Lini mtaleta transFomer kisasa kongowe mzingaHabari,
Eneo Toangoma, kisarawe 2, somangile na kimbiji wanakosa umeme kutokana na laini kubwa kuangukiwa na mnazi jana kutokana na upepo..
Eneo la vikunai, kota za nssf na kibada wateja wanakosa umeme kwa sababu nguzo imekata.
Kazi zote hizi zinafanyika pamoja kuhakikisha huduma inarejea kwa wakati.
Poleni kwa usumbufu unajitokeza kwa wakazi wa Kigamboni.
*TANESCO tunaomba radhi*
Tumepokea taarifa mpendwa mteja wetuMm Nimelipia Umeme Na Nguzo Moja Tangu Mwezi Wa 10/11 mwaka jana hadi leo mwezi wa 3 hamjaja kunifungia. nimekuja sana ofisin kwenu kisarawe wananiambia watakuja! nikaribu miezi 5 inafika wakati wenzangu wengine wanafungiwa umeme, nguzo wanapita nazo hapo nje kwangu wanapeleka kwingine why mimi sifungiwi umeme? Nimelipia Kwa Jina La Leonia Mahona Mkoa Dsm, Ilala, Majohe Viwege Kwa Bibi Mapera. 0675651445
Umeme umekatika tena maeneo ya kibamba kwa mangiUmeme umerudi mpendwa mteja wetu
Ok naomba kujua pia units za luku zinazotakiwa ziwe za kawaida kwa matumizi ya kawaida, zinatakiwa zianzie units ngapi na zisizidi ngapi na bei ya kila units kwa mtu huyo TANESCO inatuuziaje?Tarif inatokana na matumizi yako sio ulipo
sisi hapa kwa Msuguri tangu Juzi hatuna umeme... umerudi usiku wa manane umekatika tena baada ya saa kumi alfajiri...Umeme umerudi mpendwa mteja wetu
Ni ukweli shirika hili hamuendi na kazi ya mahitaji ya Wateja! hayo yanajidhihirisha kwa majibu ya kimaswali hayo hapo juu mliyomhoji mteja wenu!Umelipa lini kwa jina gani, wilaya na eneo lako tafadhali
Ndugu mpendwa mteja nini hawa unalalamikia , na namba yalo ya simuNi ukweli shirika hili hamuendi na kazi ya mahitaji ya Wateja! hayo yanajidhihirisha kwa majibu ya kimaswali hayo hapo juu mliyomhoji mteja wenu! kila kona kuna malalamiko ya jinsi hiyo meengi sana! Hata mradi wa rea sehemu kubwa hamkutekeleza ipasavyo kwenye vijiji mmewaachia malalamiko wananchi wengine kwa kutowapelekea umeme ipasavyo! Mnawaambia eti wajiongeze kwa kulipia nguzo kinyume na utaratibu! Laiti km mngekuwa na mbadala, watanzania wengi wangeachana manyi, lakini natuna la kufanya koz mpo nyie tu! Mjitathimini!
naomba token sina umeme !!!!simu:0687237985
mita:221244674444
jina:vicent michael
kiasi:2000
tar & muda:09/03/18
tatizo: sijapokea token
: π π πnaomba token sina umeme !!!!