TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Habari,

Eneo Toangoma, kisarawe 2, somangile na kimbiji wanakosa umeme kutokana na laini kubwa kuangukiwa na mnazi jana kutokana na upepo..

Eneo la vikunai, kota za nssf na kibada wateja wanakosa umeme kwa sababu nguzo imekata.

Kazi zote hizi zinafanyika pamoja kuhakikisha huduma inarejea kwa wakati.
Poleni kwa usumbufu unajitokeza kwa wakazi wa Kigamboni.

*TANESCO tunaomba radhi*
 
Mm Nimelipia Umeme Na Nguzo Moja Tangu Mwezi Wa 10/11 mwaka jana hadi leo mwezi wa 3 hamjaja kunifungia.

nimekuja sana ofisin kwenu kisarawe wananiambia watakuja! nikaribu miezi 5 inafika wakati wenzangu wengine wanafungiwa umeme, nguzo wanapita nazo hapo nje kwangu wanapeleka

kwingine why mimi sifungiwi umeme? Nimelipia Kwa Jina La Leonia Mahona Mkoa Dsm, Ilala, Majohe Viwege Kwa Bibi Mapera. 0675651445
 
Manispaa ya ubungo gazani kuanzia Jana 7/3/2018 saa 12 jioni hadi hivi sasa saa 12 : 25 , hakuna umeme kabisaa!!!!
maeneo ya kibamba, kiluvya GOGONI n.k
 
jamani hivi Tanesco wa Mbezi kimara kweli ndo mnatuweka Gizani siku ya pili leo..[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Habari,

Eneo Toangoma, kisarawe 2, somangile na kimbiji wanakosa umeme kutokana na laini kubwa kuangukiwa na mnazi jana kutokana na upepo..

Eneo la vikunai, kota za nssf na kibada wateja wanakosa umeme kwa sababu nguzo imekata.

Kazi zote hizi zinafanyika pamoja kuhakikisha huduma inarejea kwa wakati.
Poleni kwa usumbufu unajitokeza kwa wakazi wa Kigamboni.

*TANESCO tunaomba radhi*
Lini mtaleta transFomer kisasa kongowe mzinga
 
Manispaa ya ubungo gazani kuanzia Jana 7/3/2018 saa 12 jioni hadi hivi sasa saa 12 : 25 , hakuna umeme kabisaa!!!!
maeneo ya kibamba, kiluvya GOGONI n.k
Umeme umerudi mpendwa mteja wetu
 
Mm Nimelipia Umeme Na Nguzo Moja Tangu Mwezi Wa 10/11 mwaka jana hadi leo mwezi wa 3 hamjaja kunifungia. nimekuja sana ofisin kwenu kisarawe wananiambia watakuja! nikaribu miezi 5 inafika wakati wenzangu wengine wanafungiwa umeme, nguzo wanapita nazo hapo nje kwangu wanapeleka kwingine why mimi sifungiwi umeme? Nimelipia Kwa Jina La Leonia Mahona Mkoa Dsm, Ilala, Majohe Viwege Kwa Bibi Mapera. 0675651445
Tumepokea taarifa mpendwa mteja wetu
 
TANESCO NAOMBA KUJUA JE MIMI NILIYEKO MJINI NA NATAMANI TARIFF YANGU IPUNGUZWE ICE SAWA NA WALE WA R.E.A , JE UWEZEKANO HUO UPO AU HAUPO? NA KAMA HAUPO KWANINI?
 
TANESCO NAOMBA KUJUA JE MIMI NILIYEKO MJINI NA NATAMANI TARIFF YANGU IPUNGUZWE ICE SAWA NA WALE WA R.E.A , JE UWEZEKANO HUO UPO AU HAUPO? NA KAMA HAUPO KWANINI?
Tarif inatokana na matumizi yako sio ulipo
 
Tarif inatokana na matumizi yako sio ulipo
Ok naomba kujua pia units za luku zinazotakiwa ziwe za kawaida kwa matumizi ya kawaida, zinatakiwa zianzie units ngapi na zisizidi ngapi na bei ya kila units kwa mtu huyo TANESCO inatuuziaje?
 
