Hawa TANESCO wazushi tu,issue serious hawajibu kabisa,wanazipita kama hawaoni, wanawajibu wale walionunua luku kwa simu bila kupata tokens tu hili tuone wanafanya Kazi ukiwauliza issue global hawajibu zaidi ya kukuambia tuma Jina,namba ya simu na bla bla kibao,wewe ushaambiwa mf TEMEKE nzima hakuna umeme sasa namba ya simu ya nini? Si ilitakiwa wapige SUBSTATION ya temeke kuconfirm?Mbona Wengine Hatujibiwi
Hawa dawa yao inachemka watakufa natural death hawawezi kutesa watanzania kihasi hiki ,Kazi ya kusupply imewashinda lakini still wanang'ng'ania na hawataki kuachia,wametoa kwenye production tu lakini kusambaza hawataki kuachia.Mmejaribu kuongea na kiongozi mkuu ili mpate mpinzani kama mitandao ya simu?
Au wawekezaji watakuja na umeme kutoka kwao?
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetuHawa TANESCO wazushi tu,issue serious hawajibu kabisa,wanazipita kama hawaoni, wanawajibu wale walionunua luku kwa simu bila kupata tokens tu hili tuone wanafanya Kazi ukiwauliza issue global hawajibu zaidi ya kukuambia tuma Jina,namba ya simu na bla bla kibao,wewe ushaambiwa mf TEMEKE nzima hakuna umeme sasa namba ya simu ya nini? Si ilitakiwa wapige SUBSTATION ya temeke kuconfirm?
TANESCO tuliomba umeme toka mwaka 2016 January wakazi wa SACCOS Mabwepande karibu na Chuo cha kilimo, Nguzo zilipo mpaka SACCOS hazizidi 7 lakini mpaka Leo hakuna kitu,nilifika ofisi za Tegeta mkasema mshaleta Nguzo 200 mshamkabidhi contractor na mchoro tayari, hilo jibu ni la mwaka Jana October,cha kushangaza mpaka Leo hakuna cha Nguzo wala contractor.
TANESCO mnafanya hivyo kwa sababu mpo peke yenu kwenye game la kusupply umeme lakini ipo siku mtakufa natural death...Alternative ni Solar ila figisufigisu kodi Kubwa hivyo kupelekea Gharama ya vifaa iwe Kubwa otherwise hakuna angehangaika na nyinyi kabisa.
Usije kuniambia nikupe namba sijui jina sina mda huo tena maana nilishakupa tangia mwaka jana mwezi wa 9,nimeandika tu kuwapa black and white, huo umeme wenu leteni mtapojisikia hata 2030 poa tutakaa giza tu,kila sehemu madudu tu,Watanzania wanakatwa fedha kuchangia REA kwa ajili ya kuwahudumia watanzania wenzao ,Nguzo 7 mpaka kwenye makazi ya SACCOS miaka miwili bado hamjapata fedha??? Really? Like seriously? Na unajisikia comfortable kabisa unaamka asubuhi unaenda kazini?? Upinzani/Wanaharakati ni mda muhafaka wa kupinga monopoly ya TANESCO maana Kazi imewashinda.
Ok,Survey hawajaja kabisa sasa yapata mwezi,namba yangu ni 0712 176 598Tupatie taarifa za huduma unayohitaji na namba yako ya simu yeye atakupigia mkuu
Fomu nimerudisha tarehe 18 mwezi huu,jina nililotumia ni Zaina Hassan Mlamla,Eneo ni msimbazi bondeniUmerudisha fomu lini na upo eneo gani na ulitumia jina gani
Ni jukumu la mwananchi kuchangia gharama za huduma anayopata ili kupelekea wateja wengine kuhudumiwa vizuri zaidi, hata hivyo huduma nyingi zi epunguzwa bei ili kuwanufaisha wateja wengine mfano kufungiwa umeme miradi ya rea ni tsh 27000 tu, vijiji 177000 na mijini 321000 tofauti hapo awali ilikuwa zaidi ya laki nneNaomba kuuliza Kwanini Tanesco kila kitu kinalipiwa na mwanachi anayehitaji kupatiwa Umeme kuanzia nguzo na mambo mengine yote. Namaanisha mtu anayetaka umeme anatakiwa kulipia kiasi fulani Cha fedha ndipo apewe huduma, wakati Tanesco inakusanya fedha kwa wanaotumia Umeme Nchini.
Narudia swali; .... kwa nini wananchi wanalipishwa upatikanaji wa vifaa Kama nguzo wakati Ni jukumu lenu Tanesco kuwanavyo ??????
Haya,ila pia mngenipatia namba yake meneja ingependeza zaidi,kwani nimeangalia katika website yenu mmeweka majina na namba za mameneja wenu nchini lakini mkoa wa dsm hamjaweka namba ya meneja wa city centre cjajua tatizo ni niniTutakufikia mkuu
Utaratibu ni wewe kuwasiliana na kituo cha huduma kwa wateja na kama tatizo lako litakuwa linahitaji uongozi wa juu tutalifikisha, kwamhuduma unayoomba ya survey ambayo ipo ndani ya uwezo wa watoanhuduma wetuHaya,ila pia mngenipatia namba yake meneja ingependeza zaidi,kwani nimeangalia katika website yenu mmeweka majina na namba za mameneja wenu nchini lakini mkoa wa dsm hamjaweka namba ya meneja wa city centre cjajua tatizo ni nini
OK,sawa nimewaelewa lakini nilipenda niwe nayo namba yake,mbona mmetoa toa orodha ya namba ya mameneja nchini lakini kwa meneja wa Ilala hamjatoa whyUtaratibu ni wewe kuwasiliana na kituo cha huduma kwa wateja na kama tatizo lako litakuwa linahitaji uongozi wa juu tutalifikisha, kwamhuduma unayoomba ya survey ambayo ipo ndani ya uwezo wa watoanhuduma wetu
Ok,sawa nitashukuruTutaiwekw mkuu
Si kweli kuchangia huduma wakati Tanesco wanalipwa kwa kutumia Umeme. Inakera mtu unapohitaji umeme unaambiwa lipia nguzo tatu au nne, najiuliza nyie pesa mnayokusanya mnafanyia nini Kama kila kitu kilipiwe na wananchi???Ni jukumu la mwananchi kuchangia gharama za huduma anayopata ili kupelekea wateja wengine kuhudumiwa vizuri zaidi, hata hivyo huduma nyingi zi epunguzwa bei ili kuwanufaisha wateja wengine mfano kufungiwa umeme miradi ya rea ni tsh 27000 tu, vijiji 177000 na mijini 321000 tofauti hapo awali ilikuwa zaidi ya laki nne
Mteja halipii nguzo bali anachangia gharama ya nguzo, itakumbukwa kuwa gharama ya nguzo imepunguzwa sana na tumeweka viwango vifuatavyo kufungiwa umemeSi kweli kuchangia huduma wakati Tanesco wanalipwa kwa kutumia Umeme. Inakera mtu unapohitaji umeme unaambiwa lipia nguzo tatu au nne, najiuliza nyie pesa mnayokusanya mnafanyia nini Kama kila kitu kilipiwe na wananchi???
Ndugu mpendwa mtejaWakuu tatizo langu ni moja kwamba umeme wangu natumia wa rea ila nalipa sawa na umeme wa viwanda ambao ni 3face mi kawaida nanua umeme wa 5000 ambao kwa umeme wa viwanda ni units 14 na wa rea ni 41 sasa naombeni msaada namna ya kutatua tatzo langu hili kwamaana naumia sana[emoji119] [emoji119]