Ningependa kukuambia aendelee kusubiri maana hiyo tarehe ya usaili bado haijafika. 2022 mlifika lini wenzetu?NAMNA KITUO CHA KAZI KILIVYOPORWA.
Donald Mshani aliomba kazi serikalini mwezi February 2021 baada ya tangazo la nafasi ya MUHIFADHI WANYAMA PORI DARAJA LA 3 katika halmashauri ya wilaya ya Njombe
Mkuu usilichukilie ili swala kwa vile umeshiba,chukulia ndio wewe ama mdogo wako ndio anafanyiwa ivi....usichukulie poa jamaa anachofanya ni kupambania haki yake,angekuwa hajaitwa basi angeangalia njia nyingine lakini mpaka kuitwa basi uwezo wake umeonekana so lazima apambanie haki yakeMkuu Liability pole kwa yote uliyopitia. Naomba usinipige mawe kwa nitayoandika hapa. Jambo lililokumba linaweza kabisa likawa ni kosa la kibinadamu tu na sio RUSHWA kama unavyodhani...
Tyiping error ya maelezo yake ni 2020Ningependa kukuambia aendelee kusubiri maana hiyo tarehe ya usaili bado haijafika. 2022 mlifika lini wenzetu?
Eeh akisumbua sana wanamnyoosha kimya kimya tena anaempa idea sijui za kumtafuta katibu mkuu ndio anampoteza maana hao watu wanajuana! Akitafutwa na katibu mkuu ikawa wana Link ndio itakula zaidi kwake mambo ya vyeo mtu anaweza akakutumia hata watu wakuue akukomeshe tu!Ila hii bongo uonevu ni mwingi Kama huna mkwanja na connection....
Usipokuwa Makini watakupoteza!!!
Apambane ila ajue CCM ni ukoo wa panyaMkuu usilichukilie ili swala kwa vile umeshiba,chukulia ndio wewe ama mdogo wako ndio anafanyiwa ivi....usichukulie poa jamaa anachofanya ni kupambania haki yake,angekuwa hajaitwa basi angeangalia njia nyingine lakini mpaka kuitwa basi uwezo wake umeonekana so lazima apambanie haki yake
Hao watu hawanaga msaada kama wanajuana 😅😅😅 watampiga dana dana mpaka mwaka uisheKijana kawasiliana Hadi na waziri mchengerwa naye kampiga chenga ya mwili bila msaada
Sio kwa mama Samiabasi waliofanya iyo mistake wote wachukuliwe hatua
Ndio maana ameamua kwenda kulima tuuuHao watu hawanaga msaada kama wanajuana 😅😅😅 watampiga dana dana mpaka mwaka uishe
BoraNdio maana ameamua kwenda kulima tuuu
Watamsumbua sana kindumba, kikazi na watakuwa wanamnyima ushirikianoPia ajue mpaka hapo amesha tangaza vita na hata akiipata nafasi anaweza undiwa zengwe akaishia jela!!
Inshort akipata hiyo nafasi awe makini sana!
Watumbuliwe na nani?Hili haliwezekani aise hao wote watumbuliwe. Ikiwezekana wapeleke mahakamani.
Wewe tafadhalihakuna watu wasenge kama hao ng'ombe wanaofanya kazi UTUMISHI na TAMISEMI...na dawa yao hawa ni kumtegeshea akiwa anatoka ofisini anaelekea nyumbani unamwagia tindikali usoni..
Inaweza kutokea lakini haiwezekani.Ila hii bongo uonevu ni mwingi Kama huna mkwanja na connection....
Usipokuwa Makini watakupoteza!!!
Hajapewa kipya.Soma mada yote ndiyo ujibuMie hata sikupi pole, kwani lazima ufanye kazi huko uliko? Ajira ngumu, umepata kituo kipya cha kazi kwanini usiende? Nenda Kafanye kazi acha kulalamika aisee, wenzio huwa wanaomba hata wakibadilishwa vitu mara mia cha muhimu Ana ajira. Wewe mvivu na huna shida ya ajira
Una ushahidi kapewa kipya?Mie hata sikupi pole, kwani lazima ufanye kazi huko uliko? Ajira ngumu, umepata kituo kipya cha kazi kwanini usiende? Nenda Kafanye kazi acha kulalamika aisee, wenzio huwa wanaomba hata wakibadilishwa vitu mara mia cha muhimu Ana ajira. Wewe mvivu na huna shida ya ajira
Na inavyuja Mara nyingiKiukweli kabisa mimi na hao sekretarieti ya ajira sina hamu nayo kabisa,mwenye wa 5 walituita kwenye usaili ambao tuliitwa elfu 3 lakini tuliohudhuria tulikuwa kama elfu 2,tumeingia kwenye usaili Dodoma udom kiukweli kabisa ni kichekesho na maajabu niliyoyaona kwa macho yangu,
mtihani wa writing ulivuja tena sana nilikaa na jamaa pembeni yangu yaani alikuwa anajua kila kitu aliingia na karatasi ya majibu,kiukweli niliishiwa nguvu ya kuendelea na mtihani.
Mamlaka za juu wanatakiwa waichunguze hii tume ya ajira kiukweli kabisa haina maana kuita watu kila pembe ya nchi ilihali wanajua saili wanazofanya hazina maana,heri waite watu wao tu na wawape kazi kuliko mausumbufu kama haya