Askwary Amnaay Siay
Member
- Nov 15, 2022
- 20
- 14
Wanauza spea za magari bei ghali sana mara tatu ya maduka mengineHow?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanauza spea za magari bei ghali sana mara tatu ya maduka mengineHow?
Mimi ninakerwa mnooo na msg za kila dakika kutoka hawa wapumbavu PATA PATA...Tatu mzuka wamekukula nini?
Au makolokolo ya mchina yamekumaliza?
Ongezea na TUME ya matumizi bora ya ardhi, yaani hawa wamefeli kabisa kwenye issue ya kuhakikisha mipango ya matumizi bora ya ardhi za vijiji inafanya kazi na hivyo kuondoa migogoro isiyoisha ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima.
Crdb [emoji23] [emoji23] [emoji23]NIDA
CRDB
Bodi ya chaiHabari!
Serikali ya TANZANIA ina taasisi nyingi, ni zaidi ya 450 kama sitakosea.
Kila taasisi iliundwa kwa lengo na dhumini maalumu, ingawa baadhi ya taasisi zimefeli kwa % nyingi kutkana na uongozi mbovu wa taasisi husika au kukosa fedha za kuiendesha.
Kuna taasisi hazifai kabisa, zimeonyesha failure kwa kiwango kikubwa. Zilipaswa zifutwe haraka hata bila majadliano ya Bunge.
Binafsi BASATA ifutwe haraka.
Hivi polisi ni taasisi?Habari!

mnamanisha maziwa ya kunywa ama hizi water bodiesNiko na wewe kwenye bodi ya maziwa
Hivi wenye mamlaka hawapitagi kweli kuchukua mawili matatu ya maana, ona wazo zuri kama hiliNida waiunganishe na Watu wanao toa vyeti vya kuzaliwa!
Katika ubora kwa herufi kubwa 😅😅😅Taasisi zote za walimu
Nilienda NIDA kufatilia kitambulisho changu, jamaa namueleza shida yangu anarukia ulijiandikishia wapi? namtajia (Ni mkoa tofauti) ananijibu nenda ulipojiandikishia!NIDA wameupiga mwingi.
Kila mtu kajeruhiwa na NIDA
Kwa uelewa wangu mdogo mkuu wa taasisi zote ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, unaposema uliambiwa na mkuu wa taasisi zote, basi kaka we mtu mzito sanaNdugu kwa ujumla tunaita taasisi hata vile vyombo sita vya Ulinzi na usalama tunaviita taasisi. Ingawa kwa namna nyingine neno taasisi linajitenga maana kuna ofisi zingine title zake ni TAASISI.
Siko hapa kubishana. Ni heri kila mtu abaki na analolijua