Umeme umerudi mpendwa mteja wetu
sisi hapa kwa Msuguri tangu Juzi hatuna umeme... umerudi usiku wa manane umekatika tena baada ya saa kumi alfajiri...


halafu hapa kwa Msuguri kuna tatizo gani sugu lisiloisha????..

maana huwa mnakata tuu mara nyingi yaani mnatupa hasira sana aise..
just imagine bidhaa za kwenye friji madukani zimeanza kuharibika.

Jirekebisheni....

Regards
 
Umelipa lini kwa jina gani, wilaya na eneo lako tafadhali
Ni ukweli shirika hili hamuendi na kazi ya mahitaji ya Wateja! hayo yanajidhihirisha kwa majibu ya kimaswali hayo hapo juu mliyomhoji mteja wenu!

kila kona kuna malalamiko ya jinsi hiyo meengi sana! Hata mradi wa rea sehemu kubwa hamkutekeleza ipasavyo kwenye vijiji mmewaachia malalamiko wananchi wengine kwa kutowapelekea umeme ipasavyo! Mnawaambia eti wajiongeze kwa kulipia nguzo kinyume na utaratibu!

Laiti km mngekuwa na mbadala, watanzania wengi wangeachana manyi, lakini natuna la kufanya koz mpo nyie tu! Mjitathimini!
 
Ni ukweli shirika hili hamuendi na kazi ya mahitaji ya Wateja! hayo yanajidhihirisha kwa majibu ya kimaswali hayo hapo juu mliyomhoji mteja wenu! kila kona kuna malalamiko ya jinsi hiyo meengi sana! Hata mradi wa rea sehemu kubwa hamkutekeleza ipasavyo kwenye vijiji mmewaachia malalamiko wananchi wengine kwa kutowapelekea umeme ipasavyo! Mnawaambia eti wajiongeze kwa kulipia nguzo kinyume na utaratibu! Laiti km mngekuwa na mbadala, watanzania wengi wangeachana manyi, lakini natuna la kufanya koz mpo nyie tu! Mjitathimini!
Ndugu mpendwa mteja nini hawa unalalamikia , na namba yalo ya simu
 
simu:0687237985
mita:221244674444
jina:vicent michael
kiasi:2000
tar & muda:09/03/18
tatizo: sijapokea token
 
Nyie tanesco mambo mlionifanyia leo Mungu atawalipa.
Mimi nina UE jumatatu nyie mnakata umeme kuanzia saa 6 mchana hadi saa 3 usiku.. mlitegemea nije kusomea ofisini kwenu...

Halafu hii sio mala ya kwanza mnafanya huu ujinga nikiwa kwenye mitihani mlianza 2015 nikapasa sup moja kisa nyie sasa naona mmeanza kuniandama mwaka huu..
Nawaambia hapa hafeli mtu..

Lkn huo upuuzi wa kukata umeme kwenye mitihani muwe mnaacha ... au malecture wanawaambia mkate ili watudake wengi kwenye sup..
Mmeshindwa!!!!
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KUKATIKA KWA UMEME KATIKA MIKOA ILIYOUNGWA KATIKA GRID YA TAIFA

Tunawataarifu Wateja wetu na Wananchi kwa ujumla kuwa, majira ya saa 8:49 Usiku kumetokea hitilafu katika mfumo wa Grid ya Taifa. Hitilafu iliyopelekea kukosekana kwa huduma ya umeme katika Maeneo na Mikoa yote iliyoungwa kwenye Grid ya Taifa.

Baada ya Hitilafu hiyo Kutokea, Mafundi na Wataalamu wa Shirika Wamechukua hatua za haraka na bado wako kazini Kuhakikisha kuwa Huduma ya Umeme inarejea mapema kadri iwezekanavyo.


Tutaendelea kutoa taarifa zaidi.

Uongozi wa Shirika unaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.

Tafadhali usishike wa kukanyaga waya ulioanguka au uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:

Kwa mawasiliano

Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetu

IMETOLEWA NA:

OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU

MACHI 10, 2018
 
Back
Top Bottom