Naomba kujua kama nina vigezo vya kupewa tarif, ili nisisumbuke kufuatilia maana nilipopeleka barua niliambiwa tarif imesitishwa kwa muda

Namba ya mita yangu ni 221 325 3284 1
Nadhani hii namba ya meter itakuwa imeanza na 24........
 
Naomba kujua kama nina vigezo vya kupewa tarif, ili nisisumbuke kufuatilia maana nilipopeleka barua niliambiwa tarif imesitishwa kwa muda

Namba ya mita yangu ni 221 325 3284 1
Kwa nini sijibiwi Hii?[emoji121]
 
Reactions: BAK
Asante
 
kwa nini umeme Mtwara kila siku lazima ukatike kwa masaa 6 hadi 12 na kwenye baadhi ya line tu kila siku?
 
TANESCO NAOMBEN MSAADA WENU NMELIPIA KUFUNGIWA UMEME TANGU MWAKA JANA MWEZI WA 10 MWAKA JANA NKAAMBIWA BAADA YA MIEZI 3 NTAFUNGIWA LAKINI MPAKA LEO KIMYA.....NILILIPIA OFIS ZA TANESCO MOSHI MJIN ENEO NALOTAKA KUFUNGIWA NI KISHUMUNDU....ASANTEN KWA MSAADA WENU
 
Ndugu mpendwa mteja tunaomba jina ulilolipia na namba ya simu
 
Habari wana tanesco pamoja na kwamba hamjajibu swali langu kuhusu hawa rea pale chanika nyeburu.

Nimepeleka fomu ya maombi tangu January 2016
Na wenzangu wameshafungiwa
 
Na ningeomba kujuzwa bei ya nguzo moja
 
TUNATAKA MASHILIKA MENGINE YA UMEME......YAWE MENGI" KAMA MITANDAO YA SIMU mf: Tigo, Voda, airtel
n.k....Kwa maana TUMECHOKA KUSHANGILIA UMEME SAA 2 YA USIKU..
{ Uwoooooooooooooooooo>>>> }
TUMEWACHOKA %x%¥
 
Kuna mwizi wa umeme aliyekubuhu mivumoni. Tangaza dau nikuelekeze
 
Daaa ni siku ya nne toka nimefika hapa Mtwara mjini, kumekuwa na tabia ya kukatika kwa umeme kila ifikapo saa 12 au saa moja jioni, kurudi 4 au 5 uck.

Tanesco hebu litazameni hili jambo
 
Huo mgao uko Mtwara tu. ....hebu fuatilia vizuri huenda wana matengenezo tu.
 
Tanesco nimezima kuanzia friji feni pasi sipigi ninatumia taa tu energy sever cha ajabu Nkinunua Luku ya elf5 ni siku tatu tu
InakuAje hapo?
 
Sawa mmeeleweka.
Nawaomba mpunguze bei ya kufunga mita, maana hicho ni kifaa cha kukusanyiaa fedha. Mkipata wateja wengi makusanyo yataongezeka!!
 
Njoeni mnibadioishie nguzo kila siku najuja ofisini kwenu mbaya zaidi nimepewa ahadi za uwongo mnataka nguzo iangukie nyumba yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…