Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

Mm ni Ccm,nisiye na unafki ila ubungo wapinzani mshindwe wenyewe tu
 
Hapana umeweka uchama pembeni kabisa. Erythrocyte ana cha kujifunza hapa. Siyo kila wakati unakipambania CHADEMA hata kwa yasiyo na tija kwa Taifa.
 
Mm ni Ccm,nisiye na unafki ila ubungo wapinzani mshindwe wenyewe tu
Watu hawampendi Kitila. Kuna jamaa fulani pale Makuburi wanasema arudi upinzani alikotokea..

Kiukweli jamaa alikuwa planted na Magu pale Ubungo. Nia yake alikuwa agombee Iramba Magharibi ila Mwigu akataka kumuwashia moto wa rushwa ndipo Magu akamtonya kwamba toka huko haraka njoo Ubungo.

Wengine planted ni Prof Mkenda-Rombo, Prof. Ndakidemi-Moshi Vijijini, Prof. Kabudi-Kilosa, Prof. Ndakichako-sikumbuki jimbo, Dr. Kimei-Vunjo et al
 

Je vyama vya upinzani vina roadmap yoyote kuelekea uchaguzi ujao? Wamejipangaje kuhusu changamoto za Tume ya uchaguzi na kanuni zake?
 
Kitila watu sasa wanamuonesha waziwazi hatukupendi ,hamna alichofanya ubungo,kumbuka ubungo wamekaa watu wanaojielewa sana hasa wachaga wengi mno, dar makazi ya wachaga yapo ubungo
 
Ma CCM yatakubali kirahisi kweli? Kama uchaguzi ukiwa huru ni ngumu sana CCM kupenya! Watabaki na majimbo ya Wagogo!
Hata Ruvuma,Tabora na Singida wanaweza kubakinayo pia maana kuna vilaza sio mchezo huwaambii kitu kwa kijani.

Lakini mikoa mingine uchaguzi ungekuwa huru wataambulia manyoya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…