Jamani nipeni namba za Waziri Mbarawa, maana TANESCO mmezidisha maskhara hivi mwez wa tatu huu unaenda hamniwekei umeme lakini mna nini nyie? Nimechoka kuja ofisini kwenu kwakweli mnanikwaza! Basi nirudishie pesa zangu niweke solar,nguzo moja tu inawashinda kuniwekea hapo Kimara??? ingekua kijijini je?
 
Umelipa lini kwa jina gani, wilaya na eneo lako tafadhali
 
 
Lini mtaleta trasfomer kisasa maeneo ya kongowe mzinga maana tunateseka watu wenye mita mpya umeme ukiwa mdogo tunalala na kiza
 
Mvua ya usiku huu imesababisha nguzo moja ya umeme kuanguka na waya wake kuning'inia katika mfereji wa maji unaopita nyuma ya msikiti wa miraba hapa banebane Kisukulu.

Ni hatari sana kwakuwa mfereji huu hutumika kama njia ya waenda kwa miguu ikizingatiwa kuwa sasa hivi ni usiku na hakuna mwanga wa kutosha.

Niwaombe tanesco ofisi za Tabata Liwiti fikeni haraka kuepusha hatari hii.
 
Hii ni zaidi ya tatizo,tunaomba mtujuze nini kinasababisha hali hii kitu ambacho kimeanza kushamiri miaka hii wakati ambapo mmepiga hatua kiasi hadi kutumia Mitambo ya gesi
Tumekatiwa Umeme Masaa matatu sasa Kijichi,kibaya zaidi utarudishwa maelezo.
 
Yaani wanakera sana sana. Hawabadiliki kila aiku, kila miaka mvua ikinyeshatikinyeshatu umeme qkushney
 
Tunaomba namba yako ya simu mkuu
 
ndugu JF nimekuja na ujio mpya ,je bado unasumbuliwa na tatizo la maji yaliyo na chumvi,harufu mbaya au rangi.
nimekuja tena na mitambo hata kwa matumizi ya nyumbani hotelini pia kiwandani.
ninauza mitambo ya kuchuja maji RO kuanzia uwezo wa 250 Litre kwa saa,500 L/saa,750L/saa,1000L/saa.....pia kama maji yako yanasumbua quality nakusaidia kutatua,kama system zako zinasumbua nitafute kama unataka CIP ya membrane nitafute
Kwa masiliano nitafute
0676010978

 
 
Maelezo niliyoyatoa yanajitosheleza, hii ni Jamii Forum hatutoi namba, labda kama ni mtego.

Nendeni asbh hii msiwe wavivu mnapopewa taarifa za hatari.
Ndugu mkuu, unaweza kutoa taarifa inbox pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…