I think they just started a forum for the sake of starting it. They are not activeIs Tanesco active in this forum?
Wanataka rushwa hawesemi tu waziwazi, ukimpata muungajishaji hata siku hiyo hiyo uliyolipia unaunganishiwa mradi una chochote kitu. Tanesco hovyo kabisaNilimsikia Mh. Waziri akisema kua siku hizi kuunganishiwa umeme ni ndani ya siku 7 kwa waliolipia (Dk Kalemani awashukia watendaji Tanesco Arusha),, Mbona wengine inakaribia mwezi wa pili toka tulipie na bado hatujaunganishiwa na kila siku ukienda kwa Manager na Engineer wote wanatoa sababu?
Je kuna tatizo ambalo wananchi tulistahili kuhabarishwa mana Waziri anasema ndani ya siku 7 na Kampuni inatukalisha zaidi ya miezi miwili bila huduma?