Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani mkuu hata kijiko ni kikubwa sijui tuseme ni wa nini, inakera sana, jana na leo ofisini kwetu hakuna umeme....
....Arusha umeme wa kijiko
......mbona nimeambiwa arusha hamna umeme
Kama mgao unauona kwanini mpk utangaziwe?Huku kwetu ni balaa yanii ni bora mtu uwe na taarifa. Ofisi yetu kwa mwezi umeme wa Tanesco tunalipa wastani was laki moja na nusu lakini tokea shida imeanza takribani wiki mbili sasa wastani kwa wiki tunatumia mafuta ya shs laki mbili kwa ajili ya kuendesha genereta na uzalishaji umepungua
Nidhamu ya woga ni mbaya sana.. Au kwa sababu ikulu kuna umeme 24/7 ndo manaana tanesco inaogopa kutangaza mgao was umeme? Watu wanaogopa kutangaza mgao wa umeme kisa kuogopa kutumbuliwa.
......Nadhani mkuu hata kijiko ni kikubwa sijui tuseme ni wa nini, inakera sana, jana na leo ofisini kwetu hakuna umeme
Kaka hapa Niko mwanza nyakato steel(kiwanda cha nondo) taka asubh mpaka sasa vibarua na wajiriwa wapo nje ya gheti wanasubiri Umeme.Sehemu kubwa hakuna umeme kabisa.
Pole sana wangu, hii ndo Tanzania yetu ni aibu kubwa sana sanaa sio siri......
......Nimejikusanya UK nimekuja na wageni kurudisha Paundi nyumbani NAKUTANA NA GIZA TORORO CHUGA
.....Kuna taarifa imetumwa kwamba kumetokea hitilafu ktk Grid ya Taifa iliyopelekea umeme kukatika muda wa saa moja na dakika mbili leo asubuhi na tatizo hilo linashughulikiwa sasa wewe unayeongea sana mara CCM imefanya hivi,kwani hao walio nje ya CCM si na wao walikuwa CCM na bado matatizo haya ya umeme tulikuwa nayo. Kipindi Lowassa akiwa Waziri Mkuu alisema ataleta umeme kutoka Indonesia sijui ulikuwa ni umeme wa kuchota na ndoo lkn hatukuuona hd anatimuliwa madarakani kwa ufisadi wa RICHMOND. Sumaye huyo mlonaye ndo ziro kabisa kakaa kwenye kiti cha Uwaziri Mkuu miaka kumi kuliko Mawaziri Wakuu wote tangu Tanganyika ipate Uhuru lkn hatukuona la maana alilofanya sasa leo hii ndo ataweza kutatua matatizo ya umeme? Tujadili matatizo ni kwa namna gani tuyaondoe lkn ukiongelea chama mimi japo si maana CCM lkn naona hakuna chama mbadala wa kuiongoza Serikali bali nawaona walioko huko upande wa pili ni makanjanja tu..!!!
Hebu acha kutetea ujinga., hivi unajua ni jinsi gani kukatika huku kwa umeme tena bila taarifa kunavyowaathiri wananchi hususani wafanyabiashara wadogo wadogo? kwa hio hadi hayo yatendeke mnataka hawa vijana biashara zao ziwe zimekufa au vipi? nyie ndio mnaiharibu hii nchi kwa tabia yenu ya kujustify the unjustifiableUnapoandika jitahidi kufanya uchambuzi wa mambo unayoandika. Kuhusu suala la umeme, huoni jitihada zinazofanywa. Ule mradi wa stiglers george unazani utaingiza megawati ngapi katika gridi ya taifa? Tatizo vijana wa chadema kutamani jambo fulani litokee kama ndoto bila kuwekeza jitihada kufikia hiyo ndoto.
.....Pole sana wangu, hii ndo Tanzania yetu ni aibu kubwa sana sanaa sio siri