Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi

Form four zero... Angalia wanavyo jichanganye wenyewe
Hii ni ile Mungu alio wapiga Wana wa Israel kila mmoja akaongea lugha yake ili wasielewane.
Wakati wa ujenzi wa ule mnara Yakobo (Israeli) alikuwa hajazaliwa kabisaa.
 
Nape Nnauye hana uwezo wa kuandika hiki kingereza hata yeye aliposoma baada ya kuandikiwa hakuelewa chochote zaidi ya kuelewa neno lolote
Muache waziri wetu, kwenye issue ya Starlink ndio nilimwona mwamba kweli ni genius, yaani balaa sana huyu 😀
 
Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai.

Nape ameandika kupitia Twitter

--
MAJIBU YA TANZANIA KUHUSU TAARIFA ZA KUKAMATWA NA KUSHIKILIWA KWA WAHALIFU

"Imenifikia taarifa kuwa baadhi ya mashirika ya ndani na nje ya nchi yamekuwa yakitoa taarifa zisizo na ukweli na za upotoshaji mkubwa kuhusu kukamatwa kwa watu watatu hivi karibuni nchini Tanzania wanaodaiwa kuhusika na uhalifu.

Kauli za kina kuhusu kukamatwa kwa watu hao zimechanganya mambo mawili tofauti: mjadala wa kitaifa unaoendelea kwa uwazi kwa sasa nchini Tanzania kuhusu mapendekezo ya uwekezaji wa Bandari kwa upande mmoja, na suala la Sheria kwa upande mwingine.

Upotoshaji wa makusudi wa habari juu ya hali halisi katika kukamatwa kwa washukiwa wa uhalifu hutilia shaka nia ya kweli na uaminifu wa mashirika nyuma ya taarifa hizo.

Moja ya kauli za hivi majuzi zaidi kutoka kwa shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu limeamua kupotosha ukweli kwa nia mbaya kwa kudai kimakosa kwamba washukiwa walikamatwa "kwa kukosoa tu mpango wa bandari kati ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)." Ukweli ni kwamba hakuna mtu yeyote ambaye amekamatwa nchini Tanzania wala hatakamatwa kwa kukosoa tu mkataba wa bandari au mradi, mpango, mpango au sera yoyote ya Serikali kwa jambo hilo.

Watu hao watatu waliohusika walikamatwa na Polisi kwa kutoa vitisho mahususi hadharani vya uhalifu mkubwa, ambavyo ni pamoja na kutaka kupinduliwa kwa nguvu kwa Serikali ya wakati huo.

Watuhumiwa hao ambao baadhi yao walitaka hadharani kuhamasisha wananchi kubeba silaha dhidi ya Jeshi la Polisi Tanzania, walinaswa ili kutuma ujumbe mzito wa kuwazuia wahalifu kufanya makosa ya jinai.

Kukamatwa huko hakuzuii uhuru wa kujieleza kwa vyovyote vile nchini Tanzania, bali ni sehemu ya utekelezaji wa sheria ili kuzuia machafuko ya kijamii yanayoweza kutokea kutokana na wito wa uasi dhidi ya serikali iliyochaguliwa kidemokrasia.

Tangu aingie madarakani Machi 2021, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanua nafasi ya kidemokrasia na ya kiraia nchini Tanzania kwa kutengua zuio la mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, kuondoa kufungiwa kwa magazeti kadhaa na TV za mtandaoni na kupanua uhuru wa kujieleza.

Kwa maana hiyo, watu binafsi, makundi, asasi za kiraia, wanachuo, vyombo vya habari, viongozi wa dini, vyama vya siasa na taasisi wanaendelea kujadili kwa uhuru masuala ya kitaifa na kukosoa msimamo wa Serikali bila vitisho wala kukamatwa.

Hivi sasa vyama vya upinzani vinafanya mikutano ya hadhara kwa uhuru nchini kote kukosoa mkataba wa bandari na sera nyingine za Serikali jambo ambalo hawakuweza kulifanya miaka michache iliyopita kabla ya utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kusimamia uhuru wa kujieleza, kukusanyika kwa amani na kuruhusu mjadala mkali wa umma - nje ya mtandao na mtandaoni - kuhusu miradi ya maendeleo ya taifa na masuala mengine yoyote yenye maslahi kwa umma.

Hata hivyo, haki na uhuru pia huja na wajibu kwa wengine na zinatutaka sote kutii sheria na kujiepusha na maneno hatari ya uhalifu na ya kizembe.

