Nyinyi ni Taasis kubwa, haipaswi kuwapa wateja majibu ya kipropaganda. Ni vizuri mkawa mnajiridhisha kabla ya kutoa majibu kama haya. Issue ya kununua luku ni tatizo mpaka dakika hii ninapoandika hapa.Huduma ya luku imesharejea na wateja wanafurahia umeme wa Tanesco
Mimi ninatumia unit chini ya 50kwa mwezi nimeomba wanirudishe raarifu four huuu kwaka ss hivi.wananizungusha tuu..mtanisaidiaje hapa.yani unit moja wananiuzia kwa 360 kama nina kiwanda vile.Umeomba kwa nina gani namba ya simu mkoa na namba ya fomu ya maombi tafadhali
Ndugu mpendwa mtejaNusu saa iliyopita mmeenda Manyuki Transfoma Manispaa ya Morogoro mjini mmekata umeme alafu mkaipiga shoti transfoma mkaamua kubeba ngazi na kurudi ofisini. Wananchi baadhi ya Laini hawana umeme VP mnampango wa kuwarudishia leoleo ama mmlikuwa na lengo gani?
Mnakoelekea siko kuzuri, yaani watu wanatumia umeme nyie mnafika mtaani kwao mnawakatia alafu inasikika shoti Kwenye transfoma ..mnabeba ngazi mnaondoka!!.. Hawa wananchi wanaowatizama kwa ujinga mnaowafanyia hadharani asubuhi kweupe...kuna siku mtalipa gharama za hasira zao.
Km kuna kitu mnakifanya toeni taarifa kwamba mnaipiga shoti transfoma na mtazima umeme.
Turudi Kwenye point, umeme leo watapata ama watalala giza Leo?? Km mnatengeneza mtatumia siku ngapi?
Mkoanaomba kuuliza kuwa kuna umeme wa grid ya taifa kv 400 ambao unaajengwa kutoka singida kwenda arusha katika njia inayopita umeme huo watu walishatathminia toka 2015 na mara mwisho mze bendera[ R.I.P] alisaini mwezi wa march 2017 na watu hao bado hawakulipwa fedha zao. je kwakuwa mpango huo bado wa kuwalipa hawa wtz walioathirika wananchi wanaruhusiwa kulima maeneo yao?. maana baadhi ya watu wamepitiwa zaidi ya maekari na hawana fedha za kukodisha maeneo watakaolima. TANESCO MAKAO MAKUU TUNAOMBA MAJIBU
Mkoa wa MorogoroMkoa
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Tunaomba taarifa zako tuwasiliane na wewe
Tumepokea taarifa mpendwa mtejaMkoa wa Morogoro
Wilaya Morogoro mjini
Kata Kihonda
Mtaa Manyuki transfoma(kituo cha basi)
Kituo cha daladala kinaitwa Manyuki transfoma...(hiyo transfoma Kwenye Kona ndio ninayoizungumzia)
Mlikuwepo mkafanya umeme ukate baadhi ya Laini alafu mkaondoka eneo la tukio. Namba yangu ya simu haitasaidia...fuatilia km nilivyoeleza hapo juu.