FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Uko kisiwani au tuamoyo, au kwa urassa?Wewe jamaa kwa kulalamika balaa. Ni muda mrefu sasa sija-experience umeme kukatika huku Kigamboni, unakatika mara chache na kurudi baada ya dakika chache.
Hapa yenyewe nimepost kwa hasira sana maana nipo gizani, almost everyday wanakata umeme kwa hadi masaa 12, maisha gani haya?poleni sana
Why? Unataka kunitembelea?Uko kisiwani au tuamoyo, au kwa urassa?
Maeneo hayo ndo walikuwa hawakati umemeWhy? Unataka kunitembelea?
Acha masikhara, we upo sehemu gani? Kuanzia Maweni mpaka Kibugumo tunaadhibiwa kila siku, hapa yenyewe tupo gizani, upo wapi wewe?Wewe jamaa kwa kulalamika balaa. Ni muda mrefu sasa sija-experience umeme kukatika huku Kigamboni, unakatika mara chache na kurudi baada ya dakika chache.
Pole mkuu..wenzio tunaangalia UCLHapa yenyewe nimepost kwa hasira sana maana nipo gizani, almost everyday wanakata umeme kwa hadi masaa 12, maisha gani haya?
Ok, kwanini?Maeneo hayo ndo walikuwa hawakati umeme
Kigamboni.Acha masikhara, we upo sehemu gani? Kuanzia Maweni mpaka Kibugumo tunaadhibiwa kila siku, hapa yenyewe tupo gizani, upo wapi wewe?
I mean Kigamboni sehemu gani, maana nimeshtuka unaposema huko ulipo umeme haukatiki muda mrefu, am flabbergasted.., whatever that means..Kigamboni.
Msome britanicca utaelewa kuwa ni kweli kuna sehemu umeme haujatiki.I mean Kigamboni sehemu gani, maana nimeshtuka unaposema huko ulipo umeme haukatiki muda mrefu, am flabbergasted.., whatever that means..
Kigamboni tuna Umewi, upungufu wa umeme wilayaniUbimwi???????