Uchaguzi 2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

Kwa wale wasiojua ni kwamba viapo vya utumishi wa umma vina kanuni na taratibu zake tena vina miiko yake.

Je, wateule wa Rais wakiwemo wakuu wa mikoa na wale wa wilaya walizingatia kanuni na miiko ya viapo vyao wakati wanaenda kuchukua fomu?

Je walijiuzulu uongozi na kuacha kazi?

Je, walifikiria hasara na usumbufu watakaouleta serikalini kwa kuondoka ghafla ofisini?

Je, Rais na amiri jeshi mkuu amewatuma kwenda kutumikia muhimili mwingine?.......Hili Rais Magufuli ameshalijibu kwamba hajamtuma mteule yoyote kugombea ubunge.

Basi, kiufupi kamati kuu ya CCM haitakuwa na kazi ngumu wakati wa kushughulika na majina ya hawa jamaa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Unamlenga makonda hunalolote
 
Anaposema hajamtuma sio kweli ni lugha ya kisiasa yeye pia ana watu wake anataka wawe kwenye cabinet hivyo lazima wagombee jiulize kwa nini wale 10 wa kuteuliwa kwa nini kila mmoja kachukua fomu
 
Back
Top Bottom