TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

Status
Not open for further replies.
NAMNA KITUO CHA KAZI KILIVYOPORWA.

Donald Mshani aliomba kazi serikalini mwezi February 2021 baada ya tangazo la nafasi ya MUHIFADHI WANYAMA PORI DARAJA LA 3 katika halmashauri ya wilaya ya Njombe
Ningependa kukuambia aendelee kusubiri maana hiyo tarehe ya usaili bado haijafika. 2022 mlifika lini wenzetu?
 
Mkuu Liability pole kwa yote uliyopitia. Naomba usinipige mawe kwa nitayoandika hapa. Jambo lililokumba linaweza kabisa likawa ni kosa la kibinadamu tu na sio RUSHWA kama unavyodhani...
Mkuu usilichukilie ili swala kwa vile umeshiba,chukulia ndio wewe ama mdogo wako ndio anafanyiwa ivi....usichukulie poa jamaa anachofanya ni kupambania haki yake,angekuwa hajaitwa basi angeangalia njia nyingine lakini mpaka kuitwa basi uwezo wake umeonekana so lazima apambanie haki yake
 
Ila hii bongo uonevu ni mwingi Kama huna mkwanja na connection....

Usipokuwa Makini watakupoteza!!!
Eeh akisumbua sana wanamnyoosha kimya kimya tena anaempa idea sijui za kumtafuta katibu mkuu ndio anampoteza maana hao watu wanajuana! Akitafutwa na katibu mkuu ikawa wana Link ndio itakula zaidi kwake mambo ya vyeo mtu anaweza akakutumia hata watu wakuue akukomeshe tu!
 
Mkuu usilichukilie ili swala kwa vile umeshiba,chukulia ndio wewe ama mdogo wako ndio anafanyiwa ivi....usichukulie poa jamaa anachofanya ni kupambania haki yake,angekuwa hajaitwa basi angeangalia njia nyingine lakini mpaka kuitwa basi uwezo wake umeonekana so lazima apambanie haki yake
Apambane ila ajue CCM ni ukoo wa panya
 
Pia ajue mpaka hapo amesha tangaza vita na hata akiipata nafasi anaweza undiwa zengwe akaishia jela!!

Inshort akipata hiyo nafasi awe makini sana!
Watamsumbua sana kindumba, kikazi na watakuwa wanamnyima ushirikiano
 
Ila hii bongo uonevu ni mwingi Kama huna mkwanja na connection....

Usipokuwa Makini watakupoteza!!!
Inaweza kutokea lakini haiwezekani.
Inabidi atafute kazi nyingine, PR yake amekwisha iharibu kwa kuweka kila kitu JF.
Lakini pia atueleze kwanini anang'ang'ania sana hiyo nafasi kiasi cha kufanya hadi Waziri asiyefahamu yaliyo chini huko kumsumbua sumbua kwa simu?
 
Mie hata sikupi pole, kwani lazima ufanye kazi huko uliko? Ajira ngumu, umepata kituo kipya cha kazi kwanini usiende? Nenda Kafanye kazi acha kulalamika aisee, wenzio huwa wanaomba hata wakibadilishwa vitu mara mia cha muhimu Ana ajira. Wewe mvivu na huna shida ya ajira
 
Hajapewa kipya.Soma mada yote ndiyo ujibu
 
Pole sana; ushauri wangu fuata maelekezo uliyopewa kwamba usubiri nafasi zingine zikipatikana watakufanyia placement. Bila shaka itakuwa wamekuweka ktk database. Kuwa na subira mkuu
 
Mie hata sikupi pole, kwani lazima ufanye kazi huko uliko? Ajira ngumu, umepata kituo kipya cha kazi kwanini usiende? Nenda Kafanye kazi acha kulalamika aisee, wenzio huwa wanaomba hata wakibadilishwa vitu mara mia cha muhimu Ana ajira. Wewe mvivu na huna shida ya ajira
Una ushahidi kapewa kipya?
 
Kiukweli kabisa mimi na hao sekretarieti ya ajira sina hamu nayo kabisa,mwenye wa 5 walituita kwenye usaili ambao tuliitwa elfu 3 lakini tuliohudhuria tulikuwa kama elfu 2,tumeingia kwenye usaili Dodoma udom kiukweli kabisa ni kichekesho na maajabu niliyoyaona kwa macho yangu,

mtihani wa writing ulivuja tena sana nilikaa na jamaa pembeni yangu yaani alikuwa anajua kila kitu aliingia na karatasi ya majibu,kiukweli niliishiwa nguvu ya kuendelea na mtihani.

Mamlaka za juu wanatakiwa waichunguze hii tume ya ajira kiukweli kabisa haina maana kuita watu kila pembe ya nchi ilihali wanajua saili wanazofanya hazina maana,heri waite watu wao tu na wawape kazi kuliko mausumbufu kama haya
Na inavyuja Mara nyingi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom