- Thread starter
- #81
Nicheki private nikuunganishe na muhusikakama bado hujarudi na upo dodoma na una vielelezo vyote muhimu nicheki pm nikuunganishe na katibu mkuu kiongozi ni bro wangu atakusaidia, ila kama ni story tu plz ziishie hpa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nicheki private nikuunganishe na muhusikakama bado hujarudi na upo dodoma na una vielelezo vyote muhimu nicheki pm nikuunganishe na katibu mkuu kiongozi ni bro wangu atakusaidia, ila kama ni story tu plz ziishie hpa
Nitamoa ushauriDogo utumishi wa umma hautaki kiburi cha namna yako, naamini umeshaajiriwa na utapangiwa kituo kipya baada ya mkanganyiko uliotokea kumalizwa. Kwa aina yako ya kubwabwaja ovyo hakuna mwajiri yeyote atakeyependa kukuajiri, sio Serikalini tu hata huko private.
Pia ajue mpaka hapo amesha tangaza vita na hata akiipata nafasi anaweza undiwa zengwe akaishia jela!!Kwa jinsi nnavyoelewa urasimu was serikalini ulivyo hapo kesi ni ngumu kidogo
Na option iliyopo ni hiyo tu5ya kusubiri nafasi za dharura ili wakuweke hapo. Manaake sioni Kwa namna yoyote ile jamaa aliyepo kazini kutolewa upewe we we
Sijui ni nini haswa kilitokea mpaka wakajichanganya ila solution ndio hiyo moja tu
USHAURI: Komaa nao hivyo hivyo wasikusahau.Ukilegea tu itatokea nafasi nyingine watakuruka
Yupi mkuuMcheki huyu mtu cjui Kama umeona koment yake Nina imani nae atakusaidia Ugumu wangu
Hapo unamtisha, haki hupiganiwa, huiokoti kama embe chini ya mti. Ni mwajiri mpumbavu tu atakaebeza dhuluma hii.Dogo utumishi wa umma hautaki kiburi cha namna yako, naamini umeshaajiriwa na utapangiwa kituo kipya baada ya mkanganyiko uliotokea kumalizwa. Kwa aina yako ya kubwabwaja ovyo hakuna mwajiri yeyote atakeyependa kukuajiri, sio Serikalini tu hata huko private.
Anachotaka ni kupata nafasi jela anaweza kwenda yyeyotePia ajue mpaka hapo amesha tangaza vita na hata akiipata nafasi anaweza undiwa zengwe akaishia jela!!
Inshort akipata hiyo nafasi awe makini sana!
Ficha ujinga wako. Unamkumbuka wewe na nani?Ndipo hapo huwa tunamkumbuka Magu
Naona barua mbiliAlicho andika hapo ndicho alichojibiwa
Kwa mjibu wa taarifa ya mhusika aliopewa maelezo tuuNaona barua mbili
Moja mtu anapangiwa kazi nyingine
Njombe wanawaandikia Utumishi
aliyoandika Mhusika Utumishi akijibu suala la kupangiwa kituo chake iko wapi
Mbona mnamtisha?.Dogo utumishi wa umma hautaki kiburi cha namna yako, naamini umeshaajiriwa na utapangiwa kituo kipya baada ya mkanganyiko uliotokea kumalizwa. Kwa aina yako ya kubwabwaja ovyo hakuna mwajiri yeyote atakeyependa kukuajiri, sio Serikalini tu hata huko private.
Mshauri ajibu barua ya kupangiwa kituoKwa mjibu wa taarifa ya mhusika aliopewa maelezo tuu
Lakini amemsaidia vya kutosha...ilichotakiwa kwa jamaa ni kuvuta subita ili apangiwe kituo kingine cha kaziUsikate tamaa, Nafasi ni yako au wakupeleke sehemu nyingine. Ila mchengerwa na yeye kazingua Ina maana yeye kama waziri kashindwa ku solve Hilo tatizo inaonyesha kukosa seriousness Hadi walio chini yake hawamweshimu.
Hana haki kwa kusema haki mkuu. Kwani ana mkataba tayari wa kuajiriwa kwamba alishaajiriwa??Hapo unamtisha, haki hupiganiwa, huiokoti kama embe chini ya mti. Ni mwajiri mpumbavu tu atakaebeza dhuluma hii.
Nafikiri anahofia muda maana anasema hajapewa document yeyote ya yeye kusubiriLakini amemsaidia vya kutosha...ilichotakiwa kwa jamaa ni kuvuta subita ili apangiwe kituo kingine cha kazi
Dogo ilitakiwa aonyeshe uvumilivu...alafu nyaraka za serikali haziwekwi uchi Kama anavyofanya. Anaweza kunikata Ana kesi...Dogo utumishi wa umma hautaki kiburi cha namna yako, naamini umeshaajiriwa na utapangiwa kituo kipya baada ya mkanganyiko uliotokea kumalizwa. Kwa aina yako ya kubwabwaja ovyo hakuna mwajiri yeyote atakeyependa kukuajiri, sio Serikalini tu hata huko private.