Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Mkuu nataka kufahamu gharama za nguzo tatu kwenda sitePole sana umeme unaweza kukatika kwa sababu mbalimbali moja ikiwemo hali ya hewa kama ulivyoona upepo mkali ukivuma hivyo tunaomba radhi na uwe unatupatia taarifa mapema zaidi
EneoView attachment 910205
Hapa ni Kimara mwisho, eneo la mtaa wa Masista wa st Joseph Waya hizi hazina cover na zinapogusana ni short na hasarakwa vifaa vyetu. Cha ajabu mafundi wanapo kuja badala ya kukata huu mti au kubadili waya, hii ndio teknolojia wanayotumia. Tukiwambia kateni huu mti majibu yao yamekuwa kateni wenyewe, utaala wa kukata mti kwenye nyaya zenye umeme tulijifunza wapi? Nasikitika jiwe hili halina wiki upepo wa jana limeshadondoka. Huu utaalam mpya wa Tanesco unatutia hasara sana tusaidieni kumaliza tatizo hili
Tunashukuru kwa taarifa mpendwa mteja wetu acha taasisi za serikali zifanye kazi yakeLeo nilipita ofisini kwenu kurasini DSM kitengo cha procurement nimeonana na mdada mmoja akaniambia yupp field kutoka TIA DSM mid namfahamu ni MTU was TISS na kabla ya kuja hapo kwenu alikuwa bandari najua akimaliza kazi take mtatafutana hapo kama sisi kula bandari NASA haha charisma tu muwe makini
Tunakushauri uchukue fomu kama umekamilisha wiring tukupimie na kukupatia makadirio halisi kwa kuwa gharama sio nguzo tu
Majibu yaleyale!! Nimetaja eneo lilipo tatizo. Mie najua eneo hili linahudumiwa na Tanesco kituo/mkoa cha Mbezi wao wanalifahamu eneo hili. Mie natoa taarifa ya mapungufu ya mafundi wenu mnaowatuma kutuhudumia, hiyo namba nitaipataje? Transfofma yake ipo kwenye Parking ya kituo cha mwendo kasi barabara ya kwenda Bonyokwa labda nitaeleweka!!Eneo
Namba ya simu
Namba ya taarifa kama ulitoa tafadhali
Hii no risit tuliyo nunulia umeme kwa Mara ya kwanzaDada yangu alifungiwa umeme last week,,kama ilivyo ada unapewa unit 40 or 50 unakuja kuzilipa,baadae,chabkushangazaalipewa unit 9,,umeme ulivyokaribia kuisha tukaenda kununua tukapewa unit 6.,,,wakakata deni LA unit walizotupa kama ilivyo ada,tukauliza mtakataje wakati tulipewa unit chachewakasema baada ya siku Tatu watatupa ,mpaka Leo no unit ,
Ndugu mpendwa mteja tunaomba namba ya mita, wilaya na namba ya simu ya mteja wetu.aidha mteja alipatiwa maelezo ya jinsi atakavyopatiwa unit 40 nyingine bila kulipiaDada yangu alifungiwa umeme last week,,kama ilivyo ada unapewa unit 40 or 50 unakuja kuzilipa,baadae,chabkushangazaalipewa unit 9,,umeme ulivyokaribia kuisha tukaenda kununua tukapewa unit 6.,,,wakakata deni LA unit walizotupa kama ilivyo ada,tukauliza mtakataje wakati tulipewa unit chachewakasema baada ya siku Tatu watatupa ,mpaka Leo no unit ,
Ndugu mpendwa mteja tunaomba namba ya mita, wilaya na namba ya simu ya mteja wetu.aidha mteja alipatiwa maelezo ya jinsi atakavyopatiwa unit 40 nyingine bila kulipiaHii no risit tuliyo nunulia umeme kwa Mara ya kwanzaView attachment 911953