Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi

anaitwa nani huyo mstaafu?
 
Mkuu mstaafu yuko sahihi kabisa

In short Tanzania tunaongozwa na nguvu ya Mungu hatuna kiongozi wala viongozi wanaotuongoza ukiangalia mambo yanavyokwenda mrama ndio utajua bila Mungu hatuwezi.

samia is so weak hilo liko wazi kabisa mambo yote ya hovyo yamerudi😕
 
@johnthebaptist Mzee Mgaya na Mchungaji Matsai wanasemaje kwani??
 
Ni kweli kabisa. Na Msigwa angaliweza kuiandika kwa kiingereza kizuri kinachoeleweka kwani kasomea huo utalaam wa habari. Haya mambo yanahitaji utulivu, Nape kakurupuka na mihasira.
Aisee...
 
Tuna watu wajinga na waliokosa maarifa kwa kiwango cha ajabu nchi hii:

1. Kule Urusi, pamonlja Wagner kuwa na silaha za kila aina, kuua askari wa Serikali, kuteka ghala la silaha, kudondosha chopa ya askari wa Serikali, Serikali ya Urusi haikuwahi kutangaza kundi la Wagner ni wahaini.

2) Kwenye bandari, hakika hawa kajambanani, hakuna wanachokijua. Ushabiki umewafanya kuwa vipofu wa akili. Hao DP World, huko kwenye mataifa makubwa, hakuna hata nchi moja walikopewa kuendesha BANDARI MAMA. Sisi, hawa kajambanani, nadhani ni kwa ujinga tu, wanashabikia ujambazi wa viongozi wa kuwapa DP bandari Mama ya Dar, na nyingine zote. Yaani ni uwendawazimu, upumbavu, na ujinga wa hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…