TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Kunamtu ameunganisha umeme kwa jirani nikawaambia mbaya na kunatahadhari plz tujue madhara yake plz
 
Asanteni JF, Asante TANESCO nilifanikiwa pata suluhisho la mita yangu adi sasa mambo safi kabisa. Asante
 
Hakuna kampuni inayotoa huduma ya Kijinga kama TANESCO Mnafanya kazi kisiasa na kwa kujipendekeza kwa wanasiasa,kitengo chenu cha masoko ubunifu zero,wamebaki kutengeneza T-shirts zenu za Pundamilia,Mabuti ya Mvua yenye Nembo za Tanesco na Kitambulisho. Nimepita vijijini haswa maeneo ya Singida Iramba along Igunga Singida Highway, Nguzo za Umeme zimemwaga za kutosha ambako wanawasha taa 2 kuanzia saa 1 mpaka saa 3 usiku wanazima zote mpaka ya nje, ila hapa jijini Dar es Salaam Mnadai hamna Nguzo tokea mwezi wa Kwanza TANESCO TEGETA mna Shida gani hamna plans,hamna vipaumbele,hamna hata aibu. Naenda Mobisol kununua Solar ya kulipia 59,000/- kila Mwezi... Tatizo sitaweza kutumia Fridge,Washing Machine,Pasi na vifaa vingine. SHAME ON YOU.
 
Tanesco kwa kweli mnatukwaza sana leo siku ya tatu zinga hospital hatuna umeme .mkipigiwa simu kama kawaida majibu yenu ya kutia moyo .
 
Wafanyakazi wa Costemer Care za Dar es Salaam ni vishoka. jinsi wanavyo piga,kwa wale wateja wapya wanaokwenda kuchukua maombi ya mwanzo,
wafanyakazi wanammezea mate ili aende kwake mmoja wao mteja akienda tu kumuuliza mmoja kati yao basi mfanyakazi yule anakuwa kisha pata dili eti utamckia subili nikuitie mchoraji mara tu unakuta kijana anatokea (mchoraji) na kuambiwa mteja mchoraji ndio huyu. Kumbe ni mchezo maalumu ambao waajiriwa wanaocheza na hao wanaojiita wachoraji baadae wanagawana mapato na muajiriwa wa tanesco (yamenikuta haya) hii ni tabia mbaya sana waifanyayo tanesco costemer Care zote za dar, Viongozi mnalijua hili? na je ni halali mfanyakazi kumdalalia mteja?kama ilivyoelezwa hapa?.hii nayo ni aina ya kero, Tanesco mnatia aibu
,Badiliken tafadhali viongozi fanyeni uchunguzi juu ya kero hii
 
Tanesco ILALA(tawi la ukonga) mbona siwaelewi jaman.Nimechukua form nimejaza na imepelekwa na surveillance kaja nikambiwa wiki 1 nitapigiwa simu ili nifanye malipo ya kunganishiwa umeme ila nashangaa hii inaenda wiki ya pili sijapigiwa simu yoyote ile.mbona kama hii kasi yenu sio ya hapa kazi tu jamani maana sielewi wiki ya 2 hii mnasubiri nini?.
Jina÷Evance chipindi
Namba ya simu ÷ 0652868486
 
Tanesco
Nina Changamoto nyumbani kwangu mita yangu umeme hauingii tatizo nini ..
Nipo morogoro
WIlaya kilombero
Tarafa mlimba
Kata utengule
Kijiji utengule
0713481704
 
Tanesco,tanesco,
Nilishaandika humu,Niko kitunda,nahitaji kubadilishiwa tariffs kutoka four kwenda one,nikaja ofisini kwenu,nikaandika barua,nikajaza fomu,mpaka Leo no mwaka sasa ,kimyaa,kama ilikua haiwezekani Kwa mini msingenijibu? Kuliko kukaa kimya?
Sasa niwaeleweje,hamtaki au haiwezekani?
Basis hats hapa hapa mnijibu nijue moja
 
Nimenunua umeme wa LUKU kwa Simu lakini Simu yangu imeibiwa au kupotea katika mazingira ya kutatanisha nifanyeje ili nipate token namba zilizoko katika muamala husika?
 
Nilimsikia Mh. Waziri akisema kua siku hizi kuunganishiwa umeme ni ndani ya siku 7 kwa waliolipia (Dk Kalemani awashukia watendaji Tanesco Arusha),, Mbona wengine inakaribia mwezi wa pili toka tulipie na bado hatujaunganishiwa na kila siku ukienda kwa Manager na Engineer wote wanatoa sababu?

Je kuna tatizo ambalo wananchi tulistahili kuhabarishwa mana Waziri anasema ndani ya siku 7 na Kampuni inatukalisha zaidi ya miezi miwili bila huduma?
Wanataka rushwa hawesemi tu waziwazi, ukimpata muungajishaji hata siku hiyo hiyo uliyolipia unaunganishiwa mradi una chochote kitu. Tanesco hovyo kabisa
 
Tanesco hapa sijaelewa kwanini mmetukatia umeme huku Kimara Bar mpya eneo linaitwa Kwakichwa
IMG_20180812_174703.jpg
 
Sh. 25,000 Tanesco ni unit 70.
Lakini max malipo sh. 25,000 unit 34 tu.
Je, huu sio wizi?
Naomba ufafanuzi wenu tafadhali.
 
Msaada was JF nitakiribani miezi sita sasa tangu nimelipia pesa za nguzo. Nikifuatilia ofisi husika hapa (w) naambiwa nguzo hazijaletwa ilehali naziona zinapita kwenda vijiji jirani. Je nifuate utaratibu gani au nifanye mawasiliano na nani ili huduma hi niipate mapema. Naomba kuwasilisha....
 
Back
Top Bottom