Kila mteja anawekwa kundi linaloendana na matumizi yakeUtaratibu wa kubafilishiwa tariff ukije, maana Mimi nadhani nimebadilishiwa tariff umeme wa elfu moja nilikuwa napata units 8.2, sasa hivi elfu moja napata units 2.4, nilishtuka nikajua bei ya umeme imepanda ,naomba ufafanuzi kwa zaidi maana naona sasa nitashindwa kumudu hii garama
Nakuja inbox tafadhali.Wilaya
Namba ya mita sahihi
Namba ya mita ilikosewa
Wa tsh ngapi
Njia uliyonunulia mfano Tigopesa
Namba yako ya simu
Eneo lako linafahamika na lipo kwenye mpango.hakika waliopo maeneo mbalimbali nchini wanatambua jinsi usambazaji wa umeme maeneo mapya unavyoenda kwa kasiNawashauri muwe pro-active ili kuwafuata wateja badala ya kukaa
Tu ofisini. Nipo Dodoma eneo la Mapinduzi South, nyumba nyingi zimejengwa na watu wamehamia lakini TANESCO hawaonekani hata nguzo tu hazijasogezwa. Hivi ni kwa sababu ya monopoly au? 0784287233
Shukrani sanaWakuu hamjambo,,
Mimi niko mkoani Mbeya, nimejifunza kitu kimoja kwamba tunapaswa kuzifanyia utafiti habari tunazozipokea kutoka vyanzo tofauti.
Jana nilipokea simu kutoka kwa ndugu mmoja ambaye ni daktari huko Mtwara akidai kua ndugu yake amelalamika kutopatiwa majibu sahihi katika Ofisi za wilaya tajwa za Tanesco,
Basi kwakua hajui afanyeje, aliomba nimsaidie, kutokana na ukaribu, nilivaa uhusika na kuzifanyia kazi taarifa hizo kama alivyonipasha na kama alivyopashwa na nduguye.
Nilijaribu kulalamika kwa hisia nikihakikisha namsaidia. Ila kosa ni kuwa taarifa zile zilikuwa na mapungufu na kosa ni mimi kutozichuja na kuzitupa katika thread za Tanesco.
NIMEUMBUKA.
Leo napigiwa simu na huyo rafiki yangu Dk, na kwamba alimuagiza mtu mwenye hekma, kufuatilia hilo, na mrejesho ni kwamba mambo hayakuwa kama yalivyonukuliwa.
TANESCO IGUNGA NI WAWAJIBIKAJI NA TATIZO LINASHUGHULIKIWA NI SUALA TU LA KUFUATA REGULATIONS.
JAPO NAAMINI MAPUNGUFU YAPO KWA KILA TAASISI, MAANA WANAOENDESHA NI BINADAMU. MTUSAMEHE TANESCO.
Mfano nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu malipo ya fedha za kujikimu kwa waajiriwa wapya hasa walimu, na kujaribu kuhimiza serikali kupitia mitandao, vilevile nitumie nafasi hii kuomba taasisi zote kuboresha huduma kwa wateja (hotline) Asante.
#Foolmzuri
Ukitoa taarifa ya wizi wa umeme unapatiwa zawadi kuanzia laki moja na kuendelea mara baada ya kudhibitisha kiasi cha wizi uliokuwa unafanyikatanesco endapo ikitokea nimemuona mwizi na nataka kumchomea mwizi wa umeme toa mpangilio wa zawadi from minimum-maximum.... (uzalendo wa faida) ..kueni na convincing rewards..bila ivyo mtaishia kua mnalalama..kila kukicha.. ndio anza
Nashukuru TANESCO Makao makuu mlinionganisha na mtoa huduma Tanesco Kigamboni kwa jina anaitwa Peter, lakn hakunip majibu ya kuridhisha na yenye kufanyiwa kazi ambapo aliishia kusema atafikisha kwa viongozi wake."Jina Edward C. Hizza, Namba yangu ni 0786208517/0714217107. Nyumba yangu ipo Toangoma Malela (Jirani na Kelvin Yondani)"
TANESCO mliniomba jina niliofanyia malipo na namba ya simu lkn sioni matokeo ya kufanyia kazi lalamiko langu.
Upo kwenye orodha ya kufungiwa umeme wala usihangaike kutoa rushwa maana waliokutangulia wakishafungiwa na wewe utafungiwa umemeNashukuru TANESCO Makao makuu mlinionganisha na mtoa huduma Tanesco Kigamboni kwa jina anaitwa Peter, lakn hakunip majibu ya kuridhisha na yenye kufanyiwa kazi ambapo aliishia kusema atafikisha kwa viongozi wake.
Siamini kweli alifikisha au lah lkn kwa kuwa hayo ni majibu ya "customer care" anacholalamika kuwa, eti vitndea kazi hakuna, (Wire Mita n.k) kingine eti magari machache ya kusamba nguzo muda mwingine yanaharibika, mara hayana mafuta, kingine sio zamu yangu, mwisho eti wanasambzia wateja wa miezi ya nyuma kabla yangu.
Kwa kweli inaudhi sana huduma tunalipia kila hatua lkn mpaka unachoka kama kwamba unapewa bure. Najua hayo yanatengezwa mazingira ya RUSHWA kwani tunaona mtaani ukiwa na nguvu ya pesa, ukiwa kiongozi mkubwa, wala majibu ya kuzunguushana na kutofuatwa kwa zinazoitwa taratibu umeme unapata Mara moja. Sisi tusiokuwa na nuwezo kipesa au kimamlaka tunasumbuka sana.
Jamani Tanesco Kigamboni twende kwa nani tupate msaada. Wengine wenye uwezo huwekewa tuambieni bhasi kama kuna gharama nyingine tufuate tupate huduma kwa haraka mbona mnatuonea hivyo na kutengeneza mazingira ya RUSHWA.
TANESCO Makao Makuu naomba majibu kwenu maana ni miezi mitatu sasa huduma ya kuunganishiwa umeme sipati na kilakitu nimekamilisha pamoja na muda wa kusubiria umekwisha.
Walionitangulia ni wangapi!?. Ingekuwa vizuri msingetoa muda wa miezi miwili ya kusubiri baada ya kulipa kwa wale wenye nguzo mbili. Na hiyo mikataba yenu na wateja mbona mnaivunja!!!?? Au mnatumia mianya hiyo na kutoa visingizio na kutengeneza mazingira ya RUSHWA !!? Tafadhali TANESCO Makao Makuu nisaidieni (Kama kweli hakuna vifaa Tanesco Kigamboni pelekeni mtusaide)Upo kwenye orodha ya kufungiwa umeme wala usihangaike kutoa rushwa maana waliokutangulia wakishafungiwa na wewe utafungiwa umeme
Tanesco gongo la mboto dar eneo la maliasili umeme umekuwa ni tatizo tunaomba ufumbuzi joto hili mbu vitu kwenye fridge vinaharibika shughuli zinakwama tatizo nn maana hili limekuwa suguTumelipokea kwa ufatiliaji mpendwa mteja
*NAMBA ZA HUDUMA KWA WATEJA ZA TANESCO -KANDA YA DAR ES SALAAM NA PWANI*Eneo gani haswa na namba yako ya simu tukufikie
Tunaomba namba yako ya simu na makazi yako yalipo tufanyie kazi swala hiloTanesco gongo la mboto dar eneo la maliasili umeme umekuwa ni tatizo tunaomba ufumbuzi joto hili mbu vitu kwenye fridge vinaharibika shughuli zinakwama tatizo nn maana hili limekuwa sugu
Mkuu mimi nineunganishiwa umeme mwezi uliopita,nilipewa only 10 units sasa wananiambia nikalipie 30000,je ni sahihi??Tunaomba namba yako ya simu na makazi yako yalipo tufanyie kazi swala hilo
Ukishanunua mara ya kwanza tutakupatia unit zako 40 na hizi zinatoka ofisi ya eneo ulilofungiwa umemeMkuu mimi nineunganishiwa umeme mwezi uliopita,nilipewa only 10 units sasa wananiambia nikalipie 30000,je ni sahihi??
Na naweza kulipa kawaida kwa simu??