Siku hizi hata taarifa za kukata umeme hawatoi kama wanavyotakiwa na sheria ya EWURA, utawala bora na uwazi umetoweka kabisa.

Vv
 
Yaani sasa ni karibia wiki ya tatu huku Mbezi umeme haueleweki.leo tumekuwa gizani tangu asubuhi hadi sasa hakijaeleweka! Kuna tatizo gani kubwa kiasi hicho limesgindikana kutatua?
 
Ni mbezi ipi?
Beach au kimara ??
Najua hiyo itakua kwa walalahoi tu
Maana beach hawawezi kukata hata iweje
 
Ni wapumbavu sana halafu anakuja mtu anasema tutakuwa na treni ya umeme sijui itatumia kinyesi
 
Huko mlipewa taarifa jana jumapili na usijifanye kulalamika maana labda hukuwepo. Sio wewe tu umeathirika na hili. Watu na taasisi kibao wameguswa. Relax and keep focusing
 
Ubungo makuburi maarufu Garage tumewakosea nini kukata kila mvua ikinyesha! yaani hata manyunyu! Hapa kuna line lazima umeme uzimwe! kwa nini
 
Transfoma imelipuka tangu ijumaa na umeme mpaka sasa hakuna kwenye line ya hii transfoma

Hii transfoma ipo maeneo ya chuo cha teku ,mitaa ya block T jijini Mbeya

View attachment 712322

Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji mpendea mteja

Updates: Umeme uliwaka jana jioni ukakatika saa 1 jioni, ukarudi leo saa mbili asubuhi ambapo ulikuwa mdogo kwasababu taa zilikua zinafifia kila mara na hatimae ukakatika saa tano mpaka sasa..

Looking forward for your cooperation
 
Habari! Tumekua na tatizo la umeme hapa Tanga kwa muda sasa (umeme unakatika mara kwa mara) leo kuanzia saa kumi usiku hamna umeme mpaka Jioni hii bila taarifa, Plz help! Au mtupe ufafanuzi zaidi
 
nenda kwenye kituo chako cha karibu cha tanesco, mi mwenyewe niliwekwa tariff 1, nilibadilishiwa cery simple na sikuhonga hatta senti moja.
nimeshakwenda lakini naomba ni mlolongo nimeandika barua naambiwa nisubiri mwezi mzima na huu ni mwezi wa pili hamna kitu kilichofanyika
 
nimeshakwenda lakini naomba ni mlolongo nimeandika barua naambiwa nisubiri mwezi mzima na huu ni mwezi wa pili hamna kitu kilichofanyika
Hii inakera hata sioni maana ya hii thread katika kutusaida wananchi.
Nimeswhaenda pale kituo cha Kigamboni zaidi ya mara nne majibu ni ya kisiasa tu
 
Nipo dakaw wilaya ya mvomero mkoani morogoro kuna tatzo limetokea la kuanguka kwa nguzo week sasa lakin hakuna matengenezo wat wa Tanesco wakija wanachungulia na kuondoka mpk ss baaadhi ya nyumba hatna umeme tafadhali tuna hitaji umeme sie walip kod wa Tanzania
 
Je tatzo km hilo likitokea matengenezo huchukua muda gan???
 
Ni kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…