Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi

Muda utafika tu tuzidi kumwomba Mungu atuletee watu wasio na uoga tutakombolewa kwenye fikra dharimu za wakoloni weusi.
 
1692197975053.png

1692198001220.png
 
Huyu naye anaongea nini?. Sauti yake ilipovuja anamtukana Magufuli, Magufuli alisema laiti angeamua kuwashitaki katika chama kiwachukulie hatua wanageishaia pabaya. Leo anapata wapi audacity ya kumbambikizia Dr Slaa kesi nzito na mbaya namna hii?.

Anasema hakuna mtu atakamatwa kwa kupinga mkataba wa Bandari wakati mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ametangazia umma kuwa ukipinga mkataba wa bandari unawekwa ndani na akasema kuna watu wameshawekwa ndani. Sasa anataka kumuongopea nani?
 
Kwani yeye kwenye ile sauti alibabikizwa pia? Hakuwa yeye?
 
Kwanini hawakukamatwa wakati matamshi hayo yanatolewa kama ili kabla ya suala la bandari?

Huyo mwanshi wa StarTv mlimtuma na ndiye amewagawia kipande hicho cha clip sasa hivi kutimiza malengo yenu?

Kwanini huyu waziri wakati yeye na wenzie ndani ya ccm walipotaka kumfanyia JPM (aliyekuwa rais wa wa awamu ya tano) vitendo vinashabihiana na uhaini hawakufunguliwa mashitaka ya makosa ya uhaini?
UUshahidi huu hapa: https://www.jamiiforums.com/data/video/2570/2570379-e531e3b2cf61c1250b26e6ee175acff7.mp4

Hili suala wamelivizia kimakosa (technically and wrongly calculated)
 
Mkuu Nape alimuiita JPM mshamba tu hakusema anataka kumpindua na aliendaa huku akitoka jasho kwenda kuuomba msamaha
 
Kuita mshamba rais wako tena kwa njia ya simu halafu bado mnasema bado kuna mengine yatafanyika halafu wanafanya mikakati hiyo usiku na kwenda kwenye media kuchapicsha sio UHAINI?
 
Mkuu Nape alimuiita JPM mshamba tu hakusema anataka kumpindua na aliendaa huku akitoka jasho kwenda kuuomba msamaha
Kama umekiri kwamba walimwita mshamba, je wananchi wakianza kumtuhumu kwamba alisababisha kifo chake atajinasuaje?

Haya mambo mnajitakia bure chuekua hatua dhidi ya mharifu yeyote lakini ni sharti ujihakikishie kwamba wewe ni msafi kwanza
 
Huyu naye anaongea nini?. Sauti yake ilipovuja anamtukana Magufuli, Magufuli alisema laiti angeamua kuwashitaki katika chama kiwachukulie hatua wanageishaia pabaya. Leo anapata wapi audacity ya kumbambikizia Dr Slaa kesi nzito na mbaya namna hii?.

Anasema hakuna mtu atakamatwa kwa kupinga mkataba wa Bandari wakati mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ametangazia umma kuwa ukipinga mkataba wa bandari unawekwa ndani na akasema kuna watu wameshawekwa ndani. Sasa anataka kumuongopea nani?
Nape ameshiba fesha za makampuni ya vodacom anafikiri kila mtanzania anaisho kama wanavyoishi wao
 
Kama umekiri kwamba walimwita mshamba, je wananchi wakianza kumtuhumu kwamba alisababisha kifo chake atajinasuaje?

Haya mambo mnajitakia bure chuekua hatua dhidi ya mharifu yeyote lakini ni sharti ujihakikishie kwamba wewe ni msafi kwanza
Waende tu mahakamani kwa sababu chanzo cha kifo kinajulikana wakinda wadai fidia
 
Huyu naye anaongea nini?. Sauti yake ilipovuja anamtukana Magufuli, Magufuli alisema laiti angeamua kuwashitaki katika chama kiwachukulie hatua wanageishaia pabaya. Leo anapata wapi audacity ya kumbambikizia Dr Slaa kesi nzito na mbaya namna hii?.

Anasema hakuna mtu atakamatwa kwa kupinga mkataba wa Bandari wakati mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ametangazia umma kuwa ukipinga mkataba wa bandari unawekwa ndani na akasema kuna watu wameshawekwa ndani. Sasa anataka kumuongopea nani?
Kwa vile sasa hivi unatetea ujinga, basi vijana wa upande ule wanakuona shuja.

Ila siku ulipojaribu kupandisha uzi wa wale wahadhiri waliohamishwa kutoka chuo kikuu cha Dodoma ulifedheheshwa na kuishia kutukanwa na hawa hawa wanaojifanya ku Like comments zako kwa sababu wanaona unawasaidia kutetea upande wao 😂😂😂
 
Huyu naye anaongea nini?. Sauti yake ilipovuja anamtukana Magufuli, Magufuli alisema laiti angeamua kuwashitaki katika chama kiwachukulie hatua wanageishaia pabaya. Leo anapata wapi audacity ya kumbambikizia Dr Slaa kesi nzito na mbaya namna hii?.

Anasema hakuna mtu atakamatwa kwa kupinga mkataba wa Bandari wakati mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ametangazia umma kuwa ukipinga mkataba wa bandari unawekwa ndani na akasema kuna watu wameshawekwa ndani. Sasa anataka kumuongopea nani?
we umeandika nini? shenzy
 
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited.

Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes.
ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.

SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1

Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:

My take.
Muda si mrefu tutasikia Tanzania yashindwa kesi na DP world yatakiwa kulipa trillioni 15.

Njia mpya iliyobuniwa na wajibu ndani ya serikali kuchota kodi za walala hoi, unasaini mkataba wa kijinga ambao ni kichaa tu anayeweza kuuvumilia alafu ukiulizwa unasema tumeshindwa kesi tulipeni tu.
 
Hivi huyu hawezi kushitakiwa kwa kukanyaga viuno na migongo ya kina mama waliomzaa
 
Huyu naye anaongea nini?. Sauti yake ilipovuja anamtukana Magufuli, Magufuli alisema laiti angeamua kuwashitaki katika chama kiwachukulie hatua wanageishaia pabaya. Leo anapata wapi audacity ya kumbambikizia Dr Slaa kesi nzito na mbaya namna hii?.

Anasema hakuna mtu atakamatwa kwa kupinga mkataba wa Bandari wakati mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ametangazia umma kuwa ukipinga mkataba wa bandari unawekwa ndani na akasema kuna watu wameshawekwa ndani. Sasa anataka kumuongopea nani?
Wanajisahau sana hawa wakiwa na vyeo.
 
Back
Top Bottom