Tanesco nimerudisha fomu huu mwezi wa pili Serveyor hawajaonekana nini tatizo?
 
Tanesco nimerudisha fomu huu mwezi wa pili Serveyor hawajaonekana nini tatizo?
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Je, ni kweli Tanesco mna kikosi kazi ambacho huweza kumchukua mtu mateka sababu ameandika mambo msiyoyapenda
 
Je, ni kweli Tanesco mna kikosi kazi ambacho huweza kumchukua mtu mateka sababu ameandika mambo msiyoyapenda
Huu ukurasa ni kwa ajili ya huduma kwa wateja na taarifa zinazohusu shirika la Umeme Tanzania, hivyo agenda nyingine sio sehemu yake mpendwa mteja wetu
 
Huu ukurasa ni kwa ajili ya huduma kwa wateja na taarifa zinazohusu shirika la Umeme Tanzania, hivyo agenda nyingine sio sehemu yake mpendwa mteja wetu
Hii sio huduma kujua muundo na utendaji kazi wenu???
Sio huduma kuwafahamu mnaoniuzia umeme?

Okay, nashukuru.
 
Reactions: ADK
Hii sio huduma kujua muundo na utendaji kazi wenu???
Sio huduma kuwafahamu mnaoniuzia umeme?

Okay, nashukuru.
Shirika linafanya kazi kwa mujibu wa sheria za Nchi, jukumu letu ni kuzalisha, kusafirisha na kusambaza umeme ambalo lipo kwa mujibu wa sheria, majukumu mengine unayoyataja yapo kwenye tasisi nyingine kwa mujibu wa sheria za Nchi yetu.

Aidha hatuwezi kukujibu moja kwa moja kwa kuwa haujaweka maelezo ya kutosha dhidi ya hilo usemalo mkuu
 
Tanesco ilala / kisarawe hapo kwetu chanika buyuni kwenye nyumba za pspf jirani na plot namba 14 block 33 hatuna umeme hii ni wiki ya tatu baada ya nguzo kuungua moto
 
Tanesco ilala / kisarawe hapo kwetu chanika buyuni kwenye nyumba za pspf jirani na plot namba 14 block 33 hatuna umeme hii ni wiki ya tatu baada ya nguzo kuungua moto
Namba yako ya taarifa, namba ya simu tafadhali
 
Namba ya taarifa sina ila niliwapigia simu kwa kutumia namba yangu ya 0622011419 na wakaja kwenye tukio na kuahidi kuwa wataleta nguzo nyingine hadi leo hawajaleta
 
Namba ya taarifa sina ila niliwapigia simu kwa kutumia namba yangu ya 0622011419 na wakaja kwenye tukio na kuahidi kuwa wataleta nguzo nyingine hadi leo hawajaleta
Tumepokea taarifa mkuu
 
Enyi REA via Tanesco njooni Chanika- Zingiziwa msimike zile nguzo mlizorundika kwa m/kiti toka Jul 2017,nilimsikia mh Waziri akisema hataki kuona nguzo nguzo zikiwa chini
 
Habari, nna tatizo mita yangu inagoma kununua umeme, ilikua na deni nimeambiwa mpaka niende ofisin jumatatu, kiukweli kwangu itakua ngumu kusubir mpaka jumatatu. Naomba kama kuna namna ya kuweza kupata umeme haraka iwezekanavyo. mita no: ni 24211636683
 
Mkuu lipitia deni hilo ili uweze kununua umeme
 
Tumelala gizani na mpaka sasa hivi hakuna umeme Darisalama hii. Kuna maelezo yoyote?
Kuna baadhi ya maeneo ambayo hayana umeme kutokana na athari ya mvua na upepo mkali wataalamu wetu wanafanyia kazi mkuu
 
Kunani Tanesco jamani tangu jana 3/3/2018 kuanzia saa 1:30 vijiji vya Melela, Mangae, Mkata, Doma mkoani Morogoro hakuna umeme kama kuna tatizo kwanini mfumo rasmi wa utoaji taarifa kwa watumiaji umeme?

Kumbukeni huduma hii ni ya malipo ya kabla,mteja amenunua huduma halafu hamtoi Huduma imekaaje hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…