TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

Status
Not open for further replies.
Dogo utumishi wa umma hautaki kiburi cha namna yako, naamini umeshaajiriwa na utapangiwa kituo kipya baada ya mkanganyiko uliotokea kumalizwa. Kwa aina yako ya kubwabwaja ovyo hakuna mwajiri yeyote atakeyependa kukuajiri, sio Serikalini tu hata huko private.
Nitamoa ushauri
 
Kwa jinsi nnavyoelewa urasimu was serikalini ulivyo hapo kesi ni ngumu kidogo

Na option iliyopo ni hiyo tu5ya kusubiri nafasi za dharura ili wakuweke hapo. Manaake sioni Kwa namna yoyote ile jamaa aliyepo kazini kutolewa upewe we we

Sijui ni nini haswa kilitokea mpaka wakajichanganya ila solution ndio hiyo moja tu

USHAURI: Komaa nao hivyo hivyo wasikusahau.Ukilegea tu itatokea nafasi nyingine watakuruka
Pia ajue mpaka hapo amesha tangaza vita na hata akiipata nafasi anaweza undiwa zengwe akaishia jela!!

Inshort akipata hiyo nafasi awe makini sana!
 
Dogo utumishi wa umma hautaki kiburi cha namna yako, naamini umeshaajiriwa na utapangiwa kituo kipya baada ya mkanganyiko uliotokea kumalizwa. Kwa aina yako ya kubwabwaja ovyo hakuna mwajiri yeyote atakeyependa kukuajiri, sio Serikalini tu hata huko private.
Hapo unamtisha, haki hupiganiwa, huiokoti kama embe chini ya mti. Ni mwajiri mpumbavu tu atakaebeza dhuluma hii.
 
Nchi isharudi enzi za Jk hii, hapo hakuna msaada tena nakushauri utafute pesa uhonge utaajiriwa tu. Nchi hii haina wanyonge, wapumbavu fulani walisikika wakipayuka ovyo
 
Urasimu umeanza upyaaaaa
Nakupa pole tu kwa kuwa sasa hivi Kuna kila aina ya uozo. Nakuambia ukweli kwa serikali ya huyu mama hutapata hiyo haki yako
Mama anawaza kuwabambikia tu watu ugaidi, Ila kuongoza kashindwa
 
Dogo utumishi wa umma hautaki kiburi cha namna yako, naamini umeshaajiriwa na utapangiwa kituo kipya baada ya mkanganyiko uliotokea kumalizwa. Kwa aina yako ya kubwabwaja ovyo hakuna mwajiri yeyote atakeyependa kukuajiri, sio Serikalini tu hata huko private.
Mbona mnamtisha?.
Kisa mmekaa Ofisini?

nafikiri concern yake ni genuine ni suala tu iwafikie wahusika wamsaidie
 
Usikate tamaa, Nafasi ni yako au wakupeleke sehemu nyingine. Ila mchengerwa na yeye kazingua Ina maana yeye kama waziri kashindwa ku solve Hilo tatizo inaonyesha kukosa seriousness Hadi walio chini yake hawamweshimu.
Lakini amemsaidia vya kutosha...ilichotakiwa kwa jamaa ni kuvuta subita ili apangiwe kituo kingine cha kazi
 
Hapo unamtisha, haki hupiganiwa, huiokoti kama embe chini ya mti. Ni mwajiri mpumbavu tu atakaebeza dhuluma hii.
Hana haki kwa kusema haki mkuu. Kwani ana mkataba tayari wa kuajiriwa kwamba alishaajiriwa??

Hata muajiri akisema sasa haajiri tena ameahirisha hakuna kitu anaweza akafanya hapo. Saa nyingine ni kuwa mpole na kuacha process ifanyike.

Kama nilivyosema hapo juu ninahisi kuna makosa yamefanyika seems ndomaana hii ishu inakua ngumu kushughulikiwa kwasababu kuyarekebisha kwake ni mpaka nafasi ipatikane na achomekwe yeye. Analoweza kufanya ni kukomaa nao kuendelea kuwakumbusha tu mara kwa mara. ILa sio kwa makelele namna hii mpaka hapa bado yuko kwenye hatua ya MAOMBI YA KAZI. Si muajiriwa na Maombi yanaweza kukubaliwa/kukubaliwa

Ameshafika hatua nzuri na nina uhakika ishu yake inashughulikiwa

Na kitu kingine sikuona haja ya kumuhusisha hadi mtu aliyeajiriwa nafasi yake kwa kumuweka jina hapa na taarifa zake. Uozo /Makosa yamefanyika utumishi imawezekana na mwenzake ni muhanga anamlaumu bure
 
Dogo utumishi wa umma hautaki kiburi cha namna yako, naamini umeshaajiriwa na utapangiwa kituo kipya baada ya mkanganyiko uliotokea kumalizwa. Kwa aina yako ya kubwabwaja ovyo hakuna mwajiri yeyote atakeyependa kukuajiri, sio Serikalini tu hata huko private.
Dogo ilitakiwa aonyeshe uvumilivu...alafu nyaraka za serikali haziwekwi uchi Kama anavyofanya. Anaweza kunikata Ana kesi...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom