*TUPATIE TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA*
Ahsante, kwa ufafanuzi mzuri. Pangani- Kibaha tunashukuru.Ndg Mpendwa mteja,ufafanuzi wa swali lako ni kama ufuatavyo:-
Mkokozi pamoja na Lugwadu mradi bado unaendelea. Mkandarasi SENGEREMA ENG REA III (1) bado ana muda wa kutosha kabla ya Mkataba wake kuisha mwakani 2019. Wateja wote ambao wako ndani ya eneo la Mradi kwa mujibu wa Mkataba watapata Umeme kipindi hiki. Kuhusu Pangani KIBAHA ambapo nguzo zimesimama tu, kuna Mradi wa Densification (kuongeza wigo) ambao ulisimama kutokana na Mkandarasi kumaliza scope kwa mujibu wa Mkataba. Kutokana na ongezeko na mahitaji ya Wateja zaidi, Mkandarasi STEG ENG ameshapewa Mkataba mwingine wa kumalizia mahitaji ya Wateja 4600 wa Single phase na 66 wa Three phase kwa Mkoa wa Pwani. Mkandarasi ameshapata vifaa na muda si mrefu atarudi site kumalizia kazi hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa mteja tunaomba swali lako vizuri na eneo na namba ya simu tukusikilizeMie mnanikera sana eti wanaopata huduma niwale wabarabarani tu ambao wako karibu na line wengine tuliombali naline kuu tunapaswa kulipa garama kubwa ili uunganishiwe umeme hebu liangalieni suala hili maana tunapesa zakuunganishiwa umeme ila tatizo nipesa zakuchangia nguzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo kwenye tarif ya bei hiyo, na matumizibyako hayazidi unit 72 kwa mweziMi napata unit 72 kwa elf 9 tu
Tunaomba namba yako ya mita tuhakiki hiloMimi matumizi yangu ya umeme kwa mwezi ayazidi unit 36 inanilazimu kununua umeme wa sh 10,000 napata unit 28
Nakaa nao huo umeme kati ya siku 20 hadi 18
Inanilazimu kununua tena wa sh 10,000 navuka nao mbaka mwezi mwingine
Kifupi matumizi yangu ni ya chini sana
Kwa nini bado nipo tarif 1
Si mnibadilishie tu nyie wenyewe huko , au ndio mmeamua kunidhulumu haki yangu
hizo compiuter zenu zinafanya kazi gani
Mmeshamuona mteja wenu anamatumizi ya umeme ya chini ya unit 40 kwa mwezi kwa nini nyie wenyewe msimbadilishie kutoka tarif 1 kwenda tarif 4 ambae ndio haki yake ipo kule, kwa nini mbaka mteja alalamike kwenu ndio mnambadilishia ?kama hakulalamika ndio inakuwa imekula kwake?
Ebu anzeni sasa kwangu kutenda haki kwa Watanzania wasiopenda kulalamika nibadilisheni nyie wenyewe huko makao makuu
Vigezo na masharti nitazingatia
Namba zangu za mita semeni tu niwape huko mnicheki kama ninakizi vigezo nipo bunju A
Mkoa wa Dar es salaam,
Umeme niliunganishia mwaka jana na nyie wenyewe kutoka makao makuu ubungo baada ya kulalamika humu humu kupitia uzi huu huu,
Pale tanesco tawi la tegeta sina iman nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Au nambieni niende Tanesco tawi gani lingine nikajaze fomu lakini sio pale tawi la tegeta wale awajielewi kabisaMimi matumizi yangu ya umeme kwa mwezi ayazidi unit 36 inanilazimu kununua umeme wa sh 10,000 napata unit 28
Nakaa nao huo umeme kati ya siku 20 hadi 18
Inanilazimu kununua tena wa sh 10,000 navuka nao mbaka mwezi mwingine
Kifupi matumizi yangu ni ya chini sana
Kwa nini bado nipo tarif 1
Si mnibadilishie tu nyie wenyewe huko , au ndio mmeamua kunidhulumu haki yangu
hizo compiuter zenu zinafanya kazi gani
Mmeshamuona mteja wenu anamatumizi ya umeme ya chini ya unit 40 kwa mwezi kwa nini nyie wenyewe msimbadilishie kutoka tarif 1 kwenda tarif 4 ambae ndio haki yake ipo kule, kwa nini mbaka mteja alalamike kwenu ndio mnambadilishia ?kama hakulalamika ndio inakuwa imekula kwake?
Ebu anzeni sasa kwangu kutenda haki kwa Watanzania wasiopenda kulalamika nibadilisheni nyie wenyewe huko makao makuu
Vigezo na masharti nitazingatia
Namba zangu za mita semeni tu niwape huko mnicheki kama ninakizi vigezo nipo bunju A
Mkoa wa Dar es salaam,
Umeme niliunganishia mwaka jana na nyie wenyewe kutoka makao makuu ubungo baada ya kulalamika humu humu kupitia uzi huu huu,
Pale tanesco tawi la tegeta sina iman nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tulivyoongea mpendwa mteja wetuKuna tatizo kubwa masasi..hakuna nguzo na wateja wapo wengi wamelipia lakini hakuna huduma
Sent using Jamii Forums mobile app
Umelipa kwa jina gani? Kiasi na namba yako ya simu tufatilie swala lakoNataka kujua hili tatizo la kuunganishiwa umeme kwa wilaya ya Temeke maeneo ya chamazi yataanza lini hasa kwa watu wanahitajika kuwa na nguzo kuanzia moja .
Maana kuna watu wamelipia tangu mwezi wa tano mpaka leo wanaambiwa kuna tatizo la nguzo.