Habari wakuu,

Nadhani inafahamika kuwa kulikuwa na utaratibu wakukatwa deni kwa wateja tuliokuwa tuna maden ya Umeme,yaan ukinunua umeme wa 20000 unakatwa 10000 kama deni then unapewa umeme wa 10000.

Ila siku hizi hali imebadilika yan wanakwambia ulipe kiasi Fulani kikubwa cna pesa kulipa deni then ndo utoe tena pesa nyingine ununue umeme dah!Mfano hapa ninapoishi wamepewa shart la kulipa 90000 kila mwezi kama malipo ya deni then ndo ununue umeme!

Tanesco mtatuua jaman hali mbaya sn.

Tafadhalini turudishien utaratabu wa zamani.

Nenda ofisi ya tanesco ambayo inawahudumia, onana na meneja au andika barua kwa meneja ukiomba muwekewe utaratibu wa kulipa nusu kila mnaponunua umeme. Kwamba mkatwe nusu ya pesa kila mara mnaponunua umeme.

Mwambie hamna uwezo wa kulipia hiyo fixed amount kila mwezi ila hiyo ya kulipia nusu ni ahueni na afadhali kwako.

Ila kama hilo deni linatokana na wizi wa umeme na sio madeni ya zamani ya kushindwa kulipa bili hakuna namna, lazima ulipe kwa utaratibu huo waliokuwekea sasa.

Hivyo ndivyo navyojua, ila kwa maelezo zaidi fika ofisini kwao.

Nimenunua umeme leo tarehe 12/12 /2017
Saa 7;36 pm
Mbaka muda 20:44 sijapata token Voda imethibitisha umetuma imetumwa kwa LUKU 2 ~TANESCO
Kiasi sh 10,000

Mita no 24219180114

Sim 0754 569799
Dar ~bubju
NAMBA ZA MADAWATI YA DHARURA -TANESCO DAR ES SALAAM

ILALA-CITY CENTRE

0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.

WILAYA YA TABATA

0684 001068/ 0715 768589

WILAYA YA GONGO LA MBOTO

0688001071/ 0715768584

WILAYA YA VIWANDA/TAZARA

0684001066/ 0715768587

WILAYA YA YOMBO

0783360411/0765654767

MKOA WA KINONDONI KUSINI/MAGOMENI

0784271461/ 0715271461

WILAYA YA KIMARA

0788379696/ 0717379696

MKOA WA KINONDONI KASIKAZINI/MIKOCHENI

0784 768584/ 0716 768584

WILAYA YA MBEZI BEACH

0658 768583/ 0713 768581

WILAYA YA TEGETA

0658 768584/ 0717 650 878

MKOA WA TEMEKE/KURASINI

0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720

WILAYA YA KIGAMBONI

0788499014/ 0736501661

WILAYA YA MBAGALA

0714 073 588

KITUO CHA MIITO YA SIMU/CALL CENTRE

0768 985 100/0222194400

MITANDAO YA KIJAMII

Facebook: Like
www.facebook.com/tanescoyetu

Twitter:Follow
www.twitter.com/tanescoyetu

Webiste
www.tanesco.co.tz

Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"

Nimenunua umeme leo tarehe 12/12 /2017
Saa 7;36 pm
Mbaka muda 20:44 sijapata token Voda imethibitisha umetuma imetumwa kwa LUKU 2 ~TANESCO
Kiasi sh 10,000

Mita no 24219180114

Sim 0754 569799
Dar ~bubju
Tunakuangalizia umeme wako mkuu

Umezidi kiwango cha wastani wa manunuzi wa unit 75 kwa mwezi hivyo umewekwa kwende kundi la matumizi yako

Sasa hii biashara gani
Pesa kwenye akaunt mnakomba
Token amleti au ndio mnatushangisha pesa kinguvu za kubomolea jengo lenu
Leo ninalala giza kwa uzembe wenu mnilipe fidia.
NAMBA ZA MADAWATI YA DHARURA -TANESCO DAR ES SALAAM

ILALA-CITY CENTRE

0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.

WILAYA YA TABATA

0684 001068/ 0715 768589

WILAYA YA GONGO LA MBOTO

0688001071/ 0715768584

WILAYA YA VIWANDA/TAZARA

0684001066/ 0715768587

WILAYA YA YOMBO

0783360411/0765654767

MKOA WA KINONDONI KUSINI/MAGOMENI

0784271461/ 0715271461

WILAYA YA KIMARA

0788379696/ 0717379696

MKOA WA KINONDONI KASIKAZINI/MIKOCHENI

0784 768584/ 0716 768584

WILAYA YA MBEZI BEACH

0658 768583/ 0713 768581

WILAYA YA TEGETA

0658 768584/ 0717 650 878

MKOA WA TEMEKE/KURASINI

0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720

WILAYA YA KIGAMBONI

0788499014/ 0736501661

WILAYA YA MBAGALA

0714 073 588

KITUO CHA MIITO YA SIMU/CALL CENTRE

0768 985 100/0222194400

MITANDAO YA KIJAMII

Facebook: Like
www.facebook.com/tanescoyetu

Twitter:Follow
www.twitter.com/tanescoyetu

Webiste
www.tanesco.co.tz

Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"

