BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Mkuu anashauriwa ndivyo sivyo ni sawa na wale wapiha Penart wa Yanga waliambia pigeni tu Kulia, ushauri wa hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaitwa nani huyo mstaafu?Wakuu nina mtu wangu mmoja hivi ni mmoja wa mabosi wa kitengo sema alishastaafu ingawa kuna Update huwa anapata za hapa na pale, sasa kutokana na sakata ka Uhaini na Bandari ikabidi jana nimuibukie kwake make kuna kazi zake namsaidiaga sasa nikatumia huo muanya kujua ana maoni gani.
Huyu Bosi anashangaa kwanza ilikuwaje Mkuu wa jeshi la Police akatoa habari kubwa kama ile, ile habari hata nchi zenye Usalama mdogo still still huwa haitolewe bali wanaweza hata zima mitandao ya simu na kila aina ya njia ila sio kutoa habari za Uhaini hadharani kadai ile tu Sakata la Urusi juzi kati ni vyombo vya habari vilishadadia ni Uhaini ila Serikali yenyewe iliishia kusema ni wasaliti mara maadui ila sio kutamka neno Uhaini.
Akaniambia ile ni weekness ya karine ni aibu kuu kwa vyombo vya ulinzi na usalama na ingawa hajapewa update ila hajui nani alitoa go ahed ya IGP kutoa tuhuma ngumu kama zile na kasema kama zingekuwa kweli kwa sasa hata mkuu jeshi au wakuu wa usalama walipaswa kuwa walisha futwa kazi kitambo, Ila kwa sababu ni tuhuma za kutengeneza na za hatari sana ndio maana hakuna kinacho endelea ,anasema ile tuhuma huwa ni ya Mwisho kutolewa na huendana na hatua ya kufunga mipaka kabisa na viwanja vya ndege na mkuu wa nchi huenda kufichwa na kusiko julikana.
Lile tangazo lilipaswa kuendana na kutangaza hali ya hatari nchi nzima kama kweli ilikuwa ni tuhuma real.
Huwezi tangaza tuhuma ngumu kama zile na mkuu wa nchi anaonekana hadharani akiendelea na majukumu yake kasema haihitaji elimu ya Sciance kujua kwamba ni tuhuma za kutungwa na za hatari sana.
Kuhusu kama wakina Dkt. Slaa wanaweza fanya Mapinduzi, kasema still hii ni aibu kubwa sana, Uhaini hufanywa na watu wa ngazi ya juu serikalini au Jeshini ila sio watu choka mbaya kama wakina Dr Slaaa kadai tuhuma ni za kisiasa ila ni za hatari na mbaya sana na ni sawa na kuomba Uhaini utokee.
Nchi kama Burundi zenye Uslama mdogo bado huwa hawatamki hadharani neno Uhaini labda wandishi wa habari warushe wenyewe ila sio mamlaka, kadai Tanzania inaomba Uhaini na huenda ikaja kuupata kweli siku zaijazo.
Kahitimisha kwa kusema Raisi ni very weak ukilinganisha na Maraisi wote walio tangulia, Kikwwte hakuwa weak ila alikuwa tu na kujuana sana kwenye masuala kama ya kudili na Ufisadi ila huyu ni too weak ndio maana anapelekeshwa na washauri wake.
Kuhusu Bandari.
Suala la bandari kadai wengi wanaosapoti ukitoa wale wa juu ni wanafuata mkumbo na hili swala la Bandari ni dili la wakubwa kuna biashara za wakubwa kwenye ile dili sasa hawa Kajamba nani wana sapoti bila kujua nyuma ya pazia kuna nini, kadai bandari ni suala nyeti sana ni sawa na kuuza Mlima Kilimanjaro,ile ni alama ya nchi ni utambulisho wa nchi, Kadai kukodisha hata kwa miaka michache ni sawa na kuuza tu, kamalizia kwa kusema Watanzania wengi ni fuata bendera wanadandia vitu ambavyo hawavijui kabisa undani wake wanadandia tu, Hili Swala la Bandari impact yake itakuja jutafuna vuzazi vijavyo ambayo sisi tunajukumu la kuvipigania na sio kusapoti kwa kufuata mkumbo.
Kadai DP world inajulikana kwa kutembeza Bahasha huko Duniani tena za nguvu sana. Sasa lazima Tanzania kuna watu wametembezewa bahashha ila ni niwachache sana ni watunga Sera labda na viongozi wa juu kabisa. Hawa wengine ni wapiga zumari tu wakichoka wanaenda kula Chips mayai na Peps ila wanao faidi wamekaaa kimya hawangaiki kabisa.
@johnthebaptist Mzee Mgaya na Mchungaji Matsai wanasemaje kwani??Wakuu nina mtu wangu mmoja hivi ni mmoja wa mabosi wa kitengo sema alishastaafu ingawa kuna Update huwa anapata za hapa na pale, sasa kutokana na sakata ka Uhaini na Bandari ikabidi jana nimuibukie kwake make kuna kazi zake namsaidiaga sasa nikatumia huo muanya kujua ana maoni gani.
Huyu Bosi anashangaa kwanza ilikuwaje Mkuu wa jeshi la Police akatoa habari kubwa kama ile, ile habari hata nchi zenye Usalama mdogo still still huwa haitolewe bali wanaweza hata zima mitandao ya simu na kila aina ya njia ila sio kutoa habari za Uhaini hadharani kadai ile tu Sakata la Urusi juzi kati ni vyombo vya habari vilishadadia ni Uhaini ila Serikali yenyewe iliishia kusema ni wasaliti mara maadui ila sio kutamka neno Uhaini.
Akaniambia ile ni weekness ya karine ni aibu kuu kwa vyombo vya ulinzi na usalama na ingawa hajapewa update ila hajui nani alitoa go ahed ya IGP kutoa tuhuma ngumu kama zile na kasema kama zingekuwa kweli kwa sasa hata mkuu jeshi au wakuu wa usalama walipaswa kuwa walisha futwa kazi kitambo, Ila kwa sababu ni tuhuma za kutengeneza na za hatari sana ndio maana hakuna kinacho endelea ,anasema ile tuhuma huwa ni ya Mwisho kutolewa na huendana na hatua ya kufunga mipaka kabisa na viwanja vya ndege na mkuu wa nchi huenda kufichwa na kusiko julikana.
Lile tangazo lilipaswa kuendana na kutangaza hali ya hatari nchi nzima kama kweli ilikuwa ni tuhuma real.
Huwezi tangaza tuhuma ngumu kama zile na mkuu wa nchi anaonekana hadharani akiendelea na majukumu yake kasema haihitaji elimu ya Sciance kujua kwamba ni tuhuma za kutungwa na za hatari sana.
Kuhusu kama wakina Dkt. Slaa wanaweza fanya Mapinduzi, kasema still hii ni aibu kubwa sana, Uhaini hufanywa na watu wa ngazi ya juu serikalini au Jeshini ila sio watu choka mbaya kama wakina Dr Slaaa kadai tuhuma ni za kisiasa ila ni za hatari na mbaya sana na ni sawa na kuomba Uhaini utokee.
Nchi kama Burundi zenye Uslama mdogo bado huwa hawatamki hadharani neno Uhaini labda wandishi wa habari warushe wenyewe ila sio mamlaka, kadai Tanzania inaomba Uhaini na huenda ikaja kuupata kweli siku zaijazo.
Kahitimisha kwa kusema Raisi ni very weak ukilinganisha na Maraisi wote walio tangulia, Kikwwte hakuwa weak ila alikuwa tu na kujuana sana kwenye masuala kama ya kudili na Ufisadi ila huyu ni too weak ndio maana anapelekeshwa na washauri wake.
Kuhusu Bandari.
Suala la bandari kadai wengi wanaosapoti ukitoa wale wa juu ni wanafuata mkumbo na hili swala la Bandari ni dili la wakubwa kuna biashara za wakubwa kwenye ile dili sasa hawa Kajamba nani wana sapoti bila kujua nyuma ya pazia kuna nini, kadai bandari ni suala nyeti sana ni sawa na kuuza Mlima Kilimanjaro,ile ni alama ya nchi ni utambulisho wa nchi, Kadai kukodisha hata kwa miaka michache ni sawa na kuuza tu, kamalizia kwa kusema Watanzania wengi ni fuata bendera wanadandia vitu ambavyo hawavijui kabisa undani wake wanadandia tu, Hili Swala la Bandari impact yake itakuja jutafuna vuzazi vijavyo ambayo sisi tunajukumu la kuvipigania na sio kusapoti kwa kufuata mkumbo.
Kadai DP world inajulikana kwa kutembeza Bahasha huko Duniani tena za nguvu sana. Sasa lazima Tanzania kuna watu wametembezewa bahashha ila ni niwachache sana ni watunga Sera labda na viongozi wa juu kabisa. Hawa wengine ni wapiga zumari tu wakichoka wanaenda kula Chips mayai na Peps ila wanao faidi wamekaaa kimya hawangaiki kabisa.
🤣Haniiiii.....🎶
Hanniiiii.......🎻
Heheeeheee.....😜
Alafu mziki unaisha...😏
Na mie nawasubiri..@johnthebaptist Mzee Mgaya na Mchungaji Matsai wanasemaje kwani??
Sawasawa hii..
Aisee...Ni kweli kabisa. Na Msigwa angaliweza kuiandika kwa kiingereza kizuri kinachoeleweka kwani kasomea huo utalaam wa habari. Haya mambo yanahitaji utulivu, Nape kakurupuka na mihasira.