Counsellor Sima
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 539
- 576
Khaaaaa aliyelogwa sasa haponi tena au.....au mgonjwa yupi....na faham kwamba magonjwa mengi sana au asilimia kubwa ya wagonjwa mahospitalin hawaumwi, nitafute nikukuze......au upo dunia gan...unafaham kwamba unaweza kufika hospitalin ukapimwa na ukaambiwa huna maji yaoaswa utundikiwe drip ya maji chap...na ni kwa sababu una malaria kali...lkn kiuhalisia huna malaria...wewe huumwi lolote[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] take care.Ukimwombea mgonjwa anapona
Huu ujinga asilimia kubwa sana wanaamini
Kwa Lissu ni Raisi wa mioyo ya watanzaniaSisi ni dona kantri tutembee kifua mbele
Amina, let them know kwamba mwanadamu anaweza kuamua tu mtu flani augue ugonjwa flani, na ukahangaika mpaka ukafa, lkn kumbe ur ignorant, hukujua kwamba umeletewa ugonjwa na jiran au ndugu yako.....Damu ya Yesu haijawah shindwa kitu hata siku moja, mtu aamin ama asiamin, lkn tuu ukifaham namna ya kuitumia, na kuiamini.Mimi nimewahi kuombewa 2003 ugonjwa wa pumu nikapona mpaka leo.
Porojoo hizii...Khaaaaa aliyelogwa sasa haponi tena au.....au mgonjwa yupi....na faham kwamba magonjwa mengi sana au asilimia kubwa ya wagonjwa mahospitalin hawaumwi, nitafute nikukuze......au upo dunia gan...unafaham kwamba unaweza kufika hospitalin ukapimwa na ukaambiwa huna maji yaoaswa utundikiwe drip ya maji chap...na ni kwa sababu una malaria kali...lkn kiuhalisia huna malaria...wewe huumwi lolote[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] take care.
Hao wanadamu wanaoleta hayo magonjwa yakichawi sisi ndio tunawataka mtu connect nao....acheni porojo nyingi twendeni kwa vitendoAmina, let them know kwamba mwanadamu anaweza kuamua tu mtu flani augue ugonjwa flani, na ukahangaika mpaka ukafa, lkn kumbe ur ignorant, hukujua kwamba umeletewa ugonjwa na jiran au ndugu yako.....Damu ya Yesu haijawah shindwa kitu hata siku moja, mtu aamin ama asiamin, lkn tuu ukifaham namna ya kuitumia, na kuiamini.
Heew how comes uletewe mchawi, nani kakuambia vita ya kichawi ni ya kimwili hahaaaaaa pambana kimwili kama hujamalizwa dakika moja asubuh hahaaa.....issue ya kiroho kama bado huielew iache na endelea kuamin namna unaamin .....lkn ninakuambia kuna siku utakumbuka huu uzi, na utanitafuta......Hao wanadamu wanaoleta hayo magonjwa yakichawi sisi ndio tunawataka mtu connect nao....acheni porojo nyingi twendeni kwa vitendo
Siwezi kukumbuka mambo ya kijinga kama haya...anyway wewe amini unachoamini mimi najua uchawi haupo nitaingia kaburini nikiamini hvyoHeew how comes uletewe mchawi, nani kakuambia vita ya kichawi ni ya kimwili hahaaaaaa pambana kimwili kama hujamalizwa dakika moja asubuh hahaaa.....issue ya kiroho kama bado huielew iache na endelea kuamin namna unaamin .....lkn ninakuambia kuna siku utakumbuka huu uzi, na utanitafuta......
I have real examples hongera kwa dunia unayoishi.....mim ninaona kimwili as well as kiroho, kama ww unaona kimwili tu, ur not in ma level, I wll be superior than u always.Porojoo hizii...
Good for u, and good lucky too[emoji3][emoji3] faham kwamba shetani hakuogopi kwa kukiri kwako kwamba humjui, shetan anapenda sana watu wasiojua kwamba yeye hana authority, utachezea tuu kwake hata kama unamtukuza kwa kuogopa kukiri kwamba yupo.....nasemaaaaaaaaa karibu tena kwa ushaur akishakupiga teke.Siwezi kukumbuka mambo ya kijinga kama haya...anyway wewe amini unachoamini mimi najua uchawi haupo nitaingia kaburini nikiamini hvyo
Shetani ni nanii?? Usiniambie zile fiction stories kwenye kile kitabu chenu pendwa kilichoandikwa na wajanja waliowahi kuipata elimu nazo unaziaminiGood for u, and good lucky too[emoji3][emoji3] faham kwamba shetani hakuogopi kwa kukiri kwako kwamba humjui, shetan anapenda sana watu wasiojua kwamba yeye hana authority, utachezea tuu kwake hata kama unamtukuza kwa kuogopa kukiri kwamba yupo.....nasemaaaaaaaaa karibu tena kwa ushaur akishakupiga teke.
Pumzika kwanza, tafakari then amini unachoamini, unafikir hao wajanja walioandika wakat huo walikuwa ni waongo? Kila unachokitumia na kilichopo na kinachoendelea duniani mbona kipo kweny hcho kitabu, huwaz walikuwa na akili gan mpaka wakaandika maono yote yale, sipo kiupinzani lkn penye ukwel wacha ukwel ushike hatamu.......Shetani ni nanii?? Usiniambie zile fiction stories kwenye kile kitabu chenu pendwa kilichoandikwa na wajanja waliowahi kuipata elimu nazo unaziamini
Pole sana
Subiri akirudi utamuona.
Endeleeni kulishana ujinga na hao masheikh wenu mumsubiri Muhammad aliyewahi viwanja wakati naye anamsubiri Yesu huyohuyo na hatma yake anaijua Massiah
Wanaume hawanyi.
Mkuu mimi kudai kwangu kuwa yupo au kusema yupo ni imani,na kuna dalili na sababu za kuamini hivyo na ndiyo maana kuna watu ambao nao wanaamini hivyo ingawa wao si wafuasi wa Muhammad wala Yesu.
Sasa hawa wanasema kuwa hayupo na ndio maana sie tunaosema yupo hatuwezi kuthibitisha kuwa yupo.
Eti akhera kila kidume anapewa mabikira 7.πππYesu ni mungu...lakini inajulikana wazi Yesu yeye si Mungu... wala mwana wa Mungu..
...ingekuwa vizuri mno ungeyaweka hadharani hapa japo nusu tu ya yaliyokukuta ili wasioamini waanze kuamini kwamba Uchawi upo...!Rwazi1
Mwaka fulani nilikuwa Marya wakati huo ndio ajira changa niko under 20 nimeajiriwa mdogo sana, siamini kitu kinaitwa uchawi kabisa ila after 5 bad years nilinyoosha mikono na hata kwingine kote nilikopita hadi ndani ya familia yetu yakatukuta makubwa ambayo siwezi kuyaanika hapa.
Bro uchawi UPO
Unamzungumzia mudi?Hallow naona unakoelekea siko, unataka matatizo wewe, sio bure. Mbona mtume wenu yule mwarabu sisi hatujamsema? Heshimu Imani za watu.
Usiseme hivyo. Niliwahi kuombewa uvimbe wa kwenye ziwa, yaani vipimo vilishakamilika ni kwenda upasuaji tu.Hakuna kitu kama hicho, yani maneno yakuponueshe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli Waafrica ipoo shidaa
Huyo aliekuombe akipata homa tu unamkuta kwenye foleni za Mloganzila.