Sasa hii biashara gani
Pesa kwenye akaunt mnakomba
Token amleti au ndio mnatushangisha pesa kinguvu za kubomolea jengo lenu
Leo ninalala giza kwa uzembe wenu mnilipe fidia.
Tarehe uliyonunua
Kiasi
Namba ya simu
Namba ya mita
Tunaomba hizo taarifa mpendwa mteja

Ndugu mpendwa mteja
Hii inategemea na kiasi cha deni unalodaiwa mfano unadaiwa 20m halafu unanunua umeme wa 5000 kwe mwezi itakuchukua miaka mingapi kumaliza hivyo lazima tukiongezee kiasi cha kulipa

Umezidi kiwango cha wastani wa manunuzi wa unit 75 kwa mwezi hivyo umewekwa kwende kundi la matumizi yako
Kuhusu token za sh elfu saba nilizonunua ambazo sijazipata hadi sasa zilizopelekea haya yote ya kupandishwa tariff inakuwaje au ndio pesa yangu imepotea

Kuhusu token za sh elfu saba nilizonunua ambazo sijazipata hadi sasa zilizopelekea haya yote ya kupandishwa tariff inakuwaje au ndio pesa yangu imepotea
Tunaomba namba yako ya mita na ya simu tukuambie manunuzi yako kwa kuwa mtu habadilishwi kwa matumizi ya mwezi mmoja

Tar..4/12/2017 nilinunua umeme kupitia nmb mobile tsh. 7000/= sikupata token baada ya kukaa mda mrefu bila kupata SMS ya token ilinibidi ninunue umeme mwingine kupitia mpesa tsh. 2000/= nikapata token nilitegemea ile token ya nmb mobile ningeipata baada ya system kukaa sawa Leo nimejaribu kununua umeme mwingine Wa tsh 5000/= kupitia mpesa nimepata token lakini nimepata units tofauti na mwanzo kwani nipo kwenye matumizi madogo tokea mwaka 2015 meter number 07068234553. Sasa hapo mtanisaidieje nirudi kwenye matumizi madogo kama mwanzo?

Maana nimekaa kama week bila kupata token ya mwanzo ndiyo nikaamua kununua umeme tena namba ya Simu 0762393783

Asanteni TANESCO kwa kuwa karibu na wateja, Naelewa kuwa matatizo mengine ni nje ya uwezo wenu ila wateja hatuelewi hilo.

Mimi swali langu ni kuwa nimefungiwa Tarrif 1 badala ya Tarrif4 kama sijakosea herufi, ni fanyaje wanipeleke kwa wateja wanaotumia Umeme wa unit chini ya 75, na ni kiasi gani gharama?

Mnakata umeme Arusha upande mmoja kila siku mchsna na usiku, lakini upande mwinginw unawaka kila siku maanake ni nini.

Arusha mianzini, sekei, sakin huko umeme upo kila kukicha ila ngulelo, moshono, njiro, stand kubwa mpka kwa morombo huko umeme hamna kila kukicha mnakata mna sababu 1 tu

Jaman tanesco kwanin wilaya ya mbarali mkoa wa mbeya huwa mnakatakata umeme? Imekua kero kwenye mioyo ya wanambarali,please wekeni mambo sawa

Habar wakuu,

Kwa masikitiko makubwa napenda niwaombe TANESCO waje watoe kila kilicho chao majumbani mwetu ili tujue moja.

Wameanzisha utaratibu wa ajabu kwa wateja wanaodaiwa madeni. Mwanzo walikuwa wanatukata madeni kupitia mfumo wa Luku, yaani tunanunua umeme tunapewa nusu ya pesa tulionunua umeme. Tukinunua umeme wa 10000 tunakatwa 5000 tunapewa umeme wa 5000

Chaajabu hivi sasa hawataki tena tulipe kwa mfumo huo! Yaani wanataka ulipe kiasi kikubwa cha pesa, mfano nyumbani wametuambia tunatakiwa kulipa Tsh. 85000 kila mwezi halafu ndo turuhusiwe kununua umeme! Tusipotoa hiyo hela hatupati umeme!
[emoji24]

Hili haliwezekani hata kidogo, umeme tunaotumia kwa mwezi ni wa 10000. Je tutawezaje kumudu hiyo 85000 kila mwezi?

TANESCO Tuoneeni huruma jamanii vyuma vimekaza. Leo ni siku ya NNE tupo kizani.

Hii inategemea na kiasi cha deni ulilonalo mfano unadai 10m kwa mwezi unanunua umeme wa 5000 itakuchukua miaka mingapi kumaliza deni

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…