Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
Tunaomba namba ya simu.....eneo..Hivi kwann sisi wakazi wa viwege kwa mpemba majohe gongolamboto wilaya ya ilala mkoa daresalam, mmetupangia kuhudumiwa kisarawe mkoa wa pwani? Na kwanini miundombinu ipo tayari kwa maana ya nguzo na waya na transformer zimefungwa na zimewashwa taa, tangia February hadi leo hakuna hata nyumba moja mlioiunganishia Umeme? Tatizo ni nini? Mbona kila kitu tayari
Tunaomba namba yako ya mita tukuelezee ulichokatwa maana umeme wa tsh 10000 unapata unit 28.kama.upo tarif 1Tanesco tunalia na bili asilimia 23 za kununua umeme wa Luku mnatukata yaani nikinunua LUKU ya elf10 napata UNIT ZA ELF 7.utaona ktk msg ati VAT18%....REA,3%....SERVICE CHARGE,3%...kwanini hamna huruma?mimi mAoni yangu kungeanzishwa tu kampuni binafsi ya umeme ili TANESCO mpate changamoto kama alivoipata TTCL baada ya kuwakaribisha makampuni binafsi
Tumeipokea kwa uchunguzi na hatua zaidiLicha ya Mkoa wa Mtwara kuwa na kituo chanzo kikuu cha uzalishaji wa Gesi asilia ,lakini mambo ni kinyume kabisa na mategemeo ya wananchi wa mkoa huu kwani tangia mwezi january mwaka huu 2017 kumekuwa na mgao wa umeme,katika maeneo mbalimbali umeme unakatika asubuhi na kurudi jioni au umeme kukatika jioni mpaka saa tano usiku.Mpaka sasa Uongozi wa shirika la Tanesco mkoa hawajatoa maelezo yeyote kuhusu mgao huu kuwa unasababishwa na nini na tatizo hili lini litakoma,cha kusikitisha hakuna chombo cha habari kilicho report juu ya mgao huu wa umeme mkoa wa mtwara ambao umekuwa kikwazo kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wakazi wa Mkoa wa Mtwara.
Tunaomba namba yako ya mitaNaomba ufafanuzi hivi kwanini,umeme nanunua bei sawa na wanao tumia unit zaidi ya sabini kwa mwezi wakati mimi natumia unit takribani stini na mbili kwa mwezi. Wakati huohuo jirani yangu anapata unit nyingi akinunua kwa kiasi cha hela km ntakayonunua mimi, Naomba mnielimishe tafadhali
Ninavyojua.Naomba kuuliza unapo badilishiwa mita kutoka hizi za zamani nakuwekewa mita za luku kuna kiasi chochote unatakiwa ulipe?
Je zile unites unazozikuta kwenye mita baada ya kubadilishiwa niza bure au unatakiwa uzilipie????
Maana kuna MTU hapa kaambiwa alipie