chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Umezungumzia tariff 1 mara mbili katika maelezo yako ya mwisho. Alafu matumizi ya units 75 mfululizo kwa miezi mitatu si bado nitabakia tariff 1? Je nikizidisha hapo napelekwa tariff gani na gharama kwa units moja nitakuwa nalipia kiasi gani mkuu?Tukuelezee wapi zaidi mkuu
Naomba kujua hizo gharama za manunuzi ya units kwa tariffs mbalimbali