johnsonfrank
Member
- Oct 23, 2018
- 19
- 4
Napenda kujua hili:Eneo gani haswa na namba yako ya simu tukufikie
Sasa Mimi nilipewa unit 10,na wakasema nilipe 30000Ukishanunua mara ya kwanza tutakupatia unit zako 40 na hizi zinatoka ofisi ya eneo ulilofungiwa umeme
mimi nimelipia mwezi wa 8 bado sijawekewa umeme juzi tu nimeenda Tanesco mbezi nimeambiwa saiz wanashughirikia waliolipia mwezi wa saba. ndiyo hoja zao nilipoenda kuuliza mwanzo waliniambia wanadeal na waliolipia mwezi wa 4 - 6 saiz mwezi wa saba, ukienda utasikia tunadeal na waliolipia mwezi wa 6 labda wakukumbuke wakijisahau tu utapigwa sababu zilezileWadau nimelipia umeme tar 11/9/2018 mpk tar 23/10/2018 nilitimiza siku 30 lakni nimefuatilia na simu nimepiga sana lakini hawajakuja kuniunganishia.
Naombeni ushauri jinsi ya kufanya kwa hawa TANESCO.
Kwanini sio wa kweli kwasababu niliwahoji wakasema MITA na WAYA vipo zingi tu stoo.Sasa huu ni upuuzi wanaoleta kwanini walipokea pesa kwa haraka hivyo.mimi nimelipia mwezi wa 8 bado sijawekewa umeme juzi tu nimeenda Tanesco mbezi nimeambiwa saiz wanashughirikia waliolipia mwezi wa saba. ndiyo hoja zao nilipoenda kuuliza mwanzo waliniambia wanadeal na waliolipia mwezi wa 4 - 6 saiz mwezi wa saba, ukienda utasikia tunadeal na waliolipia mwezi wa 6 labda wakukumbuke wakijisahau tu utapigwa sababu zilezile
Nimeuliza inachukua muda gani kupata nyingine? Kureport tayari ila wakaniambia itachukua muda Ila muda gani specific hawakunijibuNdugu mpendwa mteja
Unapaswa kuwasiliana na ofisi ya eneo lako ili upatiwe nyingine
Amakweli wenye sauti ni wenye pesa. Sisi tusio na uwezo hatusikilizwi. Yale majibu ambayo Mh. Raisi ameyakataa ya " Subiri na Njoo kesho" bado yana tawala TANESCO. Sijui nani atanisaidia. Tanesco Kigamboni kwangu imekua Kero. Tanesco Makao makuu naomba namba zenu jamani niwasiliane nanyi.Walionitangulia ni wangapi!?. Ingekuwa vizuri msingetoa muda wa miezi miwili ya kusubiri baada ya kulipa kwa wale wenye nguzo mbili. Na hiyo mikataba yenu na wateja mbona mnaivunja!!!?? Au mnatumia mianya hiyo na kutoa visingizio na kutengeneza mazingira ya RUSHWA !!? Tafadhali TANESCO Makao Makuu nisaidieni (Kama kweli hakuna vifaa Tanesco Kigamboni pelekeni mtusaide)
Hawa jamaa ni jipuAmakweli wenye sauti ni wenye pesa. Sisi tusio na uwezo hatusikilizwi. Yale majibu ambayo Mh. Raisi ameyakataa ya " Subiri na Njoo kesho" bado yana tawala TANESCO. Sijui nani atanisaidia. Tanesco Kigamboni kwangu imekua Kero. Tanesco Makao makuu naomba namba zenu jamani niwasiliane nanyi.
Tutakufungia umeme hauna haja ya kuwa na hofu wala kudhani tunahitaji chochote.hii ni haki yako na sisi ni wajibu wetu.upo kwenye orodha yetuAmakweli wenye sauti ni wenye pesa. Sisi tusio na uwezo hatusikilizwi. Yale majibu ambayo Mh. Raisi ameyakataa ya " Subiri na Njoo kesho" bado yana tawala TANESCO. Sijui nani atanisaidia. Tanesco Kigamboni kwangu imekua Kero. Tanesco Makao makuu naomba namba zenu jamani niwasiliane nanyi.
Haya ni majibu kutoka kituo cha umeme Mbagala.Kwalipi mpendwa mteja? Tumeendelea kusisitiza waliolipa wote watafungiwa umeme kwa kuzingatia wa kwanza kulipia wa kwanza kufungiwa hivyo tunaomba uvumilivu