Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi

Unaona kabisa ni nape nauye alaf unategemea aaandike nini watanzania kuongozwa na madude kama nape nauye tutakua na Safar ndefu sanaa
Form four zero... Angalia wanavyo jichanganye wenyewe
Hii ni ile Mungu alio wapiga Wana wa Israel kila mmoja akaongea lugha yake ili wasielewane.
 
Watu hao watatu waliohusika walikamatwa na Polisi kwa kutoa vitisho mahususi hadharani vya uhalifu mkubwa, ambavyo ni pamoja na kutaka kupinduliwa kwa nguvu kwa Serikali ya wakati huo.
Your browser is not able to display this video.
 
Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai.

Nape ameandika kupitia Twitter
Hii imeenda🤣
 
Hili jinga sana kichwani matope tupu
 
Nape hana kiingereza cha hivi. Hapo Kaandikiwa na yeye kuweka sahihi.
 
Kusema jambo moja na kutekeleza ni jambo jingine ,je kuna nia ovu ya kutekeleza hayo mapinduzi aliypanga Mwabukusi,mdude na Dr Slaa? Wekeni huo mkakati wao ili tuone kama kulikuwa na nia ovu maana wanasiasa wanaongea mambo mengi hasa ya kuondoa utawala uliopo kwenye majukwaa/interviews.
 
Hii sio kazi ya Msigwa??
EEEeeeeh!

Imebidi nicheke sana.

Sasa ikiwa hivyo, waziri atapata sifa wapi?

"Hili ni jambo zito, lenye uzito unaomstahiri waziri" .... Hayo siyo mawazo wala maneno yangu, mkuu 'Yoda'.
 
Ni busara adui asipewe nafasi ya kukandamiza!! Hapa ni kama amepewa nafasi!! Tudai haki kwa kutumia haki!! hapo Mungu atakuwa upande wetu na si vinginevyo!!
Ndivyo nimekuwa nikisema tuzipange hoja zetu vizuri bila ya kuwapa "chance" ili waitumie dhidi yetu
 
Tamko limeandikwa kingreza sijui ni kwa ajili ya wananchi wa Tanzania au nani🤷

Kama namuona waziri alivyokuwa akisaini naona alikuwa kavimba anajiona Joe Biden😁

Hii nchi maajabu hayaishi eee Mola tusaidie🙏🏻
 
March 2023 serikali iliporodhia mambo 252 yanayogusa haki, uhuru, demokrasia ilipowakilishwa na waziri George Simbachawene mjini Geneva makao makuu ya UN yanayoratibu masuala ya Haki za binadamu, inakuwaje mwezi Julai 2023 inakwenda kinyume na ahadi kwa jumuiya ya kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…