Serikali hii bado ina dhamira kamili ya demokrasia na utawala wa sheria, lakini haitafanya maafikiano yoyote dhidi ya uvunjaji wa sheria na utaratibu ambao unaweza kuhatarisha amani, umoja wa kitaifa, usalama na usalama wa Tanzania ambao sote tunauenzi."

=================

TANZANIAN GOVERNMENT RESPONSE TO INACCURACIES IN REPORTS ON ARRESTS OF CRIMINAL SUSPECTS IN TANZANIA

It has come to my attention that some organisations - local and international - have been issuing statements with factual inaccuracies and gross misrepresentation of facts about the recent arrests of three individuals in Tanzania alleged to be involved in criminal conduct.

The sweeping statements on the arrests have mixed up two separate things: the national debate that is currently openly taking place in Tanzania on proposed port investments on the one hand, and a rule of law issue, on the other. The deliberate falsification of information about the actual circumstances in the arrests of the criminal suspects calls into question the real motive and credibility of the organisations behind the statements

One of the more recent statements from an international rights group has resorted to a malicious distortion of facts by erroneously claiming that the suspects were arrested "simply for criticizing a port deal between Tanzania and the United Arab Emirates (UAE)." The truth is that no one whatsoever has been arrested in Tanzania nor will be arrested for simply criticizing the port deal or any other Government project, plan, programme or policy for that matter.

The three individuals in question were arrested by the Police for making specific public threats of a serious criminal nature, which include calling for the violent overthrow of the Government of the day.

The suspects, some of whom publicly sought to incite citizens to bear arms against the Tanzania Police Force, were apprehended to send a strong message to deter any offenders from committing criminal offences.

The arrests do not in any way restrict freedom of expression in Tanzania, but are part of the enforcement of the law to prevent possible social unrest that may result from calls for a rebellion against a democratically-elected government.

Since coming into office in March 2021, President Samia Suluhu Hassan's Government has expanded the democratic and civic space in Tanzania by reversing a ban on public rallies for political parties, lifting the suspension of several newspapers and online TVs and broadening freedom of expression.

To this effect, individuals, groups, civil society, members of the academia, the media, clerics, political parties and institutions continue to freely discuss national issues and criticize the Government's position without any official intimidation nor arrests.

Opposition parties are currently freely holding public rallies across the country to criticise the port deal and other Government policies - something they were not able to do just a few years ago before President Samia Suluhu Hassan's administration came to power.

The Government of the United Republic of Tanzania will continue to uphold freedom of expression, peaceful assembly and allow a vibrant public debate - both offline and online - about national development projects and any other issues of public interest.

However, rights and freedoms also come with responsibilities to others and require all of us to abide by the law and refrain from criminally dangerous and reckless rhetoric.

This Government remains fully committed to democracy and the rule of law, but will not make any compromises against breaches of law and order that may jeopardise the peace, national unity, security and safety of Tanzania that we all cherish.

Nape Nnauye
Minister For ICT
Tanzania
Agosti 16, 2023

View attachment 2718983View attachment 2718984
Huyu nape ni kati ya watu hatari kwa maslahi mapana ya nchi yetu
 
Form four zero... Angalia wanavyo jichanganye wenyewe
Hii ni ile Mungu alio wapiga Wana wa Israel kila mmoja akaongea lugha yake ili wasielewane.
Watoto wa Haramu huwa wanakomaa sana ili watambulike
 
Uoga umewaingia kwa hivyo wameamua kuwatisha wale wenye kupinga mkataba wa ovyo wa uwekezaji wa dubai kwenye bandari zetu.
 
duh, mbona hicho kingereza aibu naona mie, ni document kweli imetoka wizarani? au ni mjinga mmoja kajifungia kaandika kumpelekea mshikaji akasaini? naona kaamua kupanga kiswahili kwa kingereza, na kamtumia mwanasheria kanjanja kumdanganya kuwa hiyo ni legalese,

Mungu wangu, kuna shida Tanzania, poor english, poor language, dah
 
Tabia ya kutafsiri kiingereza kwa kutumia maroboti (ChatGPT)

Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

UJINGA; Ministry of Information, Communication and Information Technology

SAHIHI; Ministry of Communication and Information Technology

Kuna bwege atakaza ubongo.
20230817_060927.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nina mtu wangu mmoja hivi ni mmoja wa mabosi wa kitengo sema alishastaafu ingawa kuna Update huwa anapata za hapa na pale, sasa kutokana na sakata ka Uhaini na Bandari ikabidi jana nimuibukie kwake make kuna kazi zake namsaidiaga sasa nikatumia huo muanya kujua ana maoni gani.

Huyu Bosi anashangaa kwanza ilikuwaje Mkuu wa jeshi la Police akatoa habari kubwa kama ile, ile habari hata nchi zenye Usalama mdogo still still huwa haitolewe bali wanaweza hata zima mitandao ya simu na kila aina ya njia ila sio kutoa habari za Uhaini hadharani kadai ile tu Sakata la Urusi juzi kati ni vyombo vya habari vilishadadia ni Uhaini ila Serikali yenyewe iliishia kusema ni wasaliti mara maadui ila sio kutamka neno Uhaini.

Akaniambia ile ni weekness ya karine ni aibu kuu kwa vyombo vya ulinzi na usalama na ingawa hajapewa update ila hajui nani alitoa go ahed ya IGP kutoa tuhuma ngumu kama zile na kasema kama zingekuwa kweli kwa sasa hata mkuu jeshi au wakuu wa usalama walipaswa kuwa walisha futwa kazi kitambo, Ila kwa sababu ni tuhuma za kutengeneza na za hatari sana ndio maana hakuna kinacho endelea ,anasema ile tuhuma huwa ni ya Mwisho kutolewa na huendana na hatua ya kufunga mipaka kabisa na viwanja vya ndege na mkuu wa nchi huenda kufichwa na kusiko julikana.

Lile tangazo lilipaswa kuendana na kutangaza hali ya hatari nchi nzima kama kweli ilikuwa ni tuhuma real.

Huwezi tangaza tuhuma ngumu kama zile na mkuu wa nchi anaonekana hadharani akiendelea na majukumu yake kasema haihitaji elimu ya Sciance kujua kwamba ni tuhuma za kutungwa na za hatari sana.

Kuhusu kama wakina Dkt. Slaa wanaweza fanya Mapinduzi, kasema still hii ni aibu kubwa sana, Uhaini hufanywa na watu wa ngazi ya juu serikalini au Jeshini ila sio watu choka mbaya kama wakina Dr Slaaa kadai tuhuma ni za kisiasa ila ni za hatari na mbaya sana na ni sawa na kuomba Uhaini utokee.

Nchi kama Burundi zenye Uslama mdogo bado huwa hawatamki hadharani neno Uhaini labda wandishi wa habari warushe wenyewe ila sio mamlaka, kadai Tanzania inaomba Uhaini na huenda ikaja kuupata kweli siku zaijazo.

Kahitimisha kwa kusema Raisi ni very weak ukilinganisha na Maraisi wote walio tangulia, Kikwwte hakuwa weak ila alikuwa tu na kujuana sana kwenye masuala kama ya kudili na Ufisadi ila huyu ni too weak ndio maana anapelekeshwa na washauri wake.

Kuhusu Bandari.

Suala la bandari kadai wengi wanaosapoti ukitoa wale wa juu ni wanafuata mkumbo na hili swala la Bandari ni dili la wakubwa kuna biashara za wakubwa kwenye ile dili sasa hawa Kajamba nani wana sapoti bila kujua nyuma ya pazia kuna nini, kadai bandari ni suala nyeti sana ni sawa na kuuza Mlima Kilimanjaro,ile ni alama ya nchi ni utambulisho wa nchi, Kadai kukodisha hata kwa miaka michache ni sawa na kuuza tu, kamalizia kwa kusema Watanzania wengi ni fuata bendera wanadandia vitu ambavyo hawavijui kabisa undani wake wanadandia tu, Hili Swala la Bandari impact yake itakuja jutafuna vuzazi vijavyo ambayo sisi tunajukumu la kuvipigania na sio kusapoti kwa kufuata mkumbo.

Kadai DP world inajulikana kwa kutembeza Bahasha huko Duniani tena za nguvu sana. Sasa lazima Tanzania kuna watu wametembezewa bahashha ila ni niwachache sana ni watunga Sera labda na viongozi wa juu kabisa. Hawa wengine ni wapiga zumari tu wakichoka wanaenda kula Chips mayai na Peps ila wanao faidi wamekaaa kimya hawangaiki kabisa.
 
Back
Top Bottom