inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
matatizo hayaishi!?..kalemani alisema wiki mbili..wiki mbili zimepita linakuja tatizo lingineKuna taarifa imetumwa kwamba kumetokea hitilafu ktk Grid ya Taifa iliyopelekea umeme kukatika muda wa saa moja na dakika mbili leo asubuhi na tatizo hilo linashughulikiwa sasa wewe unayeongea sana mara CCM imefanya hivi,kwani hao walio nje ya CCM si na wao walikuwa CCM na bado matatizo haya ya umeme tulikuwa nayo. Kipindi Lowassa akiwa Waziri Mkuu alisema ataleta umeme kutoka Indonesia sijui ulikuwa ni umeme wa kuchota na ndoo lkn hatukuuona hd anatimuliwa madarakani kwa ufisadi wa RICHMOND. Sumaye huyo mlonaye ndo ziro kabisa kakaa kwenye kiti cha Uwaziri Mkuu miaka kumi kuliko Mawaziri Wakuu wote tangu Tanganyika ipate Uhuru lkn hatukuona la maana alilofanya sasa leo hii ndo ataweza kutatua matatizo ya umeme? Tujadili matatizo ni kwa namna gani tuyaondoe lkn ukiongelea chama mimi japo si mwana CCM lkn naona hakuna chama mbadala wa kuiongoza Serikali bali nawaona walioko huko upande wa pili ni makanjanja tu..!!!