tuko Vitani Tuna Wapiganaji Shupavu, Wapiganaji Makini na Watazamaji, Je! Wewe Uko Kundi Gani ?Hapo tumekupata. Kwa kweli mwenzetu huyu Mayala, anastahili kutujibu, ni ndege au mnyama? Maana si moto si baridi, haeleweki!
Sisi tuliomo humu ni sampuli ndogo ya waliopo nje ya JF. Unaweza kuelewa jamii yetu ilivyo kigeugeu.
p