johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 841
- 909
Ili kujificha vizuri katika kichaka cha hivyo viapo ni vyema ukaweka hivyo vipengele hapa ili tujiridhishe vinginevyo kinachofanyika kina utata.
Kwa kuwa sijaona hivyo viapo, nalazimika kutumia matukio ya nyuma ambpo watumishi wa kada mbalimbali waliruhusiwa kushiriki mchaksto wa kuchaguliwa chini ya utaratibu Fulani.
Wakuu wamikoa, wilaya, makatibu wakuu na watumishi wengine walitoka na kwenda kugombea. Utaratibu huu ulibadilishwa lini?
Nje ya mada hivi Dodoma INA DC mpya?