Ndugu mpendwa mteja fursa ipo wazi kwa mujibu wa sheria hivyo kama wapo wafate taratibu kwa kuzingatia sheria ya umeme ya mwaka 2008 na kanuni zakeNimeandika nikafuta
Nikaandika nikafuta
Nimeogopa kuitwa mc.......i
Ngoja niseme kidogo tu make inakera.
Kama mnania ya kutatua kero zote za umeme .narudia tena
Kama mnania ya kutatua kero zote za umeme.
Mruhusu kuwepo na makampuni binafsi ya kutoa Huduma ya umeme. Kama zilivo kampuni za simu.
Mtakuwa mnakagua nyumba inayojengwa ili kuomba mtoe Huduma ya umeme.
Huduma zitakuwa nzuri kwan kampuni ikizingua MTU anahamia kampuni nyingine no kubembelezana.
Leo hii MTU akiweka umeme anatangaza utadhani kapata ajira.
Kuhusu Huduma ni mbovu sema tu hamna jinsi.
Fika ofisi ya eneo lako na loss report kutoka polisi na barua yako ili kulipia na kupatiwa nyingine. Kama ikiharibika yenyewe unapatiwa bure lakini wataalamu wetu wanaikagua kwanzaNaomba kuuliza, hivi rimoti ya kuingizia umeme ikiharibika au kupotea unaweza kupata nyingine na kwa utaratibu gani? Nimekuja nimekuta mpangaji wangu kahama na rimoti haionekani na alikohamia sijui sasa nafanyaje kuingiza umeme?
Asante sana!Fika ofisi ya eneo lako na loss report kutoka polisi na barua yako ili kulipia na kupatiwa nyingine. Kama ikiharibika yenyewe unapatiwa bure lakini wataalamu wetu wanaikagua kwanza
Point ya msingi boresheni Huduma zenu.kwan MTU nguzo iko mbele ya nyumba unakaa mwaka hujapata Umeme .Ndugu mpendwa mteja fursa ipo wazi kwa mujibu wa sheria hivyo kama wapo wafate taratibu kwa kuzingatia sheria ya umeme ya mwaka 2008 na kanuni zake
Tafadhali wasilisha taarifa yako kwa maandishi uchunguzi utafanyika na kutoa taarifa itakayosaidia kufanya maamuziHabari yako afisa wa Tanesco unayetuhudumia kupitia hii platform. I hope you are fine.
Siku ya leo (jumapili) mchana nilikuwa nimewasha TV, baada ya muda umeme ukakatika. baada ya umeme kurudi TV haitoi mwanga tena japokuwa taa ya power button inaonesha TV ipo on.
Nimejiuliza maswali kadhaa, mojawapo ni hili: nani yupo responsible wa uharibifu huu? Ni mimi niliyewasha Tv au walipkata umeme? Na je ninyi Tanesco mna utaratibu gani endapo matatizo ya kukatika umeme yameleta madhara kwa wateja?
Nimeuliza hivyo kwa sababu; kwa wiki kadhaa hapo nyuma umeme wenu ulikuwa unakosa nguvu hivyo vitu yangu vyote ambavyo vipo vulnerable to power instability nilivi switch off including hii TV iliyopata damage. Nimeanza tena kuvitumia baada ya kuona hali imetengamaa lakini matokeo yake ndo hayo. Sasa naomba kujibiwa maswali yangu ili nijue tunafanya nini kuhusu hili. Asante
Taarifa nawasilisha wapi? Naomba address. Naishi DsmTafadhali wasilisha taarifa yako kwa maandishi uchunguzi utafanyika na kutoa taarifa itakayosaidia kufanya maamuzi
Mbona hamtangazi kila siku mnakata?? Mseme tatizo gani tujue tunajipangajeKuna tatizo tunalifanyia kazi mpendwa mteja