johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 841
- 909
Kwa wale wasiojua ni kwamba viapo vya utumishi wa umma vina kanuni na taratibu zake tena vina miiko yake.
Je, wateule wa Rais wakiwemo wakuu wa mikoa na wale wa wilaya walizingatia kanuni na miiko ya viapo vyao wakati wanaenda kuchukua fomu?
Je walijiuzulu uongozi na kuacha kazi?
Je, walifikiria hasara na usumbufu watakaouleta serikalini kwa kuondoka ghafla ofisini?
Je, Rais na amiri jeshi mkuu amewatuma kwenda kutumikia muhimili mwingine?.......Hili Rais Magufuli ameshalijibu kwamba hajamtuma mteule yoyote kugombea ubunge.
Basi, kiufupi kamati kuu ya CCM haitakuwa na kazi ngumu wakati wa kushughulika na majina ya hawa jamaa.
Maendeleo hayana vyama!
Vyeti vinamtambuaje?!Hivi kimsingi, ni Makonda ama ni Bashite.
Acha wivu dogo
Wapi nilipomkana?!Leo hii tayari usha mkana Makonda? [emoji23][emoji23] ama kweli ccm kwao kipau mbele chao ni mkono kwenda kinywani
Usiamini hata chembe akisemacho JPM. Makonda, Mnyeti, Gambo, Tulia, mtoto wa Lowasai, n.k wametumwa.
Wakikatwa hawa wote ndipo umuamini.
Mlimani city palipendeza sana!Lumumba mwenzako huyo
Wapi nilipomkana?!
Mlimani city palipendeza sana!
Wote kabla ya kwenda kugombea wameomba kibali hivyo huwezi kuwahukumu wakati wameruhusiwa na mkuu wao!Kwa wale wasiojua ni kwamba viapo vya utumishi wa umma vina kanuni na taratibu zake tena vina miiko yake.
Je, wateule wa Rais wakiwemo wakuu wa mikoa na wale wa wilaya walizingatia kanuni na miiko ya viapo vyao wakati wanaenda kuchukua fomu?
Je walijiuzulu uongozi na kuacha kazi?
Je, walifikiria hasara na usumbufu watakaouleta serikalini kwa kuondoka ghafla ofisini?
Je, Rais na amiri jeshi mkuu amewatuma kwenda kutumikia muhimili mwingine?.......Hili Rais Magufuli ameshalijibu kwamba hajamtuma mteule yoyote kugombea ubunge.
Basi, kiufupi kamati kuu ya CCM haitakuwa na kazi ngumu wakati wa kushughulika na majina ya hawa jamaa.
Maendeleo hayana vyama!
Hata ungekuwa wewe ni mkazi wa kigamboni Makonda vs Yericko Nyerere ungemchagua nani?Hivi Makonda atamchagua nani? Kwa lipi? Kwa umaarufu upi aliyo nao?
Wangrruhusiwa wasingetumbuliwa!Wote kabla ya kwenda kugombea wameomba kibali hivyo huwezi kuwahukumu wakati wameruhusiwa na mkuu wao!
Nimeandikiwa Ufipa?!Kwani huo uzi umeandikiwa au?
Hata ungekuwa wewe ni mkazi wa kigamboni Makonda vs Yericko Nyerere ungemchagua nani?
Nimeandikiwa Ufipa?!
Mlimani city palipendeza sana!
Nadhani maprof na PHD holder wewe wakigombea tu utawachagua ukiamini wanaakili Sana.Ningemchagua aliye faulu vizuri shuleni na mwenye vyeti
Nadhani maprof na PHD holder wewe wakigombea tu utawachagua ukiamini wanaakili Sana.
Kwani wapi pameandikwa kuwa uteuzi ni ndoa ya kikristo haivunjiki? Sheria gani inamuondolea mtu haki ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa mara baada ya kuteuliwa? Ajabu hasa ni nini na ni nani aliwahi kudumu milele kwenye ukuu wa mkoa au wilaya kwa sababu hakugombea? Acheni ushamba.Kwa wale wasiojua ni kwamba viapo vya utumishi wa umma vina kanuni na taratibu zake tena vina miiko yake.