mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Yote yanawezekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure. Nafasi za uteuzi zimekuwa za mashaka sana safari hii. Acha wasepeSababu kuu ni "TEUA" "TENGUA"
Mimi nadhani ni vyema kuyaheshimu maamuzi yao hata mh. Rais naye tuliyaheshimu maamuzi yake alipoamua kugombea ubunge akaachana na ualimuPamoja na kuwa ni haki yao kikatiba lakini Busara na Hekima vingetumika katika kuamua. Ni uamuzi wa kukosa Shukrani kwa Mungu na aliyewateua.
Wananchi mliokuwa mnawatumikia kwenye nafasi zenu za Teuzi ndio hao hao mnataka muwatumikie mkiwa Wabunge hakuna jipya hapo ni Uchu na Tamaa ya Madaraka na posho,marupurupu na Mafao ya Ubunge.
Tutakutana Oktoba kwenye Sanduku la Kura.
Asinge kuwa na "Uchu na Tamaa ya Madaraka" asingefika hapo alipofika na kufanya ayafanyayo. Sijui wewe unatumia busara gani kuwananga watu wanaotimiza wajibu wao kikatiba.Pamoja na kuwa ni haki yao kikatiba lakini Busara na Hekima vingetumika katika kuamua. Ni uamuzi wa kukosa Shukrani kwa Mungu na aliyewateua.
Wananchi mliokuwa mnawatumikia kwenye nafasi zenu za Teuzi ndio hao hao mnataka muwatumikie mkiwa Wabunge hakuna jipya hapo ni Uchu na Tamaa ya Madaraka na posho,marupurupu na Mafao ya Ubunge.
Tutakutana Oktoba kwenye Sanduku la Kura.
Kuna watu hupenda kuimba nyimbo za huyu baba bila kuchanganya na za kwao. Wamepima wameona ni muda muafaka watoke-sasa hapo kuna shida gani. Pia nafasi walizo acha zitachukuliwa na watanania wengine.Mbona yeye alikimbia ualimu akaenda kwenye siasa?.