Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri kuona ile kauli "... msinichezee... hata wakubwa wenu wananijua!!" Kama ilikuwa ikimaanisha ujumbe uleHiyo ni kauli ya Rais mwenyewe pamoja na Polepole
Untold StoryUntrue
Unamlenga makonda hunaloloteKwa wale wasiojua ni kwamba viapo vya utumishi wa umma vina kanuni na taratibu zake tena vina miiko yake.
Je, wateule wa Rais wakiwemo wakuu wa mikoa na wale wa wilaya walizingatia kanuni na miiko ya viapo vyao wakati wanaenda kuchukua fomu?
Je walijiuzulu uongozi na kuacha kazi?
Je, walifikiria hasara na usumbufu watakaouleta serikalini kwa kuondoka ghafla ofisini?
Je, Rais na amiri jeshi mkuu amewatuma kwenda kutumikia muhimili mwingine?.......Hili Rais Magufuli ameshalijibu kwamba hajamtuma mteule yoyote kugombea ubunge.
Basi, kiufupi kamati kuu ya CCM haitakuwa na kazi ngumu wakati wa kushughulika na majina ya hawa jamaa.
Maendeleo hayana vyama!
Nguvu ya mamba kwenye maji bwashee!Mkuu johnthebaptist unazidi kuwachoea utambi hawa jamaa jiangalie aisee
Kwanini isiwe Patrobas Katambi!Unamlenga makonda hunalolote
Ngoja tuone!Usiamini hata chembe akisemacho JPM. Makonda, Mnyeti, Gambo, Tulia, mtoto wa Lowasai, n.k wametumwa.
Wakikatwa hawa wote ndipo umuamini.