Umezungumzia tariff 1 mara mbili katika maelezo yako ya mwisho. Alafu matumizi ya units 75 mfululizo kwa miezi mitatu si bado nitabakia tariff 1? Je nikizidisha hapo napelekwa tariff gani na gharama kwa units moja nitakuwa nalipia kiasi gani mkuu?Tukuelezee wapi zaidi mkuu
Umezungumzia tariff 1 mara mbili katika maelezo yako ya mwisho. Alafu matumizi ya units 75 mfululizo kwa miezi mitatu si bado nitabakia tariff 1? Je nikizidisha hapo napelekwa tariff gani na gharama kwa units moja nitakuwa nalipia kiasi gani mkuu?
Naomba kujua hizo gharama za manunuzi ya units kwa tariffs mbalimbali
NAMBA YAKO YA SIMU?Kuna nguzo iligongwa na gari ikakatika kabisa chini bahati nzuri iyo nguzo ilishikiliwa na waya inayoenda kwenye nyumba tatu(mfano wa T) kwahiyo haikudondoka lakini ilitokea shoti kubwa mpaka tanesco wakaja na wakasema watabadilisha hiyo nguzo (ilikuwa mwaka jana) lakini mpaka leo hawajabadilisha. Sasa sijui mpaka iangukie nyumba yangu iue watu ndio watakuja ama vipi.
MKOA: TANGA
WILAYA: TANGA
KATA : NGUVUMALI
MTAA: MWAMBONI
MITA YA NYUMBA ILIYO KARIBU NA HIYO NGUZO: 43000279844
0625993313NAMBA YAKO YA SIMU?
Niwape namba zangu za simu ili mnihujumu na kunisabanishia matatizo..!! Namba siwapi ila fanyeni uchunguzi ktk maeneo niliyoyataja nikiwaongezea na eneo lingine la Sahara kule MwanzaMpendwa mtejaTunaomba namba yako ya simu hata kwa private mesage ili tuweze kushirikiana nawewe kubaina tuhuma hizo nzito ulizotupatia.Tunashukuru san kwa taarifa hizi muhimu
Hapa kidogo nimepata ufafanuzi kutokana na hili jedwali maana bado sijafikisha miezi mitatu tangu nifungiwe mita
Sidhani kama kuna penati kama siyo deni mkuuNimepewa karatasi ya kwenda kulipia bank kwa ajili ya kuunganishwa huu mwezi wa tatu sijaenda kulipa( hali ya maisha imekuwa ngumu), je nitapigwa penati?