TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Utaratibu wa kubafilishiwa tariff ukije, maana Mimi nadhani nimebadilishiwa tariff umeme wa elfu moja nilikuwa napata units 8.2, sasa hivi elfu moja napata units 2.4, nilishtuka nikajua bei ya umeme imepanda ,naomba ufafanuzi kwa zaidi maana naona sasa nitashindwa kumudu hii garama
Kila mteja anawekwa kundi linaloendana na matumizi yake
 
Nawashauri muwe pro-active ili kuwafuata wateja badala ya kukaa
Tu ofisini. Nipo Dodoma eneo la Mapinduzi South, nyumba nyingi zimejengwa na watu wamehamia lakini TANESCO hawaonekani hata nguzo tu hazijasogezwa. Hivi ni kwa sababu ya monopoly au? 0784287233
 
Eneo lako linafahamika na lipo kwenye mpango.hakika waliopo maeneo mbalimbali nchini wanatambua jinsi usambazaji wa umeme maeneo mapya unavyoenda kwa kasi
 
tanesco endapo ikitokea nimemuona mwizi na nataka kumchomea mwizi wa umeme toa mpangilio wa zawadi from minimum-maximum.... (uzalendo wa faida) ..kueni na convincing rewards..bila ivyo mtaishia kua mnalalama..kila kukicha.. ndio anza
 
Wakuu hamjambo,,

Mimi niko mkoani Mbeya, nimejifunza kitu kimoja kwamba tunapaswa kuzifanyia utafiti habari tunazozipokea kutoka vyanzo tofauti.

Jana nilipokea simu kutoka kwa ndugu mmoja ambaye ni daktari huko Mtwara akidai kua ndugu yake amelalamika kutopatiwa majibu sahihi katika Ofisi za wilaya tajwa za Tanesco,

Basi kwakua hajui afanyeje, aliomba nimsaidie, kutokana na ukaribu, nilivaa uhusika na kuzifanyia kazi taarifa hizo kama alivyonipasha na kama alivyopashwa na nduguye.

Nilijaribu kulalamika kwa hisia nikihakikisha namsaidia. Ila kosa ni kuwa taarifa zile zilikuwa na mapungufu na kosa ni mimi kutozichuja na kuzitupa katika thread za Tanesco.

NIMEUMBUKA.
Leo napigiwa simu na huyo rafiki yangu Dk, na kwamba alimuagiza mtu mwenye hekma, kufuatilia hilo, na mrejesho ni kwamba mambo hayakuwa kama yalivyonukuliwa.

TANESCO IGUNGA NI WAWAJIBIKAJI NA TATIZO LINASHUGHULIKIWA NI SUALA TU LA KUFUATA REGULATIONS.

JAPO NAAMINI MAPUNGUFU YAPO KWA KILA TAASISI, MAANA WANAOENDESHA NI BINADAMU. MTUSAMEHE TANESCO.

Mfano nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu malipo ya fedha za kujikimu kwa waajiriwa wapya hasa walimu, na kujaribu kuhimiza serikali kupitia mitandao, vilevile nitumie nafasi hii kuomba taasisi zote kuboresha huduma kwa wateja (hotline) Asante.

#Foolmzuri
 
Shukrani sana
 
tanesco endapo ikitokea nimemuona mwizi na nataka kumchomea mwizi wa umeme toa mpangilio wa zawadi from minimum-maximum.... (uzalendo wa faida) ..kueni na convincing rewards..bila ivyo mtaishia kua mnalalama..kila kukicha.. ndio anza
Ukitoa taarifa ya wizi wa umeme unapatiwa zawadi kuanzia laki moja na kuendelea mara baada ya kudhibitisha kiasi cha wizi uliokuwa unafanyika
 
"Jina Edward C. Hizza, Namba yangu ni 0786208517/0714217107. Nyumba yangu ipo Toangoma Malela (Jirani na Kelvin Yondani)"
TANESCO mliniomba jina niliofanyia malipo na namba ya simu lkn sioni matokeo ya kufanyia kazi lalamiko langu.
Nashukuru TANESCO Makao makuu mlinionganisha na mtoa huduma Tanesco Kigamboni kwa jina anaitwa Peter, lakn hakunip majibu ya kuridhisha na yenye kufanyiwa kazi ambapo aliishia kusema atafikisha kwa viongozi wake.
Siamini kweli alifikisha au lah lkn kwa kuwa hayo ni majibu ya "customer care" anacholalamika kuwa, eti vitndea kazi hakuna, (Wire Mita n.k) kingine eti magari machache ya kusamba nguzo muda mwingine yanaharibika, mara hayana mafuta, kingine sio zamu yangu, mwisho eti wanasambzia wateja wa miezi ya nyuma kabla yangu.
Kwa kweli inaudhi sana huduma tunalipia kila hatua lkn mpaka unachoka kama kwamba unapewa bure. Najua hayo yanatengezwa mazingira ya RUSHWA kwani tunaona mtaani ukiwa na nguvu ya pesa, ukiwa kiongozi mkubwa, wala majibu ya kuzunguushana na kutofuatwa kwa zinazoitwa taratibu umeme unapata Mara moja. Sisi tusiokuwa na nuwezo kipesa au kimamlaka tunasumbuka sana.
Jamani Tanesco Kigamboni twende kwa nani tupate msaada. Wengine wenye uwezo huwekewa tuambieni bhasi kama kuna gharama nyingine tufuate tupate huduma kwa haraka mbona mnatuonea hivyo na kutengeneza mazingira ya RUSHWA.
TANESCO Makao Makuu naomba majibu kwenu maana ni miezi mitatu sasa huduma ya kuunganishiwa umeme sipati na kilakitu nimekamilisha pamoja na muda wa kusubiria umekwisha.
 
Upo kwenye orodha ya kufungiwa umeme wala usihangaike kutoa rushwa maana waliokutangulia wakishafungiwa na wewe utafungiwa umeme
 
Walionitangulia ni wangapi!?. Ingekuwa vizuri msingetoa muda wa miezi miwili ya kusubiri baada ya kulipa kwa wale wenye nguzo mbili. Na hiyo mikataba yenu na wateja mbona mnaivunja!!!?? Au mnatumia mianya hiyo na kutoa visingizio na kutengeneza mazingira ya RUSHWA !!? Tafadhali TANESCO Makao Makuu nisaidieni (Kama kweli hakuna vifaa Tanesco Kigamboni pelekeni mtusaide)
 
Tumelipokea kwa ufatiliaji mpendwa mteja
Tanesco gongo la mboto dar eneo la maliasili umeme umekuwa ni tatizo tunaomba ufumbuzi joto hili mbu vitu kwenye fridge vinaharibika shughuli zinakwama tatizo nn maana hili limekuwa sugu
 
Naomba namba ya emergency ya kisarawe ili waje kuturekebishia tumeshinda bila umeme tunalala bila umeme mbaya zaidi nyumba zingine unawaka tatizo nn na halijaanza leo hili
 
Eneo gani haswa na namba yako ya simu tukufikie
 
*NAMBA ZA HUDUMA KWA WATEJA ZA TANESCO -KANDA YA DAR ES SALAAM NA PWANI*

*MKOA WA ILALA*

[emoji841]ILALA-CITY CENTRE

0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.

[emoji841]WILAYA YA TABATA

0684 001068/ 0715 768589

[emoji841]WILAYA YA GONGO LA MBOTO

0688001071/ 0715768584

[emoji841]WILAYA YA VIWANDA/TAZARA

0684001066/ 0715768587

*MKOA WA KINONDONI KUSINI/MAGOMENI*

[emoji841]MAGOMENI/MKOANI

0784271461/ 0715271461

[emoji841]WILAYA YA KIMARA

0788379696/ 0717379696

*MKOA WA KINONDONI KASIKAZINI*

[emoji841]MIKOCHENI/MKOANI

0784 768584/ 0716 768584

[emoji841]WILAYA YA MBEZI BEACH

0658 768583/ 0713 768581

[emoji841]WILAYA YA TEGETA

0688 650878/ 0717 650878

*MKOA WA TEMEKE*

[emoji841]KURASINI/MKOANI

0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720

[emoji841]WILAYA YA KIGAMBONI

0788499014/ 0736501661

[emoji841]WILAYA YA MBAGALA

0714 073 588

[emoji841]WILAYA YA YOMBO

0783360411/0765654767

*MKOA WA PWANI*

[emoji841] KIBAHA/MKOANI

0657108782/0785122020

[emoji841]WILAYA YA MKURANGA

0685922888

[emoji841]WILAYA YA BAGAMOYO

0682140405

[emoji841]WILAYA YA KISARAWE

0655989935

[emoji841] WILAYA YA CHALINZE

0787600794

[emoji841]WILAYA YA RUFIJI

0683394600

*KITUO CHA MIITO YA SIMU/CALL CENTRE*

0768 985 100/0222194400

*MITANDAO YA KIJAMII*

[emoji871] *Facebook*: Like
www.facebook.com/tanescoyetu

[emoji871] *Twitter*: Follow
www.twitter.com/tanescoyetu

[emoji871] *Tovuti* Peruzi
www.tanesco.co.tz

[emoji871]*Barua pepe*
Customer.service@tanesco.co.tz

*"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"*
 
Tanesco gongo la mboto dar eneo la maliasili umeme umekuwa ni tatizo tunaomba ufumbuzi joto hili mbu vitu kwenye fridge vinaharibika shughuli zinakwama tatizo nn maana hili limekuwa sugu
Tunaomba namba yako ya simu na makazi yako yalipo tufanyie kazi swala hilo
 
Mkuu mimi nineunganishiwa umeme mwezi uliopita,nilipewa only 10 units sasa wananiambia nikalipie 30000,je ni sahihi??
Na naweza kulipa kawaida kwa simu??
 
Ukishanunua mara ya kwanza tutakupatia unit zako 40 na hizi zinatoka ofisi ya eneo ulilofungiwa umeme
 
Back
Top Bottom