Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

Taasisi 450 !!??????? Au na Taaisisi za Mashoga umejumlishia humo?
 
Taasisi 450 !!??????? Au na Taaisisi za Mashoga umejumlishia humo?
Ziko nyingi.
Kuna wakala kadhaa
Kuna mamlaka kadhaa
Kuna kampuni kadhaa
Kuna mashirika kadhaa
Kuna ofisi (yaani ofisi ya fulani) kadhaa
Kuna idara kadhaa
Kuna bodi kadhaa
Kuna mifuko kadhaa.
Kuna local government's authorities.
N.k
 
Ziko nyingi.
Kuna wakala kadhaa
Kuna mamlaka kadhaa
Kuna kampuni kadhaa
Kuna madhirika kadhaa
Kuna ofisi (yaani ofisi ya fulani) kadhaa
Kuna idara kadhaa
Kuna bodi kadhaa
Kuna mifuko kadhaa.
Kuna local government's authorities.
N.k
Kijana, Taasisi hazifiki 450. Labda kama unamaanisha Ofisi za serikali , kuanzia Serikali za Mitaa.
 
Boss wa Taaisisi zote? Kwanza unajua nini maana ya neno Taasisi?
Ndugu kwa ujumla tunaita taasisi hata vile vyombo sita vya Ulinzi na usalama tunaviita taasisi. Ingawa kwa namna nyingine neno taasisi linajitenga maana kuna ofisi zingine title zake ni TAASISI.
Siko hapa kubishana. Ni heri kila mtu abaki na analolijua
 
Takukuru
 
Msalimie BOSS wa Taasisi zote Tanzania.
Kila mwajiriwa ana maboss 3 tu katika nchi hii, hao ndio huweza hata kumfukuza kazi
1. Rais
2. Katibu mkuu kiongozi na
3. Mkuu wa taasisi yako .
Mwenye taarifa zote na aliyekasimishwa mamlaka juu ya watumishi wote na RAIS ni katibu mkuu